ARUSHA: Kituo Cha Radio Five kufilisiwa, chadaiwa milioni 31.9... wafanyakazi waiomba mahakama kuuza Jengo na vifaa vya kurushia matangazo

Ha ha ha! Watu mnapenda sana kujipendekeza kwenye familia za wenye nazo, labda useme wewe Jane ni mtoto wa Kaka au mdogo wake na Lowassa na sio eti wewe ni mtoto wa Eddo! Nakataa tena kwa herufi kubwa! Watoto wa Edward Ngoyai Lowassa hawana hata mda wakushinda nakujibishana humu JF!

1. Fred Lowassa
2. Dr Adda Lowassa
3. Pamela Lowassa alishawahi fanya kazi BOT ni mke wa Sioi Sumari
4. Robert (Bob) Lowassa
5. Richard Lowassa!

Sasa kati ya Pamela na Dr Ada wewe ndiyo yupi sasa!
Kwani Pamela ashaondoka BOT?yule binti ana kiburi saana,hana nidhamu hata moja.
 
Hana kiburi hata kidogo dada yetu. Ila tatizo lenu watu mafukara ni kutuona matajiri kuwa tuna kiburi, hatuna nidhamu. Lakini siku mkipata hela utaanza kugundua kwamba matajiri tuna nidhamu sana tu na wala hatuna hicho kiburi.
Haya dada Jane Mamvi asante ..tumekuelewa binti wa kitajiri...
 
Ha ha ha! Watu mnapenda sana kujipendekeza kwenye familia za wenye nazo, labda useme wewe Jane ni mtoto wa Kaka au mdogo wake na Lowassa na sio eti wewe ni mtoto wa Eddo! Nakataa tena kwa herufi kubwa! Watoto wa Edward Ngoyai Lowassa hawana hata mda wakushinda nakujibishana humu JF!

1. Fred Lowassa
2. Dr Adda Lowassa
3. Pamela Lowassa alishawahi fanya kazi BOT ni mke wa Sioi Sumari
4. Robert (Bob) Lowassa
5. Richard Lowassa!

Sasa kati ya Pamela na Dr Ada wewe ndiyo yupi sasa!
Achana nae huyu ni dada yake kiduku lilo
 
Watoto wa nje unawajua?
 
Twende twende twende.
Kuna watu watasahau kulia kilugha na kisha kulia nyau nyau nyau nyau nyau nyau
 
Ha ha ha! Watu mnapenda sana kujipendekeza kwenye familia za wenye nazo, labda useme wewe Jane ni mtoto wa Kaka au mdogo wake na Lowassa na sio eti wewe ni mtoto wa Eddo! Nakataa tena kwa herufi kubwa! Watoto wa Edward Ngoyai Lowassa hawana hata mda wakushinda nakujibishana humu JF!

1. Fred Lowassa
2. Dr Adda Lowassa
3. Pamela Lowassa alishawahi fanya kazi BOT ni mke wa Sioi Sumari
4. Robert (Bob) Lowassa
5. Richard Lowassa!

Sasa kati ya Pamela na Dr Ada wewe ndiyo yupi sasa!
Umempa za uso
 
Back
Top Bottom