frenk julius
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 377
- 241
Kijana mmoja hapa Arusha anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kupiga short vyombo kwenye mkutano wa mgombea urais CCM.
Kile anachohubiri mgombea wao wa urais ndicho kinachowaharibu vijana wetu wachache wenye akili za kukopa. Mbowe asipochunga hiki chama chake hiki.....Mtu unazaliwa unaijua siasa ukubwani na kujifanya umekunywa maji ya bendera na unabaki peke yako unapambana.
Kwa taarifa yako tu ni kwamba Tarehe 28 waTanzania wenye Akili Timamu wote wataenda Kuchagua kiongozi atakayetupatia UHURU HAKI NA MAENDELEO YA WATU.Sasa alitaka kutengeneza shot ili nini kitokee? Yaani CHADEMA, ACT na hao waumini wao wangeshika dola hii nchi ingegeuka uwanja wa vita. Sijui wanakuaga na akili gani hawa watu. Kuna wengine wanajinasibu hapa jf kwamba tayari wameandaa vidumu vya petrol. Ila ndio hivyo tena Mungu kutuletea mkombozi mzalendo John Pombe Magufuli
Mungu tunusuru watanzania na vyama vya wasaliti, wahujumu na vibaraka. Mungu ibariki Tanzania
Cc YEHODAYA
Na wale wanaojigamba kuwa wameshaanda vidumu vya petrol kwaajili ya kuanzisha fujo kwenye uchaguzi wenzao wakawapongeza sana naoò wamesingiziwa??? Hizo ndio akili ZA CHADEMA na ACT ila mjue tuu kwamba mnaenda kuaibikaWatz tuondokane na hizi siasa za maji taka. Hiyo ni short ya umeme kama zinavyotokea kwingine. Hiyo ni msg (ujumbe) kuwa shorti za umeme zipo na ni za kila siku. Kusingizia kwamba ni kijana wa CDM bila uchunguzi ni ujinga na siasa za maji taka.
Wewe na wale wajinga wenzio mnaojidai kujiandaa na vidumu vya petrol badala ya kujiandaa na kadi ya kupiga kura mnatakiwa kupelekwa shule ya mafunzo ya kuniambia. CHADEMA ya mbowe inafia mkononi mwa vibaraka wa AmstadamMjinga mmoja ww.... Akili zako zilipo zikae hukohuko siyo lazima uwaambukize na wengine !
Kwa taarifa yako tuu ni kwamba Tarehe 28 waTanzania wenye Akili Timamu wote wataenda Kuchagua kiongozi atakayetupatia UHURU HAKI NA MAENDELEO YA WATU.
Na Si mwingine ni TUNDU A. LISSU
Matusi yann kiongoz chagia hojaMjinga mmoja ww.... Akili zako zilipo zikae hukohuko siyo lazima uwaambukize na wengine !
Kwa taarifa yako tuu ni kwamba Tarehe 28 waTanzania wenye Akili Timamu wote wataenda Kuchagua kiongozi atakayetupatia UHURU HAKI NA MAENDELEO YA WATU.
Na Si mwingine ni TUNDU A. LISSU
Hivi watakuwa wamemkuta na kadi ya Chadema mfukoni kama ushahidi?Kijana mmoja hapa Arusha anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kupiga short vyombo kwenye mkutano wa mgombea urais CCM.
Nakuhurumia sanailitakiwa mlipuko utokee kbs
Furaha yangu ni kwamba kwa hiyo akili ndogo uliyonayo ni kwamba utaweza kwenda kuweka alama ya Tiki kweny kumpa Kura Lissu. Amka Mtanzania usiendlee kuwa Mbumbumbu kwa Miaka 60 toka Uhuru.Wewe na wale wajinga wenzio mnaojidai kujiandaa na vidumu vya petrol badala ya kujiandaa na kadi ya kupiga kura mnatakiwa kupelekwa shule ya mafunzo ya kuniambia. CHADEMA ya mbowe inafia mkononi mwa vibaraka wa Amstadam