Arusha: Kijana wa CHADEMA aliyelazwa hospitali, ahusishwa na ulipuaji bomu

nassiry

Senior Member
May 7, 2013
182
36
Kijana mmoja wa chadema ambae amejeruiwa vibaya na mlipuko wa bomu polisi na usalama wa taifa wamzingira na kutaka kumchukua wakidai wa kuwa ndio muhusika wa kurusha bomu,cha kushangaza na kusikitisha sana yeye huyo kijana amezurika vibaya na bomu kwanye mguu swali nililowauliza polisi muda huu hapa seliani je?huyu bwana kama yeye ndo muhusika mbona kaumia,akanijibu sisi taharifa yoyote tunayopata tunaifanyia kazi,ndugu zangu watanzania kwa jinsi nilivyoona nimegundua kuna mchezo unataka kuchezwa wa kubadilisha ukweli kuwa uongo,mambo yaleyale ya ambrosin funika jamvi mwana haramu apite.
 
Du wanataka kuja na strategy ileile kuwa CHADEMA ndo waliohusika sio? Kama ni hivyo watakuwa wanamaanisha pia kuwa ule mlipuko wa kanisani waumini wenyewe ndo waliohusika!
 
Re: Kijana mmoja wa chadema aliyelazwa hospitali ya seliani ambae ni mmoja kati ya waliyekuwa akimkimbiza mrusha bomu akipigwa risasi. Nashauri apewe ulijzi wa karibu, maana wanaweza kumuua hawa 'mbwa'
 
hawa polisi ni kuanza kuwalipua tu na mabomu ya petroli huku uswahilini mmoja baada ya mwingine , huu upuuzi hatuwezi kuuvumilia. enough is enough.
 
Matokea yake nchi hii mabomu hayatauisha, kwani wanaokamatwa sio wahusika halisi!!

Ila na wewe mleta hoja kuandika kunakusumbua mno jamani tujifunze kiswahili...!
 
kwa sasa hatuma jeshi la polisi tena,tumebakiwa na genge la wahuni,majambazi,matapeli,mafia,watekaji na wauaji.
 
Kuna uwezekano mkubwa kuwa wamewehuka. Jahazi hili limezama na bahati mamba hakuna mwenye life Jacket kati ya hao policcm :nod:
 
Du wanataka kuja na strategy ileile kuwa CHADEMA ndo waliohusika sio? Kama ni hivyo watakuwa wanamaanisha pia kuwa ule mlipuko wa kanisani waumini wenyewe ndo waliohusika!

CCM wameamua liwalo na liwe, kuja kufika 2015 wengi tutakuwa vilema wa meno, kucha na viungo kwa mabomu!
 
Hao wanaoitwa Usalama wa Taifa wanalinda nini na kama wapo kwa nini walishindwa kufahamu kuwa kuna deal la kurusha bomu?Hawa wote ni majambazi tu hakuna usalama wa Taifa wapo majambazi kwa maana hiyo huyo kijana karusha bomu then kajirusha katikati ya watu na kuanguka sawa na bomu?Je nani alipiga risasi za moto?Au kijana huyo huyo aligeuka Super man na kurusha risasi tena?Mbona Tanzania wajinga wanaongezeka kila kukicha hawa Usalama wa taifa wamesomea wapi lakini?
 
Baada ya huyu kijana kutoa maelezo (maana walidai kuchukua maelezo yake), wakaona kuwa aliona mwanzo hadi mwisho kwahiyo atakuja kutoa ushahidi wote. siyo yeye mwenyewe aliyeona. tupo wengi tulioona hili tukio mwanzo mpaka mwisho. kale katoto wameshakaua sasa wanataka kummaliza na huyu kaka. wanifuate na mimi maana mimi si wa kutafuta. nawangoja.
 
[h=2]
icon1.png
Kijana aliyekaribia kumkamata aliyerusha Bomu Jumamosi alipigwa risasi.![/h] Majeruhii, Abdallah Hilali (39), aliyelazwa katika Hospitali ya Arusha Lutheran Center, amedai kuwa majeraha aliyopata miguuni yametokana na kupigwa risasi na polisi na kudondokewa na vipande vya bomu.

Alisema alikuwa nyuma ya jukwaa kuu akimsikiliza Mbowe na alipomaliza kuhutubia alishuka jukwaani kukusanya sadaka, ndipo alipoona mfuko wa mweusi mdogo wa plastiki ukipeperuka juu."Nilidhani ni upepo unapeperusha kitu, lakini ghafla nilisikia kishindo na nikamsikia mama mmoja akipiga kelele kuwa aliyerusha mfuko anakimbia, nilipogeuka nikajikuta nipo chini," alisema Hilali.

Alisema alipokuwa anaangalia aliona kijana mmoja amekaribia kumfikia aliyerusha bomu lakini ghafla akapigwa risasi na kuanguka chini na aliyekuwa anafuatia kwa nyuma naye akapigwa risasi akaona anaruka na kudondoka chini huku damu zikivuja."Lakini mwisho wa yote kijana aliyerusha hilo fuko aliingia kwenye gari na kuondoka kwa kasi. Mimi nilikuwa chini," alisema Hilal mbele ya Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, alipotembelea majeruhi hospitalini hapo..

Source,:Mwananchi toleo la leo

Maswali ya kujiuliza:

Kama siyo polisi, ni nani alimpiga huyu kijana risasi?! Kwa nini hajakamatwa hata sasa?. JE, kulikuwa na snipers wameandaliwa kumlinda mrusha bomu?!. Kama siyo polisi waliompiga risasi, je hawakumuona huyu sniper aliyepiga risasi watu wawili waliokuwa wakimkimbiza?. Polisi kwa uwingi wao pale uwanjani, je ni kweli walishindwa kumspot huyu mrusha bomu, tangu anafanya hilo tukio mpaka anaingia kwenye gari na kuondoka?.

...........
Bila shaka ndie huyu alisema maneno haya wanataka wakampoteze! Wauaji wakubwa hawa!!
 
hahahaaaa!!! wehu hawa!! utakuwa unacheza au? rusha mpira halafu uukimbilie kule unakoennda kuangukia uone kama utafika hata nusu mita.
 
hawa polisi ni kuanza kuwalipua tu na mabomu ya petroli huku uswahilini mmoja baada ya mwingine , huu upuuzi hatuwezi kuuvumilia. enough is enough.

Kwaani Syria ilianzaje? kwaani kule Libya na Misri walianzaje? Penye cheche ndipo uwakapo moto. Mpoki Alisha imba "mjomba ukicheka na nyani utavuna mabua..." KAGAME is watching, very soon balance of power itaonekana.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom