ARUSHA; Kampuni ya Bima yaburuzwa Mahakamani kwa kugoma kulipa fidia, mfanyabiashara alidai milioni 100

Punguza jazba na matusi. Kama una bima hata ya baiskeli nenda kaisome kwanza ndo uje comment

Huyu James alikuwa ni abiria ndani ya gari binafsi la Eunice. Na inasemekana ni mume wa Eunice sio tu ni abiria. Funny part James anamshitaki Eunice pia kwenye kesi hii.
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom