FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,045
- 40,710
Kwani alikuwa na bima ya maisha au? Mbona sielewi? Na mwenye gari anakosa gani?
Wamlipe kwa vipi sasa? Alikuwa na bima ya maisha au?Britam kampuni kubwa inashindwa kulipa 100M???
Hizi kampuni zetu za Bima nyingi zimekaa kitapeli mno yani!😂
Eeh si wanakataWamlipe kwa vipi sasa? Alikuwa na bima ya maisha au?
Hata mimi ndio nashangaaMbona gari sio lake ni lá Eunice
Nieleweshe
😂😂😂😂😂Punguza jazba na matusi. Kama una bima hata ya baiskeli nenda kaisome kwanza ndo uje comment
Huyu James alikuwa ni abiria ndani ya gari binafsi la Eunice. Na inasemekana ni mume wa Eunice sio tu ni abiria. Funny part James anamshitaki Eunice pia kwenye kesi hii.
Umeona huo mkataba?Yani jamaa na akili zao wamlipe mtu laki 5 wakati mkataba unaruhusu alipwe 20M?
Sasa jamaa chizi ku claim 20m?Umeona huo mkataba?
Sasa kwanini anashtakiwa mwenye gari?Bima ni kwa ajili ya chombo na abiria, yeye alikuwa abiria
Wewe mtu kafanyiwa upasuaji wa kichwa, unaulizaje swali kama hilo?Sasa jamaa chizi ku claim 20m?