Arusha; John Bayo kutiwa mbaloni muda wowote

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Aliyekuwa diwani wa kata ya Elerai kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo kabla hajanunuliwa na chama cha Mapinduzi, anatafutwa na polisi baada ya kushindwa kulipa pesa walio amriwa na mahakama baada ya kushindwa kesi waliyofungua kupinga kufutiwa uanachama wa CHADEMA yeye pamoja na madiwani wenzake wanne Rehema, Mpanda,Rouben na Malla...
 
Crashwise weka habari yako sawa sawa ina maana wengine wamelipa ?.
 
Last edited by a moderator:
Rehema alilipiwa na wasira na huyo salum simba aliyekuwa anajidai diwani wa mjini kati alikuwa na deni la NHC nae akalipiwa kwa mashariti ya kukusanya vijana wa cdm wenye kadi warudishe kwa magamba.
 
Hii ndio shida ya kukurupuka pasipo kujipanga wenzake walikuwa washajipanga kwa magamba yeye akafwata mkumbo pasipo kujua nini ni nini
 
Eti ooo...Lema alikua anitaka,takataka hile ni chakula ya majizi ya yanayojificha kule olasity na mbauda,mtu mwenye sura kama anakamuliwa jipu,,,...nyambaffffff.
 
Sijui kama yule Rasta ameshalipa kwakua nimemkuta maeneo fulani ya hapa A-Town anakula Fegi nyingi na anaonekana kama anamsongo wa mawazo sana!
 
baada ya hukumu kusomwa yule rasta aliangua kilio mithili ya mshiriki wa bongo star search aliyeenguliwa katika hatua ya tano bora.
 
Duh Ndallo labda utakuwa ulikutana na mdogo wake,Rasta siku hizi kavuta shavuu la ukweli.

Sijui kama yule Rasta ameshalipa kwakua nimemkuta maeneo fulani ya hapa A-Town anakula Fegi nyingi na anaonekana kama anamsongo wa mawazo sana!
 
Last edited by a moderator:
Sijui kama yule Rasta ameshalipa kwakua nimemkuta maeneo fulani ya hapa A-Town anakula Fegi nyingi na anaonekana kama anamsongo wa mawazo sana!
Mkuu Ndallo,
Uliziangalia vizuri hizo fegi? Maana kuna jamaa alikua huko anasema huyo Rasta anasimamaga stendi kugongea vichungi vya sigara kwa wapita njia.

Isije ikawa ndio alikua akivivuta baada ya kuvikusanya stendi.
 
Last edited by a moderator:
Sijui kama yule Rasta ameshalipa kwakua nimemkuta maeneo fulani ya hapa A-Town anakula Fegi nyingi na anaonekana kama anamsongo wa mawazo sana!

Ndallo atakuwa ameshalipa kwani anatakiwa kusafiri kwenda marekani tena sasa anahofu ya kuzuiwa kutokwenda lazima atakuwa amesha lipa siunajua tena mambo ya mahakama
 
Ngongo Hivi mbona kama siku hizi umekuwa kama vile umepoteza network?
Ama nawe umekuwa kama huyu waziri wa ulinzi anayepitishwa hapa Ngarenaro kalala kama vile amechoka na kazi aliyepewa!

Mchana kweupe hivi waziri analala je usiku atafanya nini??
Ngongo! Hata nawe jitazame upya!

Crashwise weka habari yako sawa sawa ina maana wengine wamelipa ?.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha LiverpoolFC mbona wewe ndiyo umepoteza siku nyingi kama ile timu ya UK inayoshika nafasi ya 12 kati ya timu 20 ha ha ha ha.

Ngongo Hivi mbona kama siku hizi umekuwa kama vile umepoteza network?
Ama nawe umekuwa kama huyu waziri wa ulinzi anayepitishwa hapa Ngarenaro kalala kama vile amechoka na kazi aliyepewa!

Mchana kweupe hivi waziri analala je usiku atafanya nini??
Ngongo! Hata nawe jitazame upya!
 
Last edited by a moderator:
@Crashwise huko Arusha POLISI wamekuwa Madalali wa Mahakama? wanajiingiza na ulipaji wa faini na Madeni?
Deni ni la CHADEMA, Wakili au Serikali?
Basi raha km POLISI anaweza kunilazimisha kulipa Deni bila kupewa siku na hata ikifika bado sina ipo Sheria kabla ya kufungwa kwani hakuna mali ingine Mdai atakayoiona inafaa?
Chaliii !!!!!!!!!!!!!!!! A. Town haikaliki tena bora kuacha Siasa
 
Back
Top Bottom