Arusha Jiji Serikali yaachia TZS 5.2B kwaajili ya Vijana 4% Walemavu 2% na wanawake 4%

===
Chini ya Sheria ya fedha ya Serikali za mitaa sura namba 290 kifungu cha 37 ya mwaka 2019 kila halmashauri inatakiwa kutenga 10% ya mapato yake kwa mwaka kwaajili ya maendeleo ya watu wa halmashauri husika kwa mchanganuo ufuatao, 4% kwaajili ya wanawake, 4% kwaajili ya Vijana na 2% kwaajili ya walemavu bila kujali dini, rangi,kabila au itikadi za siasa,
===
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dk John Marco Pima alimfurahisha sana Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kutoa TZS1.37BL kwaajili ya kutekeleza sheria hiyo ya fedha kwa robo ya kwanza ( 1Q ) ya mwaka.

===
Nakwamantiki hiyo kama robo ya mwaka ni TZS 1.37BL kwa mwaka mzima Dk Pima kwa niaba ya Rais Samia atatoa Jumla ya Tshs 5.2BL yaani Vijana watapata Tshs 2.08BL,Wanawake Tshs 2.08BL na Walemavu Tshs 1.04BL hii ni zaidi ya Commercial Bank,
===
Arusha changamkieni fursa hii achaneni na mambo ya Ukamanda tumieni hizi fedha ili mjenge familia zenu najua ninyi kamwe hamuwezi kukimbilia Kanada mmecheleweshwa sana Arusha,
===
Angalia hii,Kama kila kikundi cha watu watano kitapewa Tshs 10M tu Rais Samia kupitia Arusha Jiji atasaidia Jumla ya vikundi 520 kwa mwaka na tutakuwa na Loan Portifolio ya watu|wateja zaidi ya 2,600 ambao kila mmoja atapewa mtaji wa kuanzia wa mil 2

===
Na hii ndio utekelezaji wa Ilani ya CCM ya 2020|25 iliyoahidi ajira 8M kila mwenye macho na aone sasa Juhudi kubwa na nzuri za Rais Samia Suluhu Hassan Mkt wa ccm-tanzania.
===
Tanzania tuna Jumla ya halmashauri 184 kama kila Halmashauri itakuwa na Loan Portfolio ya wateja 1,000 tu nchi nzima kwa mwaka mmoja tutakuwa na Loan Portfolio ya watu 184,000 hapa Umasikini tutausikia tu redioni,

===
Wakurugenzi wengine mnayohaja ya kuiga mfano huu mzuri wa Dk John Marco Pima mkurugenzi wa Jiji la Arusha na natamani matumizi ya 10% yawe ndio kigezo cha Ubora wa Mkurugenzi kwani wanachi lazima waone umuhimu wa kuendelea kuichagua CCM-Tanzania.

VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA

Safi sana hii, Tanzania nakupenda sana,

Hakuna Kama Rais Samia
 
Naona mkurugenzi wa jiji Arusha anajipigia promo mwenyewe! Ripoti ya CAG ndio itakuwa kipimo chake cha utendaji kazi! RC Mongela alionyesha wasiwasi mkubwa gharama ya ujenzi wa vizimba vya wamachinga jijini Arusha (value for money)

Umemjuaje?
 
===
Chini ya Sheria ya fedha ya Serikali za mitaa sura namba 290 kifungu cha 37 ya mwaka 2019 kila halmashauri inatakiwa kutenga 10% ya mapato yake kwa mwaka kwaajili ya maendeleo ya watu wa halmashauri husika kwa mchanganuo ufuatao, 4% kwaajili ya wanawake, 4% kwaajili ya Vijana na 2% kwaajili ya walemavu bila kujali dini, rangi,kabila au itikadi za siasa,
===
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dk John Marco Pima alimfurahisha sana Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kutoa TZS1.37BL kwaajili ya kutekeleza sheria hiyo ya fedha kwa robo ya kwanza ( 1Q ) ya mwaka.

===
Nakwamantiki hiyo kama robo ya mwaka ni TZS 1.37BL kwa mwaka mzima Dk Pima kwa niaba ya Rais Samia atatoa Jumla ya Tshs 5.2BL yaani Vijana watapata Tshs 2.08BL,Wanawake Tshs 2.08BL na Walemavu Tshs 1.04BL hii ni zaidi ya Commercial Bank,
===
Arusha changamkieni fursa hii achaneni na mambo ya Ukamanda tumieni hizi fedha ili mjenge familia zenu najua ninyi kamwe hamuwezi kukimbilia Kanada mmecheleweshwa sana Arusha,
===
Angalia hii,Kama kila kikundi cha watu watano kitapewa Tshs 10M tu Rais Samia kupitia Arusha Jiji atasaidia Jumla ya vikundi 520 kwa mwaka na tutakuwa na Loan Portifolio ya watu|wateja zaidi ya 2,600 ambao kila mmoja atapewa mtaji wa kuanzia wa mil 2

===
Na hii ndio utekelezaji wa Ilani ya CCM ya 2020|25 iliyoahidi ajira 8M kila mwenye macho na aone sasa Juhudi kubwa na nzuri za Rais Samia Suluhu Hassan Mkt wa ccm-tanzania.
===
Tanzania tuna Jumla ya halmashauri 184 kama kila Halmashauri itakuwa na Loan Portfolio ya wateja 1,000 tu nchi nzima kwa mwaka mmoja tutakuwa na Loan Portfolio ya watu 184,000 hapa Umasikini tutausikia tu redioni,

===
Wakurugenzi wengine mnayohaja ya kuiga mfano huu mzuri wa Dk John Marco Pima mkurugenzi wa Jiji la Arusha na natamani matumizi ya 10% yawe ndio kigezo cha Ubora wa Mkurugenzi kwani wanachi lazima waone umuhimu wa kuendelea kuichagua CCM-Tanzania.

VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
Una tatizo kubwa sana. Unahitaji upate counselling ya haraka sana. Hopeless kabisaaa
 
Andiko zuri, uneharibu hapo tu "kwa niaba ya Mhe. Rais." Jamani, hizi hela Halmashauri inakusanya yenyewe na kugawa yenyewe kadiri ya vigezo na miongozo ya kibajeti. Sasa hapa Mhe. Rais anaingizwa vp. Why asisifiwe huyo Mkurugenzi kwa kuhakikisha kila alichokipata ametenga badala ya kujilipa madai ya madeni na maposho? Sifa nyingine tunamuharibia Rais wetu mpendwa
 
. Mkuu ukoo ofisi gani na mkoa upi mbona nasoma porojo zako tu hapa, kulingana na utoaji wa huu mkopo sehemu niliyopo na ulivyo viongelea ni mbingu na ardhi
Wahenga walisema ukitaka kuonja utamu ngoma ingia ucheze, sasa nikuulize wewe kama wewe umewahi kwenda kukopa hizo fedha na ukapewa bila longolongo yoyote? Usiseme nimeona wanapewa nimekuuliza wewe.
 
Mkuu ni free kabisa na hatujawahi pata kashikashi ya upigaji wowote labda wenyewe muamue kuwabariki hao watendaji, CDO, diwani, na hao walio halimashauri huko wanaokaa kupitisha kikundi kipi kipate mkopo na kiasi gani kipate.

Pesa inawatoka hapa kwenye kuandaa hizo katiba na kutoa copy zake pamoja na gharama mnazotumia kama nauli kuzunguka kutoka ofisi za kata/mtaa kwa ajiri ya taarifa zenu kupitiwa na kupata saini.

Pia mizunguko ya kwenda kufungua akaunti benki na kulipia ada ya kufungua kikundi na kupata kontlo namba ya malipo baada ya katiba yenu kukamilika, kiufupi sijawahi kutana na upigaji mkuu na watu wanapata zaidi ya mara moja mkilipa mkopo wenu mnapewa tena na kuongezewa kiasi.

Mikopo inakunjwa mpaka ya M 60 mkuu ila uchawi kwa wale wanao anza naona saizi wengi wanapewa chini ya M 6 wa M 10+ wakutafutiza sana (hii ni kwa Ilala mkuu)

NB. Upigaji ambao ningekuunga mkono niliouona ni huu hapa, hao wanao simamia ioo mikopo wanaunda vikundi vyao vya kihuni pesa zinapigwa wanaenda kugawana ila sio watu kuombwa shekeri utanirekebisha kama nimeharibu mahali mkuu.
Habari nzuri sana hii
 
Basi mna bahati jamaa yangu, sisi huku tuliko swali la kwanza wanauliza upo upande gani kama huna chama lazima muandikishwe kuwa Wana ccm na mnapewa kadi, wakigundua mpo chama kingine aisee mtasubiri sana hata kama mradi wenu una manufaa ya moja kwa moja kwa jamii na serikali.
 
Pesa hzo zimaliwaga na wajanja hamna kitu hapo ni kupeana tu moyo na kufoji data
===
Chini ya Sheria ya fedha ya Serikali za mitaa sura namba 290 kifungu cha 37 ya mwaka 2019 kila halmashauri inatakiwa kutenga 10% ya mapato yake kwa mwaka kwaajili ya maendeleo ya watu wa halmashauri husika kwa mchanganuo ufuatao, 4% kwaajili ya wanawake, 4% kwaajili ya Vijana na 2% kwaajili ya walemavu bila kujali dini, rangi,kabila au itikadi za siasa,
===
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dk John Marco Pima alimfurahisha sana Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kutoa TZS1.37BL kwaajili ya kutekeleza sheria hiyo ya fedha kwa robo ya kwanza ( 1Q ) ya mwaka.

===
Nakwamantiki hiyo kama robo ya mwaka ni TZS 1.37BL kwa mwaka mzima Dk Pima kwa niaba ya Rais Samia atatoa Jumla ya Tshs 5.2BL yaani Vijana watapata Tshs 2.08BL,Wanawake Tshs 2.08BL na Walemavu Tshs 1.04BL hii ni zaidi ya Commercial Bank,
===
Arusha changamkieni fursa hii achaneni na mambo ya Ukamanda tumieni hizi fedha ili mjenge familia zenu najua ninyi kamwe hamuwezi kukimbilia Kanada mmecheleweshwa sana Arusha,
===
Angalia hii,Kama kila kikundi cha watu watano kitapewa Tshs 10M tu Rais Samia kupitia Arusha Jiji atasaidia Jumla ya vikundi 520 kwa mwaka na tutakuwa na Loan Portifolio ya watu|wateja zaidi ya 2,600 ambao kila mmoja atapewa mtaji wa kuanzia wa mil 2

===
Na hii ndio utekelezaji wa Ilani ya CCM ya 2020|25 iliyoahidi ajira 8M kila mwenye macho na aone sasa Juhudi kubwa na nzuri za Rais Samia Suluhu Hassan Mkt wa ccm-tanzania.
===
Tanzania tuna Jumla ya halmashauri 184 kama kila Halmashauri itakuwa na Loan Portfolio ya wateja 1,000 tu nchi nzima kwa mwaka mmoja tutakuwa na Loan Portfolio ya watu 184,000 hapa Umasikini tutausikia tu redioni,

===
Wakurugenzi wengine mnayohaja ya kuiga mfano huu mzuri wa Dk John Marco Pima mkurugenzi wa Jiji la Arusha na natamani matumizi ya 10% yawe ndio kigezo cha Ubora wa Mkurugenzi kwani wanachi lazima waone umuhimu wa kuendelea kuichagua CCM-Tanzania.

VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIV
 
Wewe uliye andika hili bandiko uliishawahi kuupata huo mkopo unaoobgelewa apa
Mimi niko Rombo, hiyo mikopo ta Vijana, wanawaje na walemavu inatolewa kila siku.

Tatizo kubwa ni vikundi hasa vya vijana na walemavu hawarudishi pesa.

Maana watu wanajiunga kikundi ni ilimradi wapewe pesa , hawana mradi wowote wa kikundi wala vision ya pamoja.

Wengine wakishapewa pesa wantimkia Dar.

Ila pesa zipo tele tena ni mikopo isiyo na riba kabisa.

Hivi karibuni kuna vijana 12 wamekopa 30M kununua pikipiki kila mmoja kuoiga bodaboda.

Kwahiyo vijana ushirikiano ndio mafanikio.

Mkishindwa kushirikiana kujiletea maendeleo, mtashirianikishwa kumpigania mwanasiasa ajaze Tumbo lake na watoto wake na michepuko yake.
 
Back
Top Bottom