Arusha Institute of Accountacy: likizo ndefu???

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,386
73,978
Wahusika tunaomba kujua kwa nini KWA CERTIFICATE IN ACCOUNTANCY) , (sijui kozi zingine) chuo kinafunga mwezi huu December 2016, lakini kufungua ni March 2017. Calendar hiyo imekaaje tafadhali.
 
Hahaha sasa ungekua mzumbe si ndo ungeishtaki kabisa....mbona likizo ya kawaida hiyo joh...
 
Back
Top Bottom