Hana hera kihiiivyo ila ni mtoto wa mjini anajua kukuza jina na matanuzihuyo delina tajir sana
Mwanamke/Mwanaume?huyo delina tajir sana
Uyo ni devis mosha mtoto wa mjini!Mwanamke/Mwanaume?
Yani walichofanya sio kuongeza mapato ila ni ku discourage maana unavyopandisha wengi watarudi namba za kawaida ila wangeshusha basi wengi waliokua wanatamani ila wanashindwa kutokana na garama wangejisajili na serikali ingepata mapato mengiKwa mtazamo wangu.. naona kama idadi itapungua... na mapato yatashuka mi nilikuwa nadhani wangepunguza bei kutoka M 5 hadi 2.5 to 3 ili wengi waweke... lakini wao wamepandisha?
Kulikoni jiji ambalo kila mtu ni bilionare lina magari sita tu yenye namba binafsi...au hii taarifa ni ya uongo..wenye 4G waweza itazama hii video
wazo zuri..ila kiuhalisia vitu km hv ambavyo havina umuhimu ktk maisha ya watu wengi isipokuwa mmoja mmoja mwenye pesa..itawafanya watu wajione wanapesa na hivyo kuweka majina yao kwa wingi ktk magari! jamii itawatambua km matajiri na wao watajiona wafahari kubwa na mwisho mapato yataongezeka tu! "prestige goods".Kwa mtazamo wangu.. naona kama idadi itapungua... na mapato yatashuka mi nilikuwa nadhani wangepunguza bei kutoka M 5 hadi 2.5 to 3 ili wengi waweke... lakini wao wamepandisha?
Unajua mkuu hii nchi ya ajabu sana, yani unakua na the so called "wataalam" wenye akili za hivi real! Huu usajiri binafsi sio kwamba ni deal saaana, sasa wao baadala ya kuweka minimum annual fee kama ulivyo suggest hapo ili kuongeza tax base wao na elimu zao mgando huku wakata viuno wa lumumba wakipiga makofi hotuba ikisomwa.Kwa mtazamo wangu.. naona kama idadi itapungua... na mapato yatashuka mi nilikuwa nadhani wangepunguza bei kutoka M 5 hadi 2.5 to 3 ili wengi waweke... lakini wao wamepandisha?
You are right kiongozi. Kuna watu wanafanya mambo bila kufikir kiundani athari zake katika mapatoUnajua mkuu hii nchi ya ajabu sana, yani unakua na the so called "wataalam" wenye akili za hivi real! Huu usajiri binafsi sio kwamba ni deal saaana, sasa wao baadala ya kuweka minimum annual fee kama ulivyo suggest hapo ili kuongeza tax base wao na elimu zao mgando huku wakata viuno wa lumumba wakipiga makofi hotuba ikisomwa.
Trust me with 10mil fee hakuna gari itasajiliwa binafsi na hata hao ambao wamesajili kwenye renewal utaona wakirudisha traditional plate numbers na watakosa hata hicho walikua wanapata. Hiyo 10mil maana yake ni ku-discourage na si ku- in courage.
10mil is an annual comprehensive insurance for a 300mil car (3.5% more or less) so where is the question of using such amount to put a name in a car! Hata kama huyo mtu ni lofa na pesa anaokota.