Arusha: Gari lililokuwa linatangaza Mkutano wa Mbunge Arusha Mjini Godbless Lema lakamatwa na watangazaji wawekwa rumande

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
IMG-20191010-WA0087.jpg
 
Haya ndo yanayotokea kwa wapinzani.. wapinzani wakienda nyumba kwa nyumba kuna nyumba zingine hawatatoka
Wakati chadema wakishangilia "kujimwambafai" kwa JK na waraka wa Membe walioandikiana na Askofu Mwamakula kwa njia ya mtandao, CCM wao wanapita kila nyumba kuhamasisha watu kwenda kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa selikali za mitaa.

Mpaka muda huu nimeshafuatwa na wajumbe 2 wa ccm wote wakiniomba niende kujiandikisha kwenye daftari kwa ajili ya kupiga kura. Sijamuona chadema hata mmoja ni kama hawapo kabisa,,!

Hivi huku mitandaoni ndio mtapiga kura?
Yani hata ZITO anawashinda? Nyie mme ng'ang'ania tu kumtetea Mbowe hivi mnategemea ushindi unakuja mezani?

Ok. Endeleeni kumshangilia Membe kiboko ya jiwe yeye ndio atawapigia kura na kuwatangaza washindi.
Unataka wakamatwe? Unajua ccm mpaka mikutano wanafanya na hawafanywi kitu lakini upinzani hata vikao vya ndani wanavamiwa! Mkurugenzi ameshindwa kuwahamasisha wananchi?
 
Cjana tu kasema haki itendeke?kwl bongo baht mbaya
Leo akiwa Katavi kasema miaka mitano ni ya Chama Tawala kisiingiliwe mpaka muda utakapoisha wataambiwa sasa wote ingieni.
Lema angefanya Mikutano ya ndani
 
Sasa hivi ni zoezi la kuandikisha wapiga kura , ni vyema nguvu nyingi zijielekeze kwenye uhamasishaji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom