Arusha: Diwani wa kata ya Osunyai, Elirehema Nnko(CHADEMA) ajiuzulu na kujiunga na CCM

Chadema inabidi wabuni mbinu za kudhibiti hii hali na kuwapa mafunzo madiwani wake. Wengi wa madiwani walijiingiza kwenye udiwani wakijua watakuwa mabosi na kujipatia fursa na hela kibao. Matokeo take hakuna hela,fursa zimefungwa,wanadharauliwa na kupelekeshwa kibabe,hawasikilizwi na wananchi wanawatuhumu kuwa hawaleti mabadiliko ktk maeneo yao. Kiukweli bila mkakati makini madiwani wote watakwisha na chama kitaonekana hakina jipya toka ngazi za chini.
Kusema waache wahame hakusaidii chama wala hakuoneshi uwajibikaji wa viongozi wa juu wa chama! Walioko kwenye ubunge wanalipwa vyema hivyo wanaweza kung'ang'ana chamani. Tujirekebishe na hatua zichukuliwe.
 
....
Meya wa Jiji la Arusha, Kalist Lazaro amesema madiwani waliojiuzuru walitokana na mafuriko ya mwaka 2015 na walikuwa hawajui joto la kuwa kiongozi wa upinzani...

Kwa kauli hii msijeshangaa siku mkisikia Wale Wazee wamerudi Kundini
 
IMG_20180313_094533_949.JPG

 
Back
Top Bottom