Arusha: Diwani wa kata ya Engutoto, Aman Rewad(CHADEMA) ajiuzulu na kujiunga CCM

Diwani was kata ya Engutoto kupitia CDM mh. Aman Rewad amejiuzulu na kujiunga CCM leo. Asema amechoka kuwatumikia miungu watu....

Aondoke. Kichwa chake siyo mali. Ni gharasha. Mwanaume mashine. Hakimbii matatizo.
 
Ina maana kama amechoka kutumikia miungu ni dhahiri sasa anakwenda kutumika mashetani...
 
Back
Top Bottom