ARUSHA CRISIS: Anna Makinda kutoa TAMKO? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ARUSHA CRISIS: Anna Makinda kutoa TAMKO?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kachanchabuseta, Jan 6, 2011.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kukamatwa kwa wabunge wake
  Je ANNA MAkinda atatoa tamko kulaani police na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria??
   
 2. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Nitashangaa sana. Hata akitoa tamko atakachosema ni kuwa wabunge hawako juu ya sheria. Tumempoteza Spika wa ukweli kwa kupewa Ma-kinda
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  ANAWEZA KUJA KUCHEZA MAKIDa
   
 4. k

  katitu JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 215
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Kwani Anne Makinda ni mbunge wa chadema au cccm?Atatoa tamko kama nani?Nijuavyo mimi Anne Makinda ni spika wa wabunge wote waliopo ndani ya nyumba
   
 5. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Mnafiki tu huyo akaote moto kwao njombe huko. Wangekuwa ni wabunge wa ccm ungesha muona mbio mbio kaenda Arusha.
   
 6. G

  Gurti JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna shera/kanuni ya kinga na madaraka madaraka ya mbunge zimevunjwa hasa kwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni iwe bungeni au nje ya bunge. Anatakiwa alaani kitendo kile kama spika wa ukweli. Ila kama shabiki wa ccm anaweza nyamaza au shabikia ccm kwa kusema cdm wamekosea
   
 7. O

  Omumura JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  sitegemei kipya kutoka kwa makinda ndani ya mfumo huo huo hata kama atatoa tamko la aina gani!
   
 8. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Atasema viherehere vyao vimewaponza
   
 9. m

  moma2k JF-Expert Member

  #9
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 953
  Likes Received: 984
  Trophy Points: 180
  Anna Makinda ndyo nani katika nchi hii? Yeye ni sehemu ya MAFISADI. Yeye amechaguliwa na watu wa Njombe. Sisis watanzania hatuja mchagua ktk nafasi yoyote. Aende akatoe tamko huko kwao Njombe kwa wapiga kura wake. SASA HATUHITAJI MATAMKO BALI UWAJIBIKAJI:
  -IGP(MWEMA)MBAYA AJIHUZURU,
  -WAZIRI MWENYE DHAMANA NA POLISI AJIHUZURI NA KURUDI KWAO ZANZIBAR,
  -RPC ATOKE NA KUACHISHWA KAZI HUYU NI MNYAMA KABISA HAJA SOMA!
  -KIKWETE J AWAOMBE RADHI WA TZ KWA UNYAMA HUO,
  -PINDA MIZENGO AACHE UNAFIKI.

  NB: NAAMINI TOKA MOYONI MWANGU NA MBELE YA MUNGU, KAMA WAZIRI MKUU ANGEKUWA LOWASSA EDWARD HAYA MAUAJI YA KINYAMA HAYANGETOKEA.
   
 10. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #10
  Jan 6, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  Ana Makinda is nothing to Tanzania hana lolote lakin yeye kama spika inabidi awalide wabunge wake
   
Loading...