Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,775
- 3,610
Arusha Airport
Tembo Club
Tembo Club
Karibu sana.natamani sana kuishi huo mkoa sema kuvamia mikoa ya watu kichwa kichwa unaweza kulia na utu uzima hivi hivi
Aaaaah "lemala" check ulivyo mshambaa Kaa kwa kutulia na miji YA watuHayo maghorofa uliyoyaweka hapo ni ya wahindi...mwarusha wa kawaida anakaa maeneo ya ovyo ovyo kama majengo.kwa moromboo.matejoo.unga ltd.lemala...barabara hakuna huko...vijinjia vidogo vidogo wanavyonunua kwa wazee wakiarusha
Acha roho mbaya na wivu wewe.Hayo maghorofa uliyoyaweka hapo ni ya wahindi...mwarusha wa kawaida anakaa maeneo ya ovyo ovyo kama majengo.kwa moromboo.matejoo.unga ltd.lemala...barabara hakuna huko...vijinjia vidogo vidogo wanavyonunua kwa wazee wakiarusha
Hamna kitu Arusha...75% ya mji huu haujapimwa viwanja...watu wanakaa kwenye slums...mitaa michache sana ya maana labda njiro tuAaaaah "lemala" check ulivyo mshambaa Kaa kwa kutulia na miji YA watu
Arusha eneo kubwa lina tindiga...nyumba unajenga haimalizi miaka 5 inapasuka mbayaacha roho mbaya na wivu wewe.
Ndiyo maana unaambiwa usivamie miji ya watu.Arusha eneo kubwa lina tindiga...nyumba unajenga haimalizi miaka 5 inapasuka mbaya