Arusha bila maandamano imewezekana hali kadhalika na nchi nzima linawezekana

Zanika

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,316
752
Asante Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wasaidizi wako hususani Mkuu wa Mkoa wa Arusha na kamati yake ya Usalama pamoja na Wananchi wote wa Arusha.

Hili limewezekana na litadumu kote Nchini.

Watanzania msiyumbishwe na kudanganywa na waharibifu ambao ni vibaraka wanaotafuta kuiharibu nchi yetu.

Mmewakataa kwenye uchaguzi sasa wanatafuta kutumia damu zenu wafikie malengo yao dhalimu. Hawa ni hatari na wa kuepukwa kama ukoma.

#webcumcallgirlcannevermanipulateoursociety#
 
Attachments

  • e2a9cd3cde8a5c851e7779b3e0b5d1b4.mp4
    3.8 MB · Views: 46
Akina nani hao wamekataliwa kwenye uchaguzi sasa wanataka kutumia dam za watanzania wafikie malengo yao dhalimu ?
 
Mange Kimambi ni Mwanachama wa CCM

Tangu Mange Kimambi agombee ubunge CCM hajawahi kujitoa CCM

Mange Kimambi hakuwahi kufukuzwa uanachama CCM

Nyerere Alisema upinzani imara utatoka ndani ya CCM na huyo ni Mange

Maandamano ni ya Wanaccm, watanzania (Mgambo, Jeshi, Polisi etc)

Kwani waliotaka kumpindua Nyerere ni akina nani? Ni Wana CCM (TANU)

Someni historia nyie vilaza wa Lumumba/UVCCM aka Buku 7
 
Asante Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wasaidizi wako hususan
Mkuu wa Mkoa wa Arusha na kamati yake ya Usalama pamoja na Wananchi wote wa Arusha.

Hili limewezekana na litadumu kote Nchini.

Watanzania msiyumbishwe na kudanganywa na waharibifu ambao ni vibaraka wanaotafuta kuiharibu nchi yetu.

Mmewakataa kwenye uchaguzi sasa wanatafuta kutumia damu zenu wafikie malengo yao dhalimu. Hawa ni hatari na wa kuepukwa kama ukoma.

#webcumcallgirlcannevermanipulateoursociety#
Mkuu waCatholic wa Congo naona mmepishana kwenye matumizi ya mistari iyo ya biblia, ao biblia zenu zinatofautiana yao haina huo mstari?
 
Mange Kimambi ni Mwanachama wa CCM

Tangu Mange Kimambi agombee ubunge CCM hajawahi kujitoa CCM

Mange Kimambi hakuwahi kufukuzwa uanachama CCM

Nyerere Alisema upinzani imara utatoka ndani ya CCM na huyo ni Mange

Maandamano ni ya Wanaccm, watanzania (Mgambo, Jeshi, Polisi etc)

Kwani waliotaka kumpindua Nyerere ni akina nani? Ni Wana CCM (TANU)

Someni historia nyie vilaza wa Lumumba/UVCCM aka Buku 7
Kwa hiyo na lowasa ni mwanaccm sio au kisharudisha kadi?
 
Au elimu yako ndio tatizo? au upeo wa kufikiri ndio mgogoro? uwe unafikiri kabla ya kuandika.
Povu la nini ,nimeuliza swali unijibu.Mtoa uzi hajabainisha ni akina nani ,nikauliza sababu sisi wenye elimu na upeo mdogo maelezo yasipojitosheleza hutujui tunayapata wapi zaidi ya kuuliza
1. Elimu yangu ni tatizo
2. Upeo wangu kufikiri mgogoro

Nyie wenye elimu na upeo wa kufikiri msipo tusaidia tunapouliza maswali unategemea nini mkuu?
 
Asante Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wasaidizi wako hususani Mkuu wa Mkoa wa Arusha na kamati yake ya Usalama pamoja na Wananchi wote wa Arusha.

Hili limewezekana na litadumu kote Nchini.

Watanzania msiyumbishwe na kudanganywa na waharibifu ambao ni vibaraka wanaotafuta kuiharibu nchi yetu.

Mmewakataa kwenye uchaguzi sasa wanatafuta kutumia damu zenu wafikie malengo yao dhalimu. Hawa ni hatari na wa kuepukwa kama ukoma.

#webcumcallgirlcannevermanipulateoursociety#

Buku 7 kwa siku
Mambo ni
LUMUMBA street
 
Lema kaanza kuona umuhimu wa ushirikiano na Viongozi wa Serikal
Nae Kubenea anapeleka kusudio la kutaka Tume huru ya Uchaguzi wakati ni wao waliosusia Mchakato wa Jakaya kuwaachia Tume huru ya Uchaguzi kwa kuwa tu mambo ya Serikal tatu yakikataliwa
 
Mange Kimambi ni Mwanachama wa CCM

Tangu Mange Kimambi agombee ubunge CCM hajawahi kujitoa CCM

Mange Kimambi hakuwahi kufukuzwa uanachama CCM

Nyerere Alisema upinzani imara utatoka ndani ya CCM na huyo ni Mange

Maandamano ni ya Wanaccm, watanzania (Mgambo, Jeshi, Polisi etc)

Kwani waliotaka kumpindua Nyerere ni akina nani? Ni Wana CCM (TANU)

Someni historia nyie vilaza wa Lumumba/UVCCM aka Buku 7
thubutu yenu maandamano mtayafanyia ndani ya nyumba zenu.
 
Hv huu ni uzi wangapi kuhusu maandamano CCM na wao si waandamane kumsifia rais
 
Back
Top Bottom