Arusha: Askari aua mwananchi, nao wananchi wakachoma office za misitu

Marehemu kweli alikuwa na makosa.suma jkt walikuwa sahihi kumuua
Hii stori imeelezwa upande mmoja alafu kila mtu analaumu SUMA JKT.
Mpaka mtu apigwe risasi maana yake huyo mwenye silaha alikuwa threatened.
What if hao wananchi walipokuwa wanaondolewa walitaka kudhuru hao askari kwa silaha za jadi kama mapanga! Kwenye matukio kama haya lazima kupata maelezo ya pande zote mbili kabla ya kujaa mihemko. Mpaka mtu afyatue risasi zipo conditions zinazoruhusu hiyo hali. Kama hujui sheria za silaha hamuwezi kujua hili. Tuviachie vyombo husika vichunguze na ukweli kubainika, tusihukumu.
 
Wewe hujaelewa story aliyepigwa risasi ni mtu mwingine kabisa na hausiki na uhalifu huo wa kuchungia ngome kwenye hifadhi
Aliyepigwa risasi alikuwa akilima
 
Back
Top Bottom