Arusha: Ashikiliwa na Polisi kwa kumuua kaka yake kwa kumzuia kumwingilia shemeji yake kimwili

myoyambendi

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
105,405
2,000
Huyo ana tatizo mahali! Kuna fuse zimekatika.

Mimi ni Mmasai. Kiuhalisia shemeji (mke wa kaka au mdogo wako) ni watu ambao kamwe hata sehemu moja hamuwezi kukaa. Ni watu wanaoheshimiana sana.

Akikukuta mahali basi wewe unaondoka ama yeye arudi.

Kama mna maongezi (lomoni) basi mnakaa sehemu ambapo hata hamuonani. Mnasikiliziana tu sauti.

Sasa mpaka inafikia hatua ya kutaka kumlala shemeji yake, ni laana kubwa sana. Haikuachi salama hata kidogo.
Aisee..
 

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
3,271
2,000

Jeshi la polisi mkoani Arusha linamshikilia Melita Ndaletyan, mfugaji na mkazi wa Noondoto wilayani Longido, baada ya kumuuwa kwa kumkata na kitu chenye ncha kali shingoni Kaka yake Kiseri Ndaletyan, baada ya mtuhumiwa kuzuiliwa kumuingilia kimwili mke wa kaka yake huyo.
Huyu Masai nyege zimempanda mpaka kapandisha mori nakumuua kaka ake kweli nyege mbaya ngoja naye akapakatwe wanyampala
 

Anita Kajembe

JF-Expert Member
Jun 29, 2021
216
500
jamaa ni nouma, yaani alitaka kuula mzigo wa kaka yake aliye hai - hii kitu ni taam aiseee... inaweza kugombanisha ndugu wa damu adi mauti.
Inawwzekana alitaka kufanya marudio alisha ionja ya shemeji kabla ya hapo.
 

Nyendeke

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
1,547
2,000
Ndio mana hawa Jamaa ukienda Hifadhini nao huwa ni sehemu ya Utalii. Ni ngumu sana kutofautisha Mnyama na Wazee wa Shuka Chupi Tako...!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom