johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,599
- 141,415
Chadema ni CCM B!Kinachofurahisha Ni kwamba Bananga ametokea Chadema.
Kuna watu kina johnthebaptist, Mayala, Crimea na wengine wengi ambao tangu wakati wa mkapa walikua wakisifu na kuabudu lkn linapokuja suala la uteuzi wanafikiriwa kina Bananga kwanza.
Chadema Ni chuo.
Mawaziri Bora Hadi Sasa Ni wale waliofundwa Chadema.