Arusha: Aliyekuwa Meya na Mkurugenzi wamwaga machozi makabidhiano ya Ofisi

Mayor amechagua lililojema ,jpm atamkumbuka huko mbeleni

State agent
Utadhani jpm ni Mungu! Yeye mwenyewe anatafuta wanaccm wamkumbuke 2020 na kumsahau Kachero mbobezi Bernard Kamilius Membe ambaye anachukua jaramba kimyakimya.
Pamoja na vitisho vya hapa na pale eti huo ni uhaini yeye kaishia kucheka tuu na kuendelea na tizi la nguvu huku akipigiwa chapuo na wanaccm waijuayo siasa na fitna zake.
Jamaa kwa kiwewe ameagiza Trilioni moja kuwapa wanajeshi walipwe kodi zao za nyumba wakati hazina hawana hiyo hela na wanajeshi hawapigi kura mkutano wa uteuzi CCM mwakani.
 
Endelea kuota na huyo Membe wenu. Najua ndiyo mgombea wenu wanasaccos ya Chadema 2020!
Kama Magufuli na team yake wanamuona Membe ni tishio kwa nafasi yao 2020 wewe magu2016 ni nani hadi uwapinge?
Wewe kama vuvuzela la chama subiri ili Membe akimgalagaza uje hapa uendelee na kazi yako ya kumuimbia mpya.
 
Kifupi huyu meya Mimi Ni mmoja niliyekuwa namuunga mkono kwa kazi zake akiwa chadema.Mimi chadema Nina watu watatu tu ninaosifu kwa utendaji wao huyu meya wa Arusha Kalisti Lazaro,meya wa Moshi mjini na mbunge wa Momba.

Calisti Lazaro alikuwa na uwezo mkubwa Hadi wa kutafuta wafadhili wa nje kusaidia Manispaa ya Arusha .Kwa chadema meya mwingine ninayemkubali utendaji wake ni meya wa Moshi mjini.Yuko vizuri

Kwa wabunge Ni mbunge wa Momba tu.Wabunge wengine wa Chadema vichwani sifuri.Huyo mbunge wa Momba Ana akili sio utani chadema Haina mbunge mwenye akili nyingi Kama wa Momba
Heri yao kuliko wabunge wa ccm kichwani ni kinyesi tupu
tapatalk_1574753445754.jpeg
 
Sasa huo usaliti aliofanya umefanya kazi yote aliyofanya ionekane ya bure
 
Tupe na mtizamo wako kwa upande wa pili
Kifupi huyu meya Mimi Ni mmoja niliyekuwa namuunga mkono kwa kazi zake akiwa chadema.Mimi chadema Nina watu watatu tu ninaosifu kwa utendaji wao huyu meya wa Arusha Kalisti Lazaro,meya wa Moshi mjini na mbunge wa Momba.

Calisti Lazaro alikuwa na uwezo mkubwa Hadi wa kutafuta wafadhili wa nje kusaidia Manispaa ya Arusha .Kwa chadema meya mwingine ninayemkubali utendaji wake ni meya wa Moshi mjini.Yuko vizuri

Kwa wabunge Ni mbunge wa Momba tu.Wabunge wengine wa Chadema vichwani sifuri.Huyo mbunge wa Momba Ana akili sio utani chadema Haina mbunge mwenye akili nyingi Kama wa Momba
 
Kifupi huyu meya Mimi Ni mmoja niliyekuwa namuunga mkono kwa kazi zake akiwa chadema.Mimi chadema Nina watu watatu tu ninaosifu kwa utendaji wao huyu meya wa Arusha Kalisti Lazaro,meya wa Moshi mjini na mbunge wa Momba.

Calisti Lazaro alikuwa na uwezo mkubwa Hadi wa kutafuta wafadhili wa nje kusaidia Manispaa ya Arusha .Kwa chadema meya mwingine ninayemkubali utendaji wake ni meya wa Moshi mjini.Yuko vizuri

Kwa wabunge Ni mbunge wa Momba tu.Wabunge wengine wa Chadema vichwani sifuri.Huyo mbunge wa Momba Ana akili sio utani chadema Haina mbunge mwenye akili nyingi Kama wa Momba
Anaitwa nani huyo wa momba?
 
Back
Top Bottom