Arumeru Mashariki: Wanachama na viongozi UVCCM kuhamia CHADEMA

Hahahaa Ben the looser eti Slaa anajua unafanya nini, huyu huyu Slaa aliyekuita mhaini usimsingizie. Hutaki kufungua matawi ya chama unataka ufanye nini, ukakae ofisini? ohoo poor the Boss kumbe hata siasa hujui.

I can imagine a picture of a young man who is so desperate after making a stupid mistake of organizing an illegal alliance in Chadema. Baada ya kushindwa ndani ya Bavicha sasa anaongoza alliance nyingine ndani JF eti wanajiita Guerilla Movement Group another grave mistake in political arena, hizo ni speed za mende tu zitaishia chini ya kabati. Quinine ameziita movements zako 'Malema Type', umeona mentor wako alipoishia at least yeye alikuwa na base wewe huna hata ofisi ya shina you wont go anywhere.

Chadema haihitaji movements hizo inahitaji watu wa kwenda vijijini kama kina Heche, kina Zitto wanashinda vijijini wanalala vijijini wananyeshewa mvua vijijini si tunawaona? Juzi walikuwa Tanga wewe unataka uwe boss ofisini mtaa wa Togo ukitoka unahudhuria mkutano pale Ubungo Plaza baada ya hapo unakwenda kupumzika Nairobi, if that is what you are looking for you won't find in Chadema huo ndio ukweli ambao hutaki kuusikia.

A piece of advice instead of fighting a war that you know you will never win better find a respective job related to your qualifications PA, the job i can suggest is a personal secretary. Good Luck.

huyo janjaweed sijui mtamzuiaje huko.hivi nini msimamo wa chadema kuhusiana na ghaddafi au utawala wa mugabe zimbawe.naona ben yeye yupo na misimao yake na kuwaita wapinzani kule zimbabwe kama akina moragan tsavangirai kuwa ni vibaraka.na vipi chadema ina uhusiano na chama gani kenya?chadema iko upande wa akina uhuru kenyatta (sera ya vijana) au inaegemea upande wa akina odinga?kuna kijana anaitwa lewis onyoni ben alikuwa na ugomvi nae hadi sasa jama anatumia muda hadi kuunga mkono mahasimu wa huyo kijana kwenye kura za maoni ndani ya chama chao.huyo kijana ana tofauti na ben tangu chuo kikuu lakini visasi hawamalizi na tenda ya kuchapa t-shirt za huyo mpinzani wa lewis nchini India ben saanane ndiye anayeunganisha
Kusema kweli sijui ni kitu gani kinampa kujiamini kiasi hiki.
 
Feedback/Quinine,

1.Maskini unatia huruma mno .......Ha ha ha haaah! Narudia tena Katibu mkuu anajua nipo kanda ya ziwa pamoja na majukumu yangu ya kikazi nakisaidia chama changu pia.Ninafanya kazi sitegemei kujipendekeza ili nipate hela ya kugharamia maisha yangu,i dont have a price tag.Tafuta kazi ufanye,acha majungu.Hivi haujishtukii tu ? Muda wote umekuwa kwenye siasa tangu 1995 unapoteza hope.Unadhani kwenda Nairobi au kukaa Ubungo Laza ni ambition ya kila mtu? please,i beg dont crack my ribs !

Betwwen me and you who's a looser? Kuhama hama vyama kutoka NCCR-Mageuzi ni lazima kukufanye uwe na tatizo la kisaikolojia.Nalielewa hili ndiyo mana huwa ninakujibu very fairly,just on humanitarian ground.Sikujibu vizuri kama vile najipendekeza,sina uzoefu huo kama wewe isipokuwa nakujibu kibinadamu kulingana na hali yako ilivyo kwa sasa.Healing therapy...!

2. Kuhusu maswala ya Bavicha au uchaguzi nilishakuambia tusubiri uchaguzi ndani ya chama currently watu tunafanya kazi ya kujenga chama.Hayo mengine subiri chaguzi za ndani na kama unavyojua mimi siyo mtu wa kubebwa na sina uzoefu huo kama wewe na wenzako.So,sihitaji kujipendekeza na maamuzi kupitia sanduku la kura ni ya wapiga kura basi.Siogopi uchaguzi,sijawahi na sitawahi kuogopa sanduku la kura.

I'll always stand for my principles.Watch my steps........! Ati Malema kitu gani?yes,the guy anajua anachosimamia na kuna thread nyingine kuhusu julius malema na usaliti wa Jacob Zuma kwa watu wa Afrika kusini na Africa kwa ujumla,kuna story kuhusu kibaraka wa type yako Jacob Zuma dhidi ya Comrade Muammar Gaddafi.Nenda kajadili kule.Stop derailling this thread...

3.Pia usiwe emotional kiasi hicho.Unakuwa desparate mno,njaa zitakumaliza wewe na wenzako.Even with someone by your side telling you what to write, you can't spell! (Spits on the ground)
embarassed.gif
. SO much of a consolation for those who still have hope in you

Haya sasa turudi kwenye thread.....! Peleka frustration zako kwingine.Kama wewe ni mwanaume kweli na una ujasiri jitokeze na ID yako Real halafu uandike haya unayoandika,lol.
Wazee walikuita HAINI hilo ni doa kubwa sana katika siasa no body will trust you anymore. Hilo doa ndilo linalokuhangaisha kuanzisha ma alliance huku na huko ambayo yanazidi kukuchafua zaidi, uko frustrated kiasi kwamba unakesha JF kutafuta sympathy kwa watu wanaomtukana mwenyekiti Mbowe. Hadi utakapojirekebisha am telling you again 'you wont go anywhere'.
 
Feedback/Quinine,

Betwwen me and you who's a looser? Kuhama hama vyama kutoka NCCR-Mageuzi ni lazima kukufanye uwe na tatizo la kisaikolojia.
Ben/TUNTEMEKE

Umeandika mengi with no substance meaning, nitakujibu kwa kifupi kama ifuatavyo:-

Kama unasema mimi ni kiongozi ndani ya CDM na wewe ulienguliwa kwa uhaini then who is the looser. Halafu nani alikuambia mimi nilikuwa NCCR au ndiyo hayo yanaitwa Majungu Express.

Mwisho, kama wewe ni Chadema kitendo cha kumshambulia Mwenyekiti kwa kutumia ID mbalimbali si cha kiungwana, mnamrushia M/kiti matusi kwa mgongo wa kushauri..hiyo haikubaliki, hata kama hutumii ID ya Ben kumshambulia lakini kitendo cha wewe kuji associate na kundi linalomshambulia M/kiti si cha kiungwana. Take it or lose it.
 
Wazee walikuita HAINI hilo ni doa kubwa sana katika siasa no body will trust you anymore. Hilo doa ndilo linalokuhangaisha kuanzisha ma alliance huku na huko ambayo yanazidi kukuchafua zaidi, uko frustrated kiasi kwamba unakesha JF kutafuta sympathy kwa watu wanaomtukana mwenyekiti Mbowe. Hadi utakapojirekebisha am telling you again 'you wont go anywhere'.

huyu ni mzee wa alliance.alifanya hivyo na wakikuyu dhidi ya mgombea mkisii uchaguzi wa jumuiya ya wakenya.chadema mzuieni huyu jamaa atawaletea matatizo.nyuma yao naona kundi kubwa la vijana ambao watatekwa kirahisi na ajenda zao.hata uchaguzi wa bavicha niliona jinsi haka kajamaa kalivyojenga hoja tamu na zenye ushawishi na ukizingatia alikuwa hajawahi kusikika katika siasa za tanzania.kamwe msiwaruhusu kujieleza mbele ya wajumbe...hawa dawa yao ni kuwafukuza na au kuwaengua kabla ya kura tu
naskia uchaguzi wa bavicha kabla hawajaenguliwa kundi lake lilitumia wanawake vibaya,walichukua mabiti wa chuo kukuuu mlimani wakawa ndiyo wanagawa vipeperushi na kampeni kwa wanaume ambao ndiyo walikuwa wajumbe ambao wangepiga kura kwa wingi.

Ben/TUNTEMEKE

Umeandika mengi with no substance meaning, nitakujibu kwa kifupi kama ifuatavyo:-

Kama unasema mimi ni kiongozi ndani ya CDM na wewe ulienguliwa kwa uhaini then who is the looser. Halafu nani alikuambia mimi nilikuwa NCCR au ndiyo hayo yanaitwa Majungu Express.

Mwisho, kama wewe ni Chadema kitendo cha kumshambulia Mwenyekiti kwa kutumia ID mbalimbali si cha kiungwana, mnamrushia M/kiti matusi kwa mgongo wa kushauri..hiyo haikubaliki, hata kama hutumii ID ya Ben kumshambulia lakini kitendo cha wewe kuji associate na kundi linalomshambulia M/kiti si cha kiungwana. Take it or lose it.

Tayari nimeshakuwa Tuntemeke siyo? Huyo tuntemeke mnamuita habibu mchange,waberoya mara sijui nani sasa imebidi mumuite Ben siyo?.........Thibitisha madai yako.ID yangu JF ni Ben na sina ID nyingine kama nyie wanafiki mlivyo,najiamini na sina unafiki,sijipendekezi na vile vile simhofii mtu yeyote yule mkuu.I'll always stand for what i believe in....!

Mods nawapa Ruhusa ya ku-disclose ID yangu kama mimi ndiye TUNTEMEKE.

Pia thibitisha madai yako kwamba natumia ID nyingi kumtukana Mwenyekiti.Usitafute sympathy,msimao wangu hapa unajulikana

Halafu sina haja ya kumtukana Mbowe kama unavyofikiria.Pia uelewa wako ni finyu sana,ni wapi katika maandishi yangu nimekuita kiongozi ndani ya chadema?au umechanganyikiwa na lugha tu? Usiogope/msiogope kurudi darasani......

You are worth to be ignored anyways !
 
Tayari nimeshakuwa Tuntemeke siyo? Huyo tuntemeke mnamuita habibu mchange,waberoya mara sijui nani sasa imebidi mumuite Ben siyo?.........Thibitisha madai yako.ID yangu JF ni Ben na sina ID nyingine kama nyie wanafiki mlivyo,
Kumbe mkuki kwa nguruwe.....mara ngapi umekuwa ukiandika Feedbak/Quinine hatujaona si Quinine wala Feedback amelalamika hapo sasa mnafiki ni yupi. Hatutaki kulalama nyie endeleeni kama mmeamua kupakana matope hadharani usitafute huruma kwa mods hapa.

Feedback/Quinine,

1.Maskini unatia huruma mno .......Ha ha ha haaah!

Quinine/Feedback,

Ha hahahahhahh!...Roho inakuuma eeh,Asante sana kwa ushauri though.
 
huyu ni mzee wa alliance.alifanya hivyo na wakikuyu dhidi ya mgombea mkisii uchaguzi wa jumuiya ya wakenya.chadema mzuieni huyu jamaa atawaletea matatizo.nyuma yao naona kundi kubwa la vijana ambao watatekwa kirahisi na ajenda zao.hata uchaguzi wa bavicha niliona jinsi haka kajamaa kalivyojenga hoja tamu na zenye ushawishi na ukizingatia alikuwa hajawahi kusikika katika siasa za tanzania.kamwe msiwaruhusu kujieleza mbele ya wajumbe...hawa dawa yao ni kuwafukuza na au kuwaengua kabla ya kura tu
naskia uchaguzi wa bavicha kabla hawajaenguliwa kundi lake lilitumia wanawake vibaya,walichukua mabiti wa chuo kukuuu mlimani wakawa ndiyo wanagawa vipeperushi na kampeni kwa wanaume ambao ndiyo walikuwa wajumbe ambao wangepiga kura kwa wingi.

Si vizuri kumzuia yeye arushe karata yake lakini asilete mambo ya rushwa tena, nafikiri wahusika wanasoma ushauri wakoutawafikia.
 
Ninyi nyote ni ndg. Mbona wagombana? (Ben, Feedback, Quinine). Punguzeni jazba, kuna kazi kubwa mbele yenu ya kukijenga chama. If you are all CDM, you should all stand as one team, one standard and one product.
 
Usiogope/msiogope kurudi darasani......
Katika yote uliyobwabwaja hilo ndilo la msingi..Ni kweli hiyo level yako ya PA uliyoungaunga juzi kwa wadosi ambayo hata secretary wangu anayo sikumbuki hata cheti chake kilipo toka miaka ya 90 ya kina Mwinyi.
 
:juggle: Kazi kweli kweli. Hadi tufike 2015 wengi watahama, sijui magamba watabaki na nani? Karibuni CDM, lakini vigezo na masharti vizingatiwe, tusije ongeza akina shibuda wengine kwenye chama....!!
 
Kumbe mkuki kwa nguruwe.....mara ngapi umekuwa ukiandika Feedbak/Quinine hatujaona si Quinine wala Feedback amelalamika hapo sasa mnafiki ni yupi. Hatutaki kulalama nyie endeleeni kama mmeamua kupakana matope hadharani usitafute huruma kwa mods hapa.

Ndiyo feedback ni Quinine ana ID zaidi ya mbili...mimi nina ID moja kwa miaka 5 ambayo nimekuwa mwanachama wa JF ndiyo maana nikawa na ujasiri wa kuwapa ruhusu Mods ku-disclose ID zangu ili kuwaaibisha wanafiki.Yeye Feedback/Quinine hana ujasiri wa kwapa ruhusa mods ku-disclose ID zake kwa kuwa ni kweli ana ID zaidi ya moja.Mbona hizi ni akili za kawaida tu?Mimi niko na ID yangu real,sina haja ya kutafuta huruma kwa mods,nina ujasiri wa kutosha.......Haters mtapata tabu sana.

Si vizuri kumzuia yeye arushe karata yake lakini asilete mambo ya rushwa tena, nafikiri wahusika wanasoma ushauri wakoutawafikia.

Unafiki wako utakufanya uonekane zezeta....Thibitisha hizo tuhuma za Rushwa.Njoo na evidence yoyote.Na kama nilikuwa na tuhuma za Rushwa ni kwa nini chama changu kinachosizitiza juu ya uwazi na uwajibikakji kisinipeleke TAKUKURU? Chama changu kinasizizitiza juu ya kuwachukulia hatua watuhumiwa wa EPA,MEREMETA nk. Kwa akili za kawaida tu,chama kingetumia turufu hii kuonyesha kwamba Rushwa na ufisadi haukubaliki kwa kunipeleka TAKUKURU.Acha majungu,na kampeni zenu za kuchafua watu hapa hazitafanikiwa.Targeted to a very wrong person.

Kuhusu kugombe,sasa hivi tunajenga chama na hata hivyo hakuna binadamu wa kunizuia kugombea nafasi yoyote sana sana tu nitacheza mchezo salama nisikataliwe na wapiga kura.Nikiamua kugombe wewe na wenzako hamna uwezo wa kunizuia na wala sitegemei kubebwa......Stay tuned !
Kwa hiyo huwa unatumia ID moja tu kumtukana?
Facts 1,

Akili zako ndizo zilizokufikisha kwenye hitimisho hilo kulingana na majibu yangu? Yeah,inawezekana natumia ID moja kumtukana .......

Ninyi nyote ni ndg. Mbona wagombana? (Ben, Feedback, Quinine). Punguzeni jazba, kuna kazi kubwa mbele yenu ya kukijenga chama. If you are all CDM, you should all stand as one team, one standard and one product.

Mungi,

Nitake radhi,Mimi nitoe kwenye hiyo list.Siwezi kuwa na undugu na vibaraka.Hata kama ningekuwa nimezaliwa nao tumbo moja ningejaribu kuwarekebisha ikishindikana ningewakana.Siwezi kuwa na undugu nao,hatuna kitu chochote in common na wao....

Yeah,wanachadema wa kweli ni lazima tuwe timu moja nimekuwa nikisizitiza hili.Hawa unaowaona hapa sio wanachadema,cartel ya waganga njaa kwa mgongo wa siasa.Mkuu,Chadema tuko kitu kimoja tunapiga kazi.Leo niko Geita tunakutana na madiwani wa chadema kuweka mikakati ya ukombozi,tuwaokoe wananchi kwenye makucha ya makaburu wanaowafanya wanageita kuwa wakimbizi ndani ya nchi yao kwa kigezo cha uwekezaji.....
Katika yote uliyobwabwaja hilo ndilo la msingi..Ni kweli hiyo level yako ya PA uliyoungaunga juzi kwa wadosi ambayo hata secretary wangu anayo sikumbuki hata cheti chake kilipo toka miaka ya 90 ya kina Mwinyi.

Inferiority complex inakusumbua.....Endelea kujifariji,yeah serikali yangu ilinipeleka India kusoma,Chuo changu kilinipeleaka Uingereza kusoma Masters nikaambiwa rudi kaijenge nchi yako,ndiyo nimerudi kusafisha uchafu.Nitaanzia kwenye mtaa wangu,ndani ya chama au taasisi yoyote nitakayofanya kazi,ndani ya nchi ya nchi yangu Tanzania na Afrika kwa ujumla.Najua njiani ni lazima nikutane vikwazo,ingawa ninyi hauwezi kuwa kikwazo kwangu.... ambition yangu na wale tulio na mtazamo unaofanana is To revive PAN-AFRICANISM.Ni lazima tuanzie mbali.

Pia,Tatizo lako la kisaikolojia haliwezi kupata tiba hapa.Sitaki kukuongezea msongo wa mawazo

NB: WanaJF, tuendelee sasa na mjadala .Kuanzioa sasa nitapuuza hoja za hawa waganga njaa isipokuwa wakijaribu kuleta upotoshaji sitawaacha.
 
Madikteta hawawezi kujificha.siasa za tanzania haziwezi kuvumilia extrimism.Jacob Zuma unamuona kibaraka kwa kuwa hakumtetea Gaddaffi kwenye baraza la usalama?waache walibya waamue wanamtaka nani.Najua unahasira na Zuma kwa alichomfanyia rafiki yako.Mbona mlipokutana kenya haukumwambia mwenzako kuwa rais wake ni kibaraka?
Halafu ulivyomjibu feedback hapo umeonyesha jeuri na kumdhalilisha mwenzako kwa kiwango cha hali ya juu.

Sijui ni kwa nini hupendi kushindwa.Na uliosema wamezoea kubebwa ni akina nani? akina Heche?hivi wanachadema mlioko huku,uhusiano wa ben saanane na uongozi wa bavicha uliopo madarakani ukoja maana ilishasemekana jamaa aliapa hatakaa kikao ambacho heche na viongozi wa sasa wa bavicha taifa wanaongoza kwa sababu anadai ni vibaraka waliopandikizwa na kubebwa kwa maslahi ya mbowe.kama hashirikiani na bavicha mbona hawara yake juliat shonza ni makamu mwenyekiti wa bavicha hiyo hiyo?kundi lake na watu wa mbeya lina utata..kuna siku niliwaona pale calabash mwenge wakiwa na mtatiro wa CUF na vijana wengine wa chadema mbeya na wanawake ambao sikuwajua ambao nilihisi ni vimada wao tu.hili sina shaka nalo kwa ben saanane hasa unapomkuta amekaa karibu karibu kukiwa na wanawake wenye makalio makubwa
chadema msipomdhibiti huyu jamaa kwa sasa hamtaweza kumdhibiti uchaguzi ndani ya chama utakapofika na kama zitto atagombea najua moja kwa moja chama kitakuwa kwenye mpasuko

1.Yeah,msimamo wangu unaujua...tena namshangaa comrade Mugabe kukubali kukaa meza moja na kibaraka wa makaburu.Kimsingi sina heshima kwa chama au kiongozi wa chama chochote cha siasa Afrika anayekula njama na abeberu kuhujumu watu wake na Afrika kwa ujumla kwa maslahi yake binafsi na mabeberu.Wasaliti wa aina hii adhabu yao ni kifo tu.Hawastahili kukaribishwa ikulu,anastahili gerezani tu.
Sifichi,Mugabe ni shujaa kwangu,Ghadddafi kwangu ni shujaa...Ni msimamo wangu na si msimamo wa chama changu.Nina haki ya kutoa maoni,ninaitumia ipasavyo.

2.Mambo ya Julius Malema na Jacob Zuma tuyaache hivyo. Sitaki kumjadili zuma,sitaki kumjadili msaliti wa maslahi ya vijana ,sitaki kumjadili msaliti wa umajumui wa africa (PAN-AFRICANISM)

3.Uliniona calabash? Is that an issue? Wewe kwa sababu umezoea usaliti unadhani kila mtu ni msaliti?sina haki ya kuwa na marafiki kutoka vyama vingine? Hata kama siasa ni u-simba na u-yanga la kini si katika kiwango hiki.Halafu ulishasema Shonza ni mchumba wangu sasa uache kumuita mchumba wa mtu hawara.If the truth were to be told,you lack moral African traditional value.....

4.Kuhusu uchaguzi wa BAVICHA tugange yajayo...nilishasema mara nyingi,tunajenga chama.Sisi sio chama cha uchaguzi kama huko kwenu CCM......

5.Halafu ukiwa unawapa wenzako ushauri jitahidi usiwape uzoefu wako ulioshindwa,uliofeli.Kwanza ni chadema ipi unayoiongelea?usijekuta unafanyia reference hawa waganga njaa hapa kwenye mtandao....Please usitushushe hadhi kiasi hiki. Ati wanidhibiti halafu unatoa uzoefu wako wewe na wenzenu mliokimbilia CCM baada ya kurudi Tanzania.Mnatoa ushauri wenu ulioshindwa kunizuia kwenye uchaguzi wa jumuiya ya watanzania mkishirikiana na balozi na maofisa wachache kutoka ubalozini kwa unafiki na usaliti wao.Unataka watu wapate fedheha kama mliyopata ninyi na balozi wenu mlipojaribu kuwachagulia watanzania kiongozi? Kama nilivyoshinda dhidi ya hila zenu na balozi ndivyo nitakavyoshinda,vijana wa chadema kwa sasa hawawezi kuchaguliwa kiongozi na mtu yeyote na wanalijua hilo.Kwa hiyo uache matusi,vijana wa chadema si wa hovyo kiasi hicho.Ungekuja kwenye uchaguzi uliopita wa BAVICHA tarehe 28/5/2011 pale ukumbi wa Temeke usingetoa ushauri wa hovyo kiasi hiki....!

Unapotoa ushauri jitahidi usipotoshe.Hasira za uchaguzi wa Bangalore - India usizilete huku.Mbona mwenzako Nape Nnauye hana tatizo?Ina maana una uchungu kuliko Nape? Mbona hasira hizo msizielekeze kwa aliyemshinda Nape badala yake mnaelekeza kwa mwanachama mmoja kwenye timu ya kampeni?

Subirini muone,na kwa taarifa yako Ratiba ikikaa vizuri kikazi nakuja Arumeru kuongoza Red brigade....Mmezoea mkizidiwa hoja majukwaani chama chako hakina njia nyingine ya kuziba Ombwe hilo zaidi ya kutumia Green Guard kutisha wafusai wetu na wananchi ili mpate ushindi kwa lazima huku jeshi la polisi likiangalia tu.Safari hii tutajilinda wenyewe na cha moto mtakiona !

huyo janjaweed sijui mtamzuiaje huko.hivi nini msimamo wa chadema kuhusiana na ghaddafi au utawala wa mugabe zimbawe.naona ben yeye yupo na misimao yake na kuwaita wapinzani kule zimbabwe kama akina moragan tsavangirai kuwa ni vibaraka.na vipi chadema ina uhusiano na chama gani kenya?chadema iko upande wa akina uhuru kenyatta (sera ya vijana) au inaegemea upande wa akina odinga?kuna kijana anaitwa lewis onyoni ben alikuwa na ugomvi nae hadi sasa jama anatumia muda hadi kuunga mkono mahasimu wa huyo kijana kwenye kura za maoni ndani ya chama chao.huyo kijana ana tofauti na ben tangu chuo kikuu lakini visasi hawamalizi na tenda ya kuchapa t-shirt za huyo mpinzani wa lewis nchini India ben saanane ndiye anayeunganisha
Kusema kweli sijui ni kitu gani kinampa kujiamini kiasi hiki.

Halafu,uache mzaha na majina ya watu.Kama kawaida yako wewe ni ku-sympathize na vibaraka.Unamuonea huruma kibaraka aliyefuatwa na maofisa wa ubalozi wa US kuingia nao dili la kuuza siri za serikali yake atakaporudi Kenya? Unadhani kwa mtu mwenye ndoto za kufufua umajumui wa Afrika (Pan Africanism) ataweza kuona taifa lolote la Afrika likihujumiwa na mabeberu kupitia vibaraka na wasaliti kwa njaa zao?
 
Back
Top Bottom