Arumeru Mashariki: Wanachama na viongozi UVCCM kuhamia CHADEMA

Wanachadema wa kweli wanaendelea kujipambanua katika hii thread na wapika majungu wa magamba wanaendelea kujulikana.Thread hii na ile ya kibaraka Tuntemeke Sanga zimenifurahisha sana.Keep it up wapambanaji.Wapende wasipende tuna imani kubwa na mashujaa Mbowe na Slaa.Magamba mtajamba cheche lakini Mashujaa hawa watachaguliwa tena kuiongoza CDM katika awamu nyingine kwa kishindo kikubwa.Kalaghabaho!!
 
I told you let the threads remain, kuna watu wanajifanya kutetea na kuishauri Chadema huku wakileta majungu na kumponda Mwenyekiti wake tena wengine kwa matusi. Pamoja na Slaa ku clarify bado wanasema hawajaridhika, pamoja na viongozi waandamizi wa chama kuja kama Zitto, Kitila bado wanakuja kwa mlango wa nyuma na kuwaponda. But what i know hizi ni kelele za humu JF tu out of JF hawana kitu chochote.
 
Na wameonekana haswa, mtu kama huyu hapa chini anakuja namaneno hayo kwa mwenyekiti halafu anadai yeye ni Chadema...still watu kibao wanakuja kum support eti ni great thinker na wao ni CDM bado wanataka vyeo kwenye chama ni aibu kwa kweli, wanafiki wa aina hii ni wakuambiwa wazi kama anavyowaambia feedback.
Bado kumfulia chupi Mbowe, yaanimbowe kakaa kimaalim seif na kihindi hindi...chochote asemacho lazima usemendiyo mzee ana typical character za baba yake mzazi-Nyerere
 
I told you let the threads remain, kuna watu wanajifanya kutetea na kuishauri Chadema huku wakileta majungu na kumponda Mwenyekiti wake tena wengine kwa matusi. Pamoja na Slaa ku clarify bado wanasema hawajaridhika, pamoja na viongozi waandamizi wa chama kuja kama Zitto, Kitila bado wanakuja kwa mlango wa nyuma na kuwaponda. But what i know hizi ni kelele za humu JF tu out of JF hawana kitu chochote.

Mkuu Feedback kuna watu wanadhani wakishapiga porojo hapa JF wameshakiteka chama.Pole zao.Hao watu hawaaminiki kiasi kwamba wanachama hawawezi kuwapa hata ukatibu wa kata.Watabaki kutukana viongozi hapa jamvini kutahamaki Slaa yuko Ikulu.Na tusubiri tuone
 
Na wameonekana haswa, mtu kama huyu hapa chini anakuja namaneno hayo kwa mwenyekiti halafu anadai yeye ni Chadema...still watu kibao wanakuja kum support eti ni great thinker na wao ni CDM bado wanataka vyeo kwenye chama ni aibu kwa kweli, wanafiki wa aina hii ni wakuambiwa wazi kama anavyowaambia feedback.

Mkuu Quinine tuko pamoja.Ninachowashauri hawa wapiga domo hapa JF wasubiri tarehe ya uchaguzi ndani ya chama ikitangazwa wajitokeze kwa wingi kuchukua fomu za kugombea uenyekiti.Halafu waone jinsi Kamanda wa Anga Freeman Mbowe atakavyowatimulia vumbi.Kwa kazi kubwa aliyofanya Mbowe asiyemkubali kwa sasa ni sawa na mchawi mkubwa.
 
Feedback nakukubali sana kamanda kwenye michango yako..
Nashukuru Mzee Crashwise, zamani nidhani tuko wengi, niliokuwa nafikiri tuko njia moja sasa wamegeuka maadui. How come mtu anamtukana Mwenyekiti live still anasema yeye ni Chadema why?. No huo ni unafiki. Anyway tuko pamoja Crashwise kumbe kazi ya ukombozi si rahisi kama nilivyodhania.
 
Duh! bado tu mnaendelea kutukanana? Sii mpange tu mkutane Leaders mzichape weee kisha mwanamme asimame na kujitapa maana haya matusi ya JF wala hayana mvuto. Jamani nyie vijana mnajisifu kwa kufungua sijui matawi na kadhalika mnayafanya haya kwa mapenzi ya chama ama kujionyesha!..Sisi wengine wanachama tu, tunapoona viongozi wenyewe ndio hawa basi inatupa shida sana kuamini kwamba tutafika!
Mkuu Mkandara, tutafika tuu!.
 
Hawa ccm leo wamezomewa maeneo ya usa river wakati wanapita kwenda kuchukua fomu, ni aibu eti
 
Siasa si kazi ya siri hadi ujifiche, umekuwa unyago? eti hata Katibu mkuu anajua nafanya nini , ni huyu huyu Slaa aliyekuambia unataka kupindua katiba kwa kuanzisha alliance ndani ya chama? Hatutaki Malema type ndani ya Chadema. Fanyeni kazi vijana acheni majungu, majungu hayatawafikisha popote mtakuwa mnaishia reception tu pale mtaa wa Kongo, mara 19mil mara Mnyika kalundikiwa vyeo kama vijana wenyewe ndio nyie yes acha alundikiwe hata vyeo 20.

Inaonekana nakupa/nawapa headache sana ,na bado.

Hatutaki malema Type ndani yachama? wewe ni nani. Halafu ukileta majungu huku uachane na kuji-associate na viongozi wa chama just gossip at your capacity.Kuhusu suala la Milioni 19 usipotoshe watu,majibu nilishatoa na kuhusu suala la vyeo pia kwenye ile thread nilitoa mchango wangu.Acha kuleta majungu ya kijinga huku.
 
Duh! bado tu mnaendelea kutukanana? Sii mpange tu mkutane Leaders mzichape weee kisha mwanamme asimame na kujitapa maana haya matusi ya JF wala hayana mvuto. Jamani nyie vijana mnajisifu kwa kufungua sijui matawi na kadhalika mnayafanya haya kwa mapenzi ya chama ama kujionyesha!..Sisi wengine wanachama tu, tunapoona viongozi wenyewe ndio hawa basi inatupa shida sana kuamini kwamba tutafika!

Mkandara,

Naomba nitoke nje ya mada kidogo but still within the context........

Dont mind them! Cheap popularity ni tatizo katika siasa zetu hizi tulizovamia.Tumevamia demokrasia ya magharibi ki-zuzu na ndiyo inayotutesa.Demokrasia inayotoa mwanya kwa vibaraka either wa ndani au wa nje kusaidia adui against Mass Interest nitaipinga,na nitaanza na kibaraka yeyote ninayemuona karibu hata kama ni ndani ya familia yangu.Msimamo wangu ni huo na hautabadilika.

Mkuu mkandara usione tabu sana tutafika tu.Kinachotakiwa katika njia hii ya ukombozi wa kweli ni determination na kujua unachosimamia ni nini hasa.Kama unapinga udikteta inabidi upinge katika dimensions zote iwe ndani ya familia,shuleni,kanisani,msikitini,kwenye siasa na uendeshwaji wa nchi pamoja na mifumo inayolea udikteta na hata katika mahusiano ya kimapenzi.Mapambano ya fikra ni magumu kuliko ya silaha,haya ndiyo unayoshuhudia hapa ! Nitapigania demokrasia pamoja na kwamba demokrasia ya magharibi nina mashaka nayo katika kufanikisha mapamabano ya fikra.Ili tuwe na taifa linaloongozwa bila kulea vibaraka kulingana na mfumo wa demokrasia ya magharibi,i prefer the incetiment of popular uprising .Yote hayo yakishindikana sasa Option no.3 is a must,ni kama kufanya surgery ili kuokoa uhai.Kwa hiyo Guerilla Movement itaweza.Vituko vyote unavyoviona hapa ni matokeo ya kudandia mfumo wa vyama vingi ki-zuzu tu,ni matokeo ya demokrasia mbaya ya magharibi.Tunastahili kurudi nyuma kuangalia tangia tu-adopt huu mfumo 20 years ago tumefanya nini.Tunastahili kufanya modification to suit mass interest,otherwise tuendako kutakuawa kuchungu,we should get prepared for the battle....

Now,Kwa vibaraka wote wa ndani na nje,My position is If they do not succeed by false propaganda, by calling us all sorts of names, if they fail to make us unpopular in order to win… they can arrange assassination. They can do it by poison or by setting our own people against us. They can go to any length

I prefer to die a brave man fighting to emancipate my people than to live in our collective cowardice. Why for heaven's sake will everybody know that something is wrong yet nobody is ready to speak out?

Signature yangu hapa chini inanipa ari.
 
Na wameonekana haswa, mtu kama huyu hapa chini anakuja namaneno hayo kwa mwenyekiti halafu anadai yeye ni Chadema...still watu kibao wanakuja kum support eti ni great thinker na wao ni CDM bado wanataka vyeo kwenye chama ni aibu kwa kweli, wanafiki wa aina hii ni wakuambiwa wazi kama anavyowaambia feedback.
Masahihisho kidogo mkuu, Waberoya ni kada wa chama cha mapinduzi tena nyumbani kwake kuna zile bendera zenye alama ya njaa na umaskini zinapepea.
 
Nashukuru Mzee Crashwise, zamani nidhani tuko wengi, niliokuwa nafikiri tuko njia moja sasa wamegeuka maadui. How come mtu anamtukana Mwenyekiti live still anasema yeye ni Chadema why?. No huo ni unafiki. Anyway tuko pamoja Crashwise kumbe kazi ya ukombozi si rahisi kama nilivyodhania.

Mkuu Feedback,
Nakumbuka kuna siku Augustine Mrema alienda kwa mwalimu kumuomba ushauri kama anafaa kuwa Rais,Mwl Nyerere alimjibu hivi na nanukuu :'Nenda kagombee ubunge kwa sababu kamwe siwezi kuachia nchi yangu mbwa' mwisho wa kumnukuu:
Nimetoa huo mfano hapo juu kuonyesha kwamba ni lazima mtu yeyote mwenye uelewa mpana kumpinga yeyote yule anayetaka kuleta uhuni kwenye jamii iliyostaarabika.Sasa imetokea baadhi ya watu ambao kazi yao ni kushinda kwenye mitandao ya kijamii na kuwatukana matusi yasiyosemeka viongozi wa CDM.Hawa siwezi kuwapa jina lingine zaidi ya kusema ni wahuni tu.Wanadhani kumporomoshea matusi Mbowe watamuogopesha na kukisambaratisha chama wanajidanganya sana.
Nimesikia kwa mtu wa karibu sana kwamba hawa wahuni wanaandika upuuzi huo ili kumshusha thamani kamanda mkuu wa chama na hatimaye aogope kugombea tena nafasi ya mwenyekiti ili wamweke mtu wao ambao atatumika kuimaliza CDM kama CUF inavyozikwa sasa.Wanajua chini ya kamanda Mbowe CDM itakamata dola 2015.Huyo mtu wangu wa karibu kaniambia kwa sasa hawa wahuni mipango yao hawataki kumgusa Dr Slaa kwa sasa hivi bali wanataka wakishammaliza Mwenyekiti kazi ya kumuondoa Slaa na kummaliza itakuwa rahisi sana.Wahuni hawa ndio wanaoposti upuuzi na matusi kedekede dhidi ya CDM na viongozi wake kwenye mitandao ya kijamii.
Hilo ndilo genge ambalo lenye mpango maalum wa kuifanya CDM kama CUF inavyokata roho sasa.Hili ndilo genge ambalo linajifanya ni wanachama wa CDM na eti wanajifanya kutoa ushauri uliojaa matusi ya nguoni kwa majemedari wakuu wa chama.Mtu unashangaa wakati wapiganaji wa kweli wamejichimbia vijijini kuimarisha chama,kufungua mashina na kutoa elimu ya uraia kundi hilo la kihuni limejichimbia kwenye mitandao ya kijamii kutukana viongozi.
Mimi ninawafahamu vijana ambao ni darasa la saba kiwango chao cha elimu wako busy kuhamasisha watu vijijini kutoa elimu ya uraia kuunga mkono CDM tena bila ya malipo yoyote na wala hawajawahi kudai kuitwa makao makuu kutambuliwa.Lakini kigenge cha wahuni wachache kinadhani ndio kinatakiwa kushinda makao makuu ya chama na kisiposhirikishwa kinakimbilia mitandao ya kijamii kutukana viongozi.
Mimi nadhani kama wahuni hawa wanaotukana viongozi wetu lengo lao ni kumweka mwenyekiti wao wanayemtaka ili akisambaratishe chama basi nitumie kauli ya mwalimu Nyerere kwamba ni afadhali Mbowe na Slaa waongoze CDM kwa miaka 20 zaidi ijayo kuliko kukiachia chama MBWA!

Tafakari!!!
 
Quinine/Feedback,

Mkuu,kufungua matawi ndiyokazi pekee ya chama cha siasa au mwanasiasa?Kufanya kazi za chama ni lazima wewe usikie?Mkuu,nipo mikoani nafanya kazi na nafanya kazi kubwa ya kukijenga chama changu,katibu mkuu anajua hilo.Wanaokalia majungu na kupotosha watu hapa uwe nao makini tu. Hata hivyo asante kwa ushauri wako,nitazingatia ushauri wa Quinine/Feedback.
Hahahaa Ben the looser eti Slaa anajua unafanya nini, huyu huyu Slaa aliyekuita mhaini usimsingizie. Hutaki kufungua matawi ya chama unataka ufanye nini, ukakae ofisini? ohoo poor the Boss kumbe hata siasa hujui.

I can imagine a picture of a young man who is so desperate after making a stupid mistake of organizing an illegal alliance in Chadema. Baada ya kushindwa ndani ya Bavicha sasa anaongoza alliance nyingine ndani JF eti wanajiita Guerilla Movement Group another grave mistake in political arena, hizo ni speed za mende tu zitaishia chini ya kabati. Quinine ameziita movements zako 'Malema Type', umeona mentor wako alipoishia at least yeye alikuwa na base wewe huna hata ofisi ya shina you wont go anywhere.

Chadema haihitaji movements hizo inahitaji watu wa kwenda vijijini kama kina Heche, kina Zitto wanashinda vijijini wanalala vijijini wananyeshewa mvua vijijini si tunawaona? Juzi walikuwa Tanga wewe unataka uwe boss ofisini mtaa wa Togo ukitoka unahudhuria mkutano pale Ubungo Plaza baada ya hapo unakwenda kupumzika Nairobi, if that is what you are looking for you won't find in Chadema huo ndio ukweli ambao hutaki kuusikia.

A piece of advice instead of fighting a war that you know you will never win better find a respective job related to your qualifications PA, the job i can suggest is a personal secretary. Good Luck.
 
Mkuu Feedback,
Nakumbuka kuna siku Augustine Mrema alienda kwa mwalimu kumuomba ushauri kama anafaa kuwa Rais,Mwl Nyerere alimjibu hivi na nanukuu :'Nenda kagombee ubunge kwa sababu kamwe siwezi kuachia nchi yangu mbwa' mwisho wa kumnukuu:
Nimetoa huo mfano hapo juu kuonyesha kwamba ni lazima mtu yeyote mwenye uelewa mpana kumpinga yeyote yule anayetaka kuleta uhuni kwenye jamii iliyostaarabika.Sasa imetokea baadhi ya watu ambao kazi yao ni kushinda kwenye mitandao ya kijamii na kuwatukana matusi yasiyosemeka viongozi wa CDM.Hawa siwezi kuwapa jina lingine zaidi ya kusema ni wahuni tu.Wanadhani kumporomoshea matusi Mbowe watamuogopesha na kukisambaratisha chama wanajidanganya sana.
Nimesikia kwa mtu wa karibu sana kwamba hawa wahuni wanaandika upuuzi huo ili kumshusha thamani kamanda mkuu wa chama na hatimaye aogope kugombea tena nafasi ya mwenyekiti ili wamweke mtu wao ambao atatumika kuimaliza CDM kama CUF inavyozikwa sasa.Wanajua chini ya kamanda Mbowe CDM itakamata dola 2015.Huyo mtu wangu wa karibu kaniambia kwa sasa hawa wahuni mipango yao hawataki kumgusa Dr Slaa kwa sasa hivi bali wanataka wakishammaliza Mwenyekiti kazi ya kumuondoa Slaa na kummaliza itakuwa rahisi sana.Wahuni hawa ndio wanaoposti upuuzi na matusi kedekede dhidi ya CDM na viongozi wake kwenye mitandao ya kijamii.
Hilo ndilo genge ambalo lenye mpango maalum wa kuifanya CDM kama CUF inavyokata roho sasa.Hili ndilo genge ambalo linajifanya ni wanachama wa CDM na eti wanajifanya kutoa ushauri uliojaa matusi ya nguoni kwa majemedari wakuu wa chama.Mtu unashangaa wakati wapiganaji wa kweli wamejichimbia vijijini kuimarisha chama,kufungua mashina na kutoa elimu ya uraia kundi hilo la kihuni limejichimbia kwenye mitandao ya kijamii kutukana viongozi.
Mimi ninawafahamu vijana ambao ni darasa la saba kiwango chao cha elimu wako busy kuhamasisha watu vijijini kutoa elimu ya uraia kuunga mkono CDM tena bila ya malipo yoyote na wala hawajawahi kudai kuitwa makao makuu kutambuliwa.Lakini kigenge cha wahuni wachache kinadhani ndio kinatakiwa kushinda makao makuu ya chama na kisiposhirikishwa kinakimbilia mitandao ya kijamii kutukana viongozi.
Mimi nadhani kama wahuni hawa wanaotukana viongozi wetu lengo lao ni kumweka mwenyekiti wao wanayemtaka ili akisambaratishe chama basi nitumie kauli ya mwalimu Nyerere kwamba ni afadhali Mbowe na Slaa waongoze CDM kwa miaka 20 zaidi ijayo kuliko kukiachia chama MBWA!

Tafakari!!!

Hivi kweli Mwalimu Nyerere alimuita Mrema Mbwa?

Kama kweli alimuita hivyo alifanya makosa kumuita binadamu mwenzako Mbwa!

Nyerere ni binadamu kawaida kama mie na wewe sio mtume.

Kama Nyerere kamuita Mrema Mbwa sio sahihi mkuu, Nyerere kusema hayo maneno hakukupi wewe Excuse ya kuwaita wenzako Mbwa.

Hivi ni kweli Nyerere aliyasema hayo maneno.
 
I will not leave my country to the Dogs
 
Hahahaa Ben the looser eti Slaa anajua unafanya nini, huyu huyu Slaa aliyekuita mhaini usimsingizie. Hutaki kufungua matawi ya chama unataka ufanye nini, ukakae ofisini? ohoo poor the Boss kumbe hata siasa hujui.

I can imagine a picture of a young man who is so desperate after making a stupid mistake of organizing an illegal alliance in Chadema. Baada ya kushindwa ndani ya Bavicha sasa anaongoza alliance nyingine ndani JF eti wanajiita Guerilla Movement Group another grave mistake in political arena, hizo ni speed za mende tu zitaishia chini ya kabati. Quinine ameziita movements zako 'Malema Type', umeona mentor wako alipoishia at least yeye alikuwa na base wewe huna hata ofisi ya shina you wont go anywhere.

Chadema haihitaji movements hizo inahitaji watu wa kwenda vijijini kama kina Heche, kina Zitto wanashinda vijijini wanalala vijijini wananyeshewa mvua vijijini si tunawaona? Juzi walikuwa Tanga wewe unataka uwe boss ofisini mtaa wa Togo ukitoka unahudhuria mkutano pale Ubungo Plaza baada ya hapo unakwenda kupumzika Nairobi, if that is what you are looking for you won't find in Chadema huo ndio ukweli ambao hutaki kuusikia.

A piece of advice instead of fighting a war that you know you will never win better find a respective job related to your qualifications PA, the job i can suggest is a personal secretary. Good Luck.

Feedback/Quinine,

1.Maskini unatia huruma mno .......Ha ha ha haaah! Narudia tena Katibu mkuu anajua nipo kanda ya ziwa pamoja na majukumu yangu ya kikazi nakisaidia chama changu pia.Ninafanya kazi sitegemei kujipendekeza ili nipate hela ya kugharamia maisha yangu,i dont have a price tag.Tafuta kazi ufanye,acha majungu.Hivi haujishtukii tu ? Muda wote umekuwa kwenye siasa tangu 1995 unapoteza hope.Unadhani kwenda Nairobi au kukaa Ubungo Laza ni ambition ya kila mtu? please,i beg dont crack my ribs !

Betwwen me and you who's a looser? Kuhama hama vyama kutoka NCCR-Mageuzi ni lazima kukufanye uwe na tatizo la kisaikolojia.Nalielewa hili ndiyo mana huwa ninakujibu very fairly,just on humanitarian ground.Sikujibu vizuri kama vile najipendekeza,sina uzoefu huo kama wewe isipokuwa nakujibu kibinadamu kulingana na hali yako ilivyo kwa sasa.Healing therapy...!

2. Kuhusu maswala ya Bavicha au uchaguzi nilishakuambia tusubiri uchaguzi ndani ya chama currently watu tunafanya kazi ya kujenga chama.Hayo mengine subiri chaguzi za ndani na kama unavyojua mimi siyo mtu wa kubebwa na sina uzoefu huo kama wewe na wenzako.So,sihitaji kujipendekeza na maamuzi kupitia sanduku la kura ni ya wapiga kura basi.Siogopi uchaguzi,sijawahi na sitawahi kuogopa sanduku la kura.

I'll always stand for my principles.Watch my steps........! Ati Malema kitu gani?yes,the guy anajua anachosimamia na kuna thread nyingine kuhusu julius malema na usaliti wa Jacob Zuma kwa watu wa Afrika kusini na Africa kwa ujumla,kuna story kuhusu kibaraka wa type yako Jacob Zuma dhidi ya Comrade Muammar Gaddafi.Nenda kajadili kule.Stop derailling this thread...

3.Pia usiwe emotional kiasi hicho.Unakuwa desparate mno,njaa zitakumaliza wewe na wenzako.Even with someone by your side telling you what to write, you can't spell! (Spits on the ground)
embarassed.gif
. SO much of a consolation for those who still have hope in you

Haya sasa turudi kwenye thread.....! Peleka frustration zako kwingine.Kama wewe ni mwanaume kweli na una ujasiri jitokeze na ID yako Real halafu uandike haya unayoandika,lol.
 
Madikteta hawawezi kujificha.siasa za tanzania haziwezi kuvumilia extrimism.Jacob Zuma unamuona kibaraka kwa kuwa hakumtetea Gaddaffi kwenye baraza la usalama?waache walibya waamue wanamtaka nani.Najua unahasira na Zuma kwa alichomfanyia rafiki yako.Mbona mlipokutana kenya haukumwambia mwenzako kuwa rais wake ni kibaraka?
Halafu ulivyomjibu feedback hapo umeonyesha jeuri na kumdhalilisha mwenzako kwa kiwango cha hali ya juu.

Sijui ni kwa nini hupendi kushindwa.Na uliosema wamezoea kubebwa ni akina nani? akina Heche?hivi wanachadema mlioko huku,uhusiano wa ben saanane na uongozi wa bavicha uliopo madarakani ukoja maana ilishasemekana jamaa aliapa hatakaa kikao ambacho heche na viongozi wa sasa wa bavicha taifa wanaongoza kwa sababu anadai ni vibaraka waliopandikizwa na kubebwa kwa maslahi ya mbowe.kama hashirikiani na bavicha mbona hawara yake juliat shonza ni makamu mwenyekiti wa bavicha hiyo hiyo?kundi lake na watu wa mbeya lina utata..kuna siku niliwaona pale calabash mwenge wakiwa na mtatiro wa CUF na vijana wengine wa chadema mbeya na wanawake ambao sikuwajua ambao nilihisi ni vimada wao tu.hili sina shaka nalo kwa ben saanane hasa unapomkuta amekaa karibu karibu kukiwa na wanawake wenye makalio makubwa
chadema msipomdhibiti huyu jamaa kwa sasa hamtaweza kumdhibiti uchaguzi ndani ya chama utakapofika na kama zitto atagombea najua moja kwa moja chama kitakuwa kwenye mpasuko
 
Back
Top Bottom