Uchaguzi 2020 Arumeru, Arusha: Watumishi wa Chuo cha Misitu Olmotonyi watakiwa kwenda kumsikiliza Mgombea Urais wa CCM bila kukosa

Hii kauli ya "bila kukosa" huwa inatumika hata kwenye matangazo ya matamasha ya muziki na haijawahi kuwa na tafsiri ya lazima kwenda,sasa sijajua kwenye hili tangazo hiyo kauli ina uzito kiasi gani kwa maana kama ikitokea mtu hakwenda?
 
Mama Maria Nyerere aliita kuongeza vichwa. Kila kitu ni kuigiza tu. Kiongozi wa kuigiza, Tume ya kuigiza, kuapisha mawakala nako ni kuigiza, uchaguzi nao wa kuigiza. Kutangaza mshindi nako ni kuigiza tu! Tabu kweli kweli.

Msemakweli ni mpenzi wa Mungu, Mama wa watu hakutaka makuu
 
Hii kauli ya "bila kukosa" huwa inatumika hata kwenye matangazo ya matamasha ya muziki na haijawahi kuwa na tafsiri ya lazima kwenda,sasa sijajua kwenye hili tangazo hiyo kauli ina uzito kiasi gani kwa maana kama ikitokea mtu hakwenda?
😂😂
 
Back
Top Bottom