Sanctus Mtsimbe
R I P
- Jul 14, 2008
- 1,820
- 1,031
- Thread starter
- #21
Kweli kabisa kwa sasa niko chuoni nasoma IT karibu wanafunzi wote wanawaza kuajiriwa baada ya kugraduates
Tungeweza kuunda group tukawa tunafanya kazi kama za
DATABASE
NETWORKING
PC MAINTENANCE
SOFTWARE DEVELOPMENT
WEB & GRAPHICS DESIGN
Tungeweza kupata dili nyingi za serikali ambazo WAHINDI wamedominate industry ya IT hapa Tanzania wakati kuna vyuo vingi sasa vinafundisha IT ,hawa wahindi wanatuajiri na kutupa mishahara kiduchu na manyanyaso utafikiri hatupo nchini kwetu
Vijana wako competent ingawa wanahitaji mafunzo kidogo tatizo ni akili zinawaza kuajiriwa
Belo . . . ningeshauri wewe na wenzako muwe na mtazamo huu mzuri uliouzungumzia. Mkipata nafasi njooni TPN katika Networking meeting na mawazo yenu. Nimeona ndani ya TPN watu wakija na mawazo mbalimbali kisha wakajiunda kama kampuni na kuchanga mitaji na hata kuomba mikopo.
Usikate tamaa hata siku moja na endelea kuwahamasisha wenzako hapo ulipo, you can still make a difference. Unaweza pia kuwasiliana nami naweza kukutumia baadhi ya PPT za Ujasiliamali ambazo zilishatolewa TPN. Ukiweza kuniona zipo hata video za Training zilizotolewa tayari katika DVD. Tutafutane kijana wangu kupitia president@tpn.co.tz.