Arsenic poisoning... the old fashioned way..

Watoto wa vigogo huko nasikia waliajiriwa na huyu mkuu Liumba, jamaa nasikia he is a joke, sasa kaa kuna uozo kwenye kuajiriwa kwao kunaanzia na huyu Liumba!
 
Hii mbona si habari njema.. sasa watoto wenyewe ambao ni she watakuwa wamesalimika? ( japo siku hizi nasikia hakuna cha she wala he wote wote asusa!! mwe!)
 
Quote: Field Marshall ES

Huyu jamaa (Liumba) atakua jela nadhani kabla ya kwisha kwa Feb, 08
 
Sheria yenyewe ndio kwanza inakwenda kujadiliwa bungeni hivi sasa. Na sheria zote za nchini isipokuwa ya uhaini hazihukumu makosa ya nyuma. Sasa labda awe jela kwa ufisadi wa fedha lakini si ule ufisadi wa ngono wa kuambukiza UKIMWI kwa makusudi. Au labda afungwe kwa rushwa ya ngono.

Asha
 
Habari kutoka Mwanza zinaninong'oneza kuwa Mkurugenzi wa BoT Tawi la Mwanza alikuwa anahojiwa na Polisi mwishoni mwa juma.. bado sijafahamu kwa kisa gani na kama kuna uhusiano wowote yale yanayotokea Makao Makuu..
 
Hivi haya majina yanayoishia na umba yan uhusiano gani na ngono? maana miaka ya 1980's tulikuwa mitaa ya mnazi mmoja pale tulikuwa na fundi cherahani mmoja matata Athumani MAUMBA yeye specialization yake ilikuwa ni watoto wa primary school wa mnazi mmoja alikuwa anawakamua kama hana akili vizuri.

Naona Mzee Liumba BOT anaendeleza pale alipoacha MAUMBA kwa style mbaya zaidi...
 
Wewe Masatu unakoelekea si kwema, uchizi wangu unanionyesha kuwa utasema Lipumba naye ana haya matatizo!?!?!
 
Hebu tuanze kazi ya upepelezi wa kuchunguza ushahidi wa kisayansi. Tujiulize maswali haya ili tuweze kuona majibu yake yatatupeleka wapi..

a. Mara baada ya Balali kutajwa Bungeni na Dr. Slaa, serikali iliamua kuonesha mshikamano naye kwa kumualika Dodoma wakati wa kikao hicho na alipoondoka aliondoka kwenye ndege moja na mkubwa mmoja.

- Ni nani alitoa mwaliko wa Balali kuja Dodoma?
- Ni ndege ya nani iliyotumwa kumchukua toka Dar na kumrudisha?
- Je kwenye ndege hiyo alipata msosi wowote ule?
 
Haya maswali matatu ni muhimu sana kujibiwa maana hii issue ya Balali hasa baada ya safari ya RO hapa USA imeanza kutia wasiwasi!
 
Mwafrika, maswali yapo mengi kama unavyojua lakini hatuna budi tuanzie mahali fulani, na kwa maoni yangu tuanzie kule Bungeni, ina maana hadi Balali anaitwa Bungeni hakuna kiongozi yeyote serikali aliyejua kuna tuhuma nzito BoT?
 
hasa baada ya safari ya RO hapa USA imeanza kutia wasiwasi!

Pamoja na mengine according to dataz, ilikuwa ni safari pia ya kumtafuta mmiliki wa JF na members wake, jina langu likiwa the chief among all, so what?

Yaaani bongo nayo mweee! onea buji tu gombe ogopa, kina Karamagi wanatesa hakuna anayewabugudhi, sisi kina yakhe hapa kuuuchonga tu ndio iwe balaa, kama noma na iwe basi, lakini taifa letu mbele kwanza!
 
mzee mwenzangu, kumbe wewe ndio mmiliki mwenyewe.. duh..

Kwi! Kwi! Kwi! Mkuu wangu mimi nikiwa mmiliki nitawasema mpaka baadhi ya viongozi uchwara wanaomdanganya rais kuwa wake zao wanaumwa wanahitaji kwenda majuu kumbe wanaenda kwa ajili tu ya arbotion kwa hela zetu za walipa kodi, ndio maana siwezi kumiliki anything, zaidi ya kuuchonga tu!

Yes I said it kama noma na iwe,
 
Naona Mzee Liumba BOT anaendeleza

Huyu mtu sio mfanyabiashara, ni director tu wa Human Resources kama sikosei, sasa hizi hela za kuwapangia vimada nyumba za gaharama na kuwanunulia mabenzi mekundu anazipata wapi?

Mpaka rais wa Jamhuri amemzungumza kwenye hotuba akimuonya aache hizo tabia, je usalama tunaotishiwa nao hapa kila siku uko wapi?
 
hapa mi ndo nalewa bila kunywa!

Sasa hadi raisi anamgwaya anaishia kumsemea pembeni badala ya kumuwajibisha na kumshikisha adabu?? wakati anajulikana na mafyongo yake yote ayafanyayo kwa hela zetu?? sasa kina yahe ndo wafanyeje sasa?? manake hata wakimuona anachukua wake zao 'live' inabidi wafe kibudu tu!
 
Huyu mtu sio mfanyabiashara, ni director tu wa Human Resources kama sikosei, sasa hizi hela za kuwapangia vimada nyumba za gaharama na kuwanunulia mabenzi mekundu anazipata wapi?

Mpaka rais wa Jamhuri amemzungumza kwenye hotuba akimuonya aache hizo tabia, je usalama tunaotishiwa nao hapa kila siku uko wapi?

Wait a minute..Liyumba naye si anadaiwa kuwa aikwenda US kumuona Balali au lilikuwa changa la macho?
 
Back
Top Bottom