Arsenal vs Liverpool Feb 10, 2010

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,845
11,210
Wakuu, ni kawaida kuwa na thread special ambayo huanza kabla ya mechi!! Lakini naona leo tuko very tense kiasi kwamba haijaanza

Lets discuss he mechi halafu ikiisha turudi kwenye majamvi yetu
 
What I believe:

Arsenal will WIN this game! Pingeni lakini ukweli ndio huo

Twambie mechi ya Chelsick? Pili pili ya Emirates ni ya kwetu na Loserfools!
BTW Teachers umemaliza chupa ngapi?
 
Both teams aren't trustworthy....so anyone can win.....
Roya,

Arsenal wakifungwa match hii basi naamini ni vilaza kabisa!

Twambie mechi ya Chelsick? Pili pili ya Emirates ni ya kwetu na Loserfools!
BTW Teachers umemaliza chupa ngapi?
Naenda ya nne mkuu, wacha mfungwe tu, tena L'pool wakiwabamiza leo nahisi unaweza kujikuta unaamua kuwa-coach vijana wenu mwenyewe teh teh teh
 
Invisible
Sawa ngoja tuone mechi sasa, unaangalia mpira upi? Chelsick au wa kwetu? Una muda kidogo kujibu swali.
 
Naona Aston Villa wameshaanza kutuchafua sasa
Man Utd 0 - 1 Aston Villa
 
Back
Top Bottom