Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuhusu hilo watatokea kina gspain watamtetea kocha na kumsema tajiri kwamba hajatoa hela. Ila ukweli ni kwamba Arteta na Edu ndio tatizo kubwa sana zaidi ya matatizo aliyoyawacha wenga.

£50M for Ben White, lakini tunae William Saliba tumemfukuza kwa ubaguzi tu. What about Lukonga ambae kiukweli hamfikii Guendouzi na Guendouzi tumemfukuza only because ya personal issues na Arteta.

Geouduzi issue yake ilikuwa kutafuta mtu wa kumpa counseling, not to sell or loan him. Saliba bahati mbaya sijamfuatilia kujua kiwango chake. Lakini what about Maddison, Aouar, Martinez, Ramsdale kwa nini hawanunuliwi? Leno sio wa kumtegemea sana
 
We don’t have quality players, you see, a number of players were up for sale but no one was interested. The board didn’t take tangible initiative to make sure they buy quality players on time. How could a deal for a player take 3 weeks? It should be either done or cancelled within that time spell. I blame the players, coaching staff , edu and those stupid KSE for the defeat today.
😂😂😂😂😂😂😂

Then you are blaming everybody my friend. Next time you will be blaming the fans too
 
Geouduzi issue yake ilikuwa kutafuta mtu wa kumpa counseling, not to sell or loan him. Saliba bahati mbaya sijamfuatilia kujua kiwango chake. Lakini what about Maddison, Aouar, Martinez, Ramsdale kwa nini hawanunuliwi? Leno sio wa kumtegemea sana
Counselling ya nini kwa Guendouzi?? Kwa sababu ya kumkaba Maupay?? He was being a MAN and you punished him for that???? Ona leo mwanamme kamshika Leno mikono huku goli la pili linafungwa, that's it bro.

Madison will be stupid to come to Arsenal. He should target bigger and better teams like Liverpool or City or United.
 
Hata goli la kwanza naona kama mpira ulivuka mstari. Guoenduzi is too emotional
 
Hakuna atakaye kuja. Bernardo Silva amekataa kuja, Locateli hataki, Martinez hataki. Who else to buy? Hakuna
Ndio hivyo bro. Madrid wanazitaka €40M hizo kudaadeki. Mkimnunua tu Odergaard kwa hela hiyo tumepigwa tena.

Lakini kwa kuwa arteta na Edu wana agenda zao basi yetu macho tu
 
Back
Top Bottom