Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Haaahaa Dogo Uefa timu yako imeanza kushiriki 2006, nini unachojua we wakuja

Unasupport vipi Cheltako timu wachezaji wake wengi ni Fans Wa Arsenal...kasoro Werner ndio hatumtaki hafai kuwa a gooner.
Nimeanza kushiriki UCL 2006 na ninachukua wewe ambaye umeanza kushiriki mwaka 1890 na bado Hauna hata UCL moja huoni Kuna utofauti Sana mkuu🤣.
 
Haaahaa Dogo Uefa timu yako imeanza kushiriki 2006, nini unachojua we wakuja

Unasupport vipi Cheltako timu wachezaji wake wengi ni Fans Wa Arsenal...kasoro Werner ndio hatumtaki hafai kuwa a gooner.
Ww ulieanza kucheza UCL 1900 una uefa ngapi.?
 
Binafsi mashabiki wa Chelsea bongo nawaonaga kama washamba waliochelewa kuujua mpira, mnashabikiaje Chelsea timu ya 2005 au mpira mmeanza kushabikia 2010, vinginevyo ni mamluki mliohama timu.
Ww jamaa una matatizo
 
Back
Top Bottom