joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 14,901
- 31,274
Kumbe angekuwa? Huwezi fananisha Arteta na Anccelotti.Leno, Torreira, Partey, Auba, Tierney, Gabriel Magalhaes, Saka, Martinelli, Odergaad, Ozil, hawa ni baadhi ya wachezji ambao angekuwa nao Brenden Rodgers angekuwa anapigania kuchkua EPL tena asubuhi na mapema.
Kubalini Arteta hana uwezo wa kufundisha na ku-manage timu kama arsenal.
Ancelotti na wachezji wale wa Everton tu na ametuzidi kwa mbali mnataka mumtupie lawama tajiri??