Kama kawaida yetu wazee wa SARE...Leo tena tumetoka sare na Fulham...Kweli huu ni mwaka wa shetani...Mwaka huu hata UEFA ndogo tunaikosa...Lol...Inatia uchungu kweli...Noma kweli
Baada ya kutoka suluhu na Fulham(London derby);hii ina maanisha Arsenal imebakia na mechi 11 kumaliza ligi katika msimu huu wa 2008/09 ni mapema kukata tamaa ya kuwania nafasi ya nne.Kwasababu hata huyo anayemfukuzia hana uhakika wa ku-maintain hiyo nafasi mpaka mwisho wa ligi.KWELI game ya 4 mmetoa droo so far mmepata point 4 na Villa wamecheza game 3 wamepata point 4 ngoja tusubiri hizo game 4 zilizobzki
.AW bado ana mchango wake Arsenal, japo namlaumu sana kwa kushindwa kuimarisha team hata baada ya kujua tuna majeruhi i.e Rosicky, Eduardo, na wakati huo huo FLAMINI na GILBERTO walikuwa wameondoka, na hatuna top class striker kum-challenge Adebayor.
Baada ya kuondoka Thierry Henry, Adebayor ndiye alorithi kwa kufunga magoli mengi msimu ulopita 33-Goals kama sikosei, kwa msimu mzima. Simlaumu Wenger hapo kwa kuweka faith zake zote kwa huyu M-togolese...
Msimu huu Robin Van Persie ndio anayeongoza kwa kupachika mabao, japo hata Chelsea nako Anelka kamrithi Drogba, au ndio kusema ile 'shake-shake' ya Ade kuhamia Barcelona imemuathiri uchezaji wake mpaka sasa?
Siku hizi hata sina raha kuangalia Arsenal uwanjani..yaani utadhani wanabahatisha!
Siku hizi hata sina raha kuangalia Arsenal uwanjani..yaani utadhani wanabahatisha!
Ushabiki wa soka ndio ulivyo mkuu be there during thick and thin! But we have won today, labda ndio lady luck karejea!!
Martin O'Neill fears Arsenal might block Aston Villa's Champions League route
Martin O'Neill, the Aston Villa manager, has conceded that his club could miss out on Champions League football next season, even if they manage to finish fourth in the Premier League.
By Sandy Macaskill
Last Updated: 12:37PM GMT 04 Mar 2009
"My own view, and I might be speaking against myself, is that if you won the Champions League, I believe you have the right to go and defend it the next year," O'Neill said. "Arsenal are capable of winning the competition, the way they are going to get their players back in the next week or so. If it was a clear, definitive rule at the start of the season then I'll abide by it."
...exactly, be scared mr. O'neil, and A'villa fans, be very very scared, hasa baada ya leo kufungwa na Man city kwenye EPL!!!
FT: Man City 2 Aston Villa 0
Mind the gap... 3points difference!? ha ha haaa...
We believe in Arsene wenger