Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Si mbaya akirudi maana David Luiz anakaribia kustaafu. Akiwa vizuri hatutakuwa na haja ya kutafuta beki, kazi ibaki kwa wingback na CAM
Tatizo maneno aliyoongea. Nimeona Aaron anasema Arteta kasema Guendouz asirudi ila Guendouz anaperform vizuri huko aliko na nimehisi ni kwa sababu ya maneno aliyoongea.

So Arteta anaweza asimrudishe Saliba kutokana na hayo maneno.
 
huyo na saliba na gunduz wana asilimia ndogo sana kurudi, unakumbuka maneno ya saliba? now arsenal inamtsks konste
 
Tatizo maneno aliyoongea. Nimeona Aaron anasema Arteta kasema Guendouz asirudi ila Guendouz anaperform vizuri huko aliko na nimehisi ni kwa sababu ya maneno aliyoongea.

So Arteta anaweza asimrudishe Saliba kutokana na hayo maneno.
Yale maneno ya kipindi kile aliposema alikuwa disappointed kwa kutokucheza na hakuelewa kwa nini hachezi?
 
Alimdhihaki Arteta kwa kutompa chansi na kumjudge haraka haraka.
Mimi nilimuona tu kama kijana anayejiamini na ameona anastahili kucheza mbele ya wanaochaguliwa. Siichukulii kama dhihaka. Mimi mwenyewe huwa naona kama Arteta anakosea mara nyingine kwenye uteuzi wa timu. Labda kosa kubwa la Saliba liwe kusema wakati yeye ni mchezaji ndani ya timu, tofauti na kuongea kama shabiki.
 
Saliba ni mzuri. Kwa hizi mechi alizoperform amewapita mabeki wengi wa ligi ya Uingereza. Now akirudi maana yake tutakua na left footed CB 3, nani atampisha mwenzie?

Though kama tutaweza keep wote itakua bonge la ishu.
 
Saliba ni right footed nadhani. Yeye anapambania nafasi na Holding
 
Arsenal are reportedly keen on signing Ibrahima Konate this summer.

According to The Standard, Edu and Mikel Arteta are interested in bringing the 21-year-old to the Emirates Stadium.

Problem is, Konate is valued at around £45 million by Red Bull Leipzig and Arsenal might have to get creative if they’re going to make something work.

And Edu might well be tempted to use Konstantinos Mavropanos as a makeweight to lower the fee.
 
Infantino says Arsene Wenger presented a new interpretation of offside law today. Essentially would mean you're onside if any part of your body you can play the ball with is inline with the defender. Data shows would reduce average offsides a game in Prem from 4 to 2.
 
Matteo Guendouzi hatarajiwi kuichezea Arsenal tena. Chanzo cha Arsenal kimedokeza hilo,Mikel Arteta ameweka wazi kuwa MG siyo sehemu ya mipango yake ya msimu ujao, na Arsenal wanaamini watapata klabu itakayomnunua kwa dau la pauni milioni 25. [@ footyinsider247]
 
Jermaine Penant alisema hivi jana pia
 
Matteo Guendouzi hatarajiwi kuichezea Arsenal tena. Chanzo cha Arsenal kimedokeza hilo,Mikel Arteta ameweka wazi kuwa MG siyo sehemu ya mipango yake ya msimu ujao, na Arsenal wanaamini watapata klabu itakayomnunua kwa dau la pauni milioni 25. [@ footyinsider247]
Kusema hatumtaki kunafanya dau lake lishuke au siyo? Kibiashara tunakosea hapa
 
Saliba ni mzuri. Kwa hizi mechi alizoperform amewapita mabeki wengi wa ligi ya Uingereza. Now akirudi maana yake tutakua na left footed CB 3, nani atampisha mwenzie?

Though kama tutaweza keep wote itakua bonge la ishu.
Nami ninamkubali sana Saliba ni beki mzuri sana tumombee Arteta amrudishe kundini!!!
 
Arsenal wameripoti kupata hasara ya £ 47.8m kwa mwaka wa fedha, 2019-2020 [@ kayakaynak97]
Uchanganuo wa fedha
Klabu ilitumia kiasi cha £10m kwa ajili ya kumlipa Unai kufukuzwa na kuajiriwa kwa meneja wa sasa Arteta
🎯
kukatwa kwa mishahara kwa wachezaji ilipatikana kiasi cha £19m ambacho kiliingizwa kwenye bajeti moja kwa moja
🎯
klabu ilipata kiasi cha £60.1m kutokana na mauzo ya wachezaji waliouzwa na kutumia kiasi cha £182.2m kununua wachezaji wapya katika msimu huo wa 2019/2020
🎯
maamuzi yote haya yalifanywa na KSE pamoja na mwenye hisa Stan Kroenke
 
Back
Top Bottom