Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 13,169
- 21,505
Kipindi kile tunasema ikifika Nov na Dec huwa mnapoteana mkahisi sisi wachawi ila mkasahau Arsenal inajulikana miaka yote TAKATAKA🤣🤣🤣🤣🤣
ni kweli aise tume pruvuKipindi kile tunasema ikifika Nov na Dec huwa mnapoteana mkahisi sisi wachawi ila mkasahau Arsenal inajulikana miaka yote TAKATAKA
Hawa viande akili fupi sana kutwa majukwaa ya wanaume wanaacha kwao moto unawaka. Na yule jamaa wa Liver kuwajaza ujinga na wenywe wanafuata mkumbo tu
Sawa sawaNawezaje kusema Arteta afukuzwe? Sikusema kipindi cha Emery nitaweza kipindi hichi?
Mimi siyo muumini wa kufukuza makocha haswa kwa kocha ambaye ameonyesha maono yake ni yapi kwa timu anayotaka icoach. We are falling ni kweli tena kwa spid lakini hebu sema mwenyewe kwa kikosi kilichopo ni kocha gani unadhani angekwepa kipigo kutoka kwa Liva (iliyoridhia kuchezesha kipa majeruhi) City, Leicester iliyopaki basi n.k?
Timu yetu imekumbwa na second season syndrome, imekumbwa na ukata na inasumbuliwa na komedi za Kroenke if anything tunatakiwa tuiangalie timu in the long run kuliko kwenye hivi vipigo vya hapa na pale. Kwa mtazamo huo ndiyo nikasema Arsenal ilimtaka Partey lakini ilimhitaji Aouar so bodi ilifuata matakwa badala ya mahitaji.
Once Wenger alisema (natoa tafsiri ya kuendana na mazingira) "Ukizoea kula sangara inakua ngumu kumeza dagaa la kigoma" hiki tunachokipitia ni dagaa la kigoma Arteta anatuaminisha tupo njiani kurudi kwenye kula Sangara so ni ama tumuamini au tumchenjie.
Mimi nina imani naye.
Sasa unazungumziaje suala la kutompa muda Emery?? Muda huo huo ambao Leo tuna-advocate apewe arteta???Nawezaje kusema Arteta afukuzwe? Sikusema kipindi cha Emery nitaweza kipindi hichi?
Mimi siyo muumini wa kufukuza makocha haswa kwa kocha ambaye ameonyesha maono yake ni yapi kwa timu anayotaka icoach. We are falling ni kweli tena kwa spid lakini hebu sema mwenyewe kwa kikosi kilichopo ni kocha gani unadhani angekwepa kipigo kutoka kwa Liva (iliyoridhia kuchezesha kipa majeruhi) City, Leicester iliyopaki basi n.k?
Timu yetu imekumbwa na second season syndrome, imekumbwa na ukata na inasumbuliwa na komedi za Kroenke if anything tunatakiwa tuiangalie timu in the long run kuliko kwenye hivi vipigo vya hapa na pale. Kwa mtazamo huo ndiyo nikasema Arsenal ilimtaka Partey lakini ilimhitaji Aouar so bodi ilifuata matakwa badala ya mahitaji.
Once Wenger alisema (natoa tafsiri ya kuendana na mazingira) "Ukizoea kula sangara inakua ngumu kumeza dagaa la kigoma" hiki tunachokipitia ni dagaa la kigoma Arteta anatuaminisha tupo njiani kurudi kwenye kula Sangara so ni ama tumuamini au tumchenjie.
Mimi nina imani naye.
Kama unakumbuka hata kwa Emery nilisema apewe muda pia.Sasa unazungumziaje suala la kutompa muda Emery?? Muda huo huo ambao Leo tuna-advocate apewe arteta???
Arteta ni kipimo cha kocha mzuriLampard vs Arteta:
Table: 3rd vs 14th
Goals: 22 vs 10
Clean sheets: 5 vs 3
Goal difference: +12 vs -2
Last two summer windows spending of clubs: £222m vs £221m
The gap is widening.
Humu kuna watu wanapokea taarifa na wanazileta hata hawapimi.Lampard vs Arteta:
Table: 3rd vs 14th
Goals: 22 vs 10
Clean sheets: 5 vs 3
Goal difference: +12 vs -2
Last two summer windows spending of clubs: £222m vs £221m
The gap is widening.
Imani naye?kocha unafungwa mechi 3 mfululizo tena kwako ?Emirates?naapa hakuna kocha bora mwenye tactics atafungwa mfululizo namna hiyo mfano kocha wa Arsenal angekuwa Mourinho hili suala lisingetokea kamwe ,kufungwa kupo ndo mpira but 3 in a row?Emirates?Arteta anatakiwa aachie timu ,makocha kibao wamejaa dunia hii na wana mbinu kali kweli kweliNawezaje kusema Arteta afukuzwe? Sikusema kipindi cha Emery nitaweza kipindi hichi?