Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sijawahi kuwa mmoja wao. Jana uliona walivyomfunika Ceballos. Namkubali sana Rodgers, unaujua mpira wa Uingereza na wachezaji wake wanafundishika. Ameusoma mpira wa Arsenal na akaona akiwazuia wachezaji x and Y basi amemaliza mchezo, and that is what he did.
Ila Dundalk tutawaweza au unaonaje?
 
waIla Dundalk tutawaweza au unaonaje?

Ila Dundalk tutawaweza au unaonaje?
Wachezaji tulionao wana uwezo wa kutupatia results wakicheza na timu yoyote ile, leo hii, endapo watajituma na kujitambua kwamba wanapokea hela nyingi ili wawekezaji waweze kupata return ya investment na mashabiki wafurahi. Soon if the sitution remains like this hata emirates, Adidas na Wanyarwanda watajitoa
 
1.Kila siku huwa ninasema na nitaendelea kusema,Arsenal haitofanya vizuri mpaka huyo mmiliki Stan kroenke aamue kuiacha hii timu,Arsenal hakuna wachezaji pale,mimi ni shabiki wa Arsenal toka Mwaka 1998,tulipo toka kulikuwa kuzuri,tulipo ni kubaya na tunapokwenda ni kubaya zaidi pasipo juhudi za kuiachia timu hazitachukuliwa mapema!

2.Bado sijajua hawa wachezaji wa Hii timu yangu pendwa wanasumbuliwa na nini sipati majibu,mishahara wanalipwa tena mizuri tu!,sasa cha ajabu wawapo uwanjani wanacheza kama wamelazimishwa,Juhudi binafsi za wachezaji hazionekani.Angalia timu kama Leeds,Wolverhampton na Astonvilla ambavyo wachezaji wake wanavyojituma,yaani wanapigania timu utadhani wanalipwa mamilioni!!,Iangalie Arsenal sasa,mwangalie Pepe,mwangalie lacazette n.k,yaani kiukweli naumia sana!!

BILA KROENKE KUIACHIA TIMU,NDUGU ZANGU MASHABIKI WA ARSENAL TUSITEGEMEE MUUJIZA,ARSENAL ATAENDELEA KULA VIPIGO MPAKA ACHANGANYIKIWE,BADO SIJAONA TIMU HAPO,TIMU IKISHINDA UNAONA KABISA IMEBAHATISHA NA WALA SI USHINDI WA KUUTAFUTA KWA NGUVU ZOTE!!

MAN U WIKIENDI HII ANATUUA!!!!
 
Rekodi zinaonyesha kabla ya kuja Wenger Arsenal ilikua ni mid table team haikua na consistency ya kubaki top four hata kwa misimu miwili mfululizo.

Wenger ndiye kaitransform hii timu na siye ambao tumeanza kushangilia baada yako tukavutiwa nayo.

So kusema tulipotoka ni kuzuri hapana. Tulipotoka palikua hovyo, Wenger akatuweka kwenye ramani kisha hawa waliokuja wanatarget kutufanya tuwe Arsenal ya kipindi cha Wenger.

Tunachohitaji ni uvumilivu.

Klopp alivyofika na yeye alikua anashonwa hivi hivi. Liva ishamaliza nafasi ya nane ishakaribia kufilisika, city kashapigwa 6 na Middlesbrough transformation inachukua muda.

Saying so simaanishi nimepuuzia niliichowahi kupoint kwamba tulimhitaji Aouar kuliko Partey, bado naamini hivyo. Bado naamini kuna magumu zaidi yanakuja. Wale wanaofikiri it will be a walk in the park waendelee kuleta takwimu za wachezaji kupiga pasi badala ya chansi zilizokua created na conversion rate.
 
Timu haina creative midfield unamuacha Ozil kwa sababu ya ubinafsi na chuki za kijinga unaenda kusajili mchezaji wa Basketball Partery.
Ozil huyu huyu... Sema hapa wakati wa Arteta alicheza game ngapi na alicreate chances ngapi!.. Ozil uwezo umeisha labda unamuongelea Ozil mwingine
 
Rekodi zinaonyesha kabla ya kuja Wenger Arsenal ilikua ni mid table team haikua na consistency ya kubaki top four hata kwa misimu miwili mfululizo.

Wenger ndiye kaitransform hii timu na siye ambao tumeanza kushangilia baada yako tukavutiwa nayo.

So kusema tulipotoka ni kuzuri hapana. Tulipotoka palikua hovyo, Wenger akatuweka kwenye ramani kisha hawa waliokuja wanatarget kutufanya tuwe Arsenal ya kipindi cha Wenger.

Tunachohitaji ni uvumilivu.

Klopp alivyofika na yeye alikua anashonwa hivi hivi. Liva ishamaliza nafasi ya nane ishakaribia kufilisika, city kashapigwa 6 na Middlesbrough transformation inachukua muda.

Saying so simaanishi nimepuuzia niliichowahi kupoint kwamba tulimhitaji Aouar kuliko Partey, bado naamini hivyo. Bado naamini kuna magumu zaidi yanakuja. Wale wanaofikiri it will be a walk in the park waendelee kuleta takwimu za wachezaji kupiga pasi badala ya chansi zilizokua created na conversion rate.
Hicho kitu unachosema kilikaribia kufilisika nadhan siyo liverpool unayoiongelea na klop alikuja katikati ya msimu akashindwa kuingia top four msimu huo mmoja tu .......baada ya hapo mnajua ni mazishi
 
Msimu wa 2011/12 liva haikua inaelekea kufilisika?
 
We are Arsenal , We are in Right Direction

Auba:

“We’ve already played away at Liverpool & away at City. They are two of the hardest fixtures & they are behind us. If you look at how we played, we were always in both games. It shows how much we are improving and going in the right direction. We all have to stay positive.”
 
Hiyo right direction iwe converted into winning more games. Vinginevyo ni kauli ya kuturidhisha Fans...
 
Willian - Back in full training and available for selection.
Rob Holding - Returns to full training next week.
 
Wazee wa Alhamisi, mambo!?
tapatalk_1603788191591.jpeg
 
Man U kakazana kubaka mwenzake. RB wanamiliki mpira lakini kutafuta magoli ni jukumu zito.

Upamecano mchumba tu. Na ndo ana price tag ile.
 
Back
Top Bottom