Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ndugu zangu, hapa napambana na mashetani ya nafsi. Najishauri nisiangalie game ya Arsenal hadi mkataba wa Ozil utakapoisha. Mpira ni mzuri ila ni burudani tu. Haki na utu ni muhimu zaidi. Changamoto hii kwangu.
Kama kwako mpira ni uanaharakati mute hadi Ozil aondoke. Wengine mpira kwetu ni burudani, sio siasa wala imani za dini zitatuchanganya.
 
Laccazzette anahama kwenye boksi la mpinzani Kama sarpong bhana,

Partey anakata umeme na anachezesha timu at a same time,,

Pepe bado swala la 'price tag' kwake inamsumbua,yaani mpaka sasaiv aamini Kama anachezea arsenal,

Nketiah winger bado inamsumbua kwenye kuicheza,kila akijaribu 'ku cut in' anashindwa wapinzani wanamyima space,

GABRIEL meghalês na LUIZ nice performance ,

Ni wakati sasa wa xhaka au cebaloss ili ubunifu katika eneo la kiungo liongezeke.
 
Uliyeachia kubana pumbu unazingua.

Kuna member analalamika timu inakaa nyuma.

Sasa mbele itaendaje? Stats zilizoletwa za first half ni stats za mtu anayekaba siye anayeshambulia au kutengeneza nafasi.

I wish I was wrong
 
Uliyeachia kubana pumbu unazingua.

Kuna member analalamika timu inakaa nyuma.

Sasa mbele itaendaje? Stats zilizoletwa za first half ni stats za mtu anayekaba siye anayeshambulia au kutengeneza nafasi.

I wish I was wrong
daaaaah hii timu bana.
 
Back
Top Bottom