14Henry
JF-Expert Member
- Aug 23, 2020
- 299
- 370
Tutatoka tu maana ushindi uhakika.
Tutatoka tu maana ushindi uhakika.
Sijamuona kwenye mazoezi na wenzake.. Hopefully updates za baadae wanaweza kumjumuisha.Tierney vipi? Atakwepo leo!?
Sasa City ina mashabiki? Nafikiri ni miongoni mwa timu zenye plastic fans duniani. Angalia hata jukwaa lao humu.Nadhani EPL bila mashabiki imepunguza au kuondoa ile 'home ground advantage' kwa timu. Wachezaji wanacheza kwa kutulia bila pressure na uwezo wao wanaonesha zaidi. Kwa sasa naona haijalishi uko nyumbani au ugenini, ukikosea unapigwa. Nahisi hili lilichangia kilichomkuta Citeh.
Sio corona, hii Arsenal ya Arteta inamfunga yeyoteSasa na hii corona hata huo mmoja uliobaki hautaendelea kuwa hivyo.
Hesabu na leo hatuna namna nyingine liver mtakaa tu pale pale kwenu.Vijana wana ari na nguvu na kila sababu ya kuwamaliza liver nyumbani.Mara ya mwisho Liverpool kupoteza mechi ya ligi (PL) Anfield ilikuwa msimu wa 2016/17.
Nawashauri kocha wenu asihangaike kuandaa speech nyingi, moja tu inatosha.
Wacha weeeHesabu na leo hatuna namna nyingine liver mtakaa tu pale pale kwenu.Vijana wana ari na nguvu na kila sababu ya kuwamaliza liver nyumbani.
Tunajua hamtaki kufungwa ila itabidi mfungwe tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kauli ya kuwashangaza itoe, kwasababu wenyewe wanajua kinachoenda kufanyika pale uwani kwao, tumêmkalisha game mbili mfululizo, una haja gani ya kutuumia neno 'kuwashangaza' hawa tunaenda kuchukua point3 kama tulivyochukuaa kwa FulhamNaona tambo zinaendelea baina ya pande zote mbili..
Anyway, nawatakia maandalizi mema leo wanangu wa The Gunners.
Japo Liverpool wanaamini wao ni favorite, ila wategemee mchezo mzuri na wa ushindani leo.
Hii ni Arsenal nyengine kabisa, mentality mpya, hakuna makosa ya kijinga kwenye back line.
Hivyo lolote linaweza kutokea.. Wasishangae tukawashangaza kama jana Leicester alivyowashangaza City!
Ushindi ni wetu leo.Wacha weee
Angalia tu yasije kutokea kama ya Manchester jana...
Na ikiwa sivyo?Ushindi ni wetu leo.
Sasa City ina mashabiki? Nafikiri ni miongoni mwa timu zenye plastic fans duniani. Angalia hata jukwaa lao humu.
Hahahaha ni hatari. Baada ya kupigwa tano nikaenda jukwaa lao nikakuta post ya mwisho ni alhamisi wiki iliyopitaSihesabu kuna fans wa Citeh bongo. Nimeshangaa umeniambia wanajukwaa huku. Kwenda kupitia kidogo nakuta picha za Adebayor na wachangiaji ni fans wa Liverpool na Arsenal 😁😁
It is widely known that Holding pockets Mane.
It is widely known that Holding pockets Mane.