Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa ndo nn.....hapo huoni tumefanya squad rotation ukiachana na mount, havertz, kovacic ambao wamekuwa regular starters mpk sasa....azpi katoka kwenye injury kapewa game ajinyooshe ..vilevile kwa thiago Silva, hao wengine hawajawa regular starters sana huu msimu ambao hatujaona 1st eleven yetu tunayoitegemea kutokana n injuries n.k.
Unavyosema msimu huu utafikiri tupo mechi ya ngapi sijui kumbe ya pili tu kwahiyo hapo tunarefer msimu uliopita ambapo hiyo timu nzima imekua first eleven.

Halafu ndiyo mkawapangia Barnsley hichi kikosi???

Arsenal tumecheza hii game na Leicester huku Aubameyang, Gabriel, Ozil, Guendouz, Tierney hawapo hata kwenye sub.

Na tumeshinda
 
Hicho nilichoandika ndiyo ukweli wenyewe.

Hiyo timu yenu ingecheza na timu ya level ya Leicester sasa hivi mngekua mmejifungia kama mlivyoususa uzi wenu.
Leicester hyo unayoisemea utafikiri ile ya golini yupo schmeichel wakina soyuncu na ndidi, kina james justin ...wakati mmecheza na Leicester iliyorotate kikosi chao chote kilichocheza jpili..... Arseanal mnateseka kweli aisee poleni sana
 
Unavyosema msimu huu utafikiri tupo mechi ya ngapi sijui kumbe ya pili tu kwahiyo hapo tunarefer msimu uliopita ambapo hiyo timu nzima imekua first eleven.

Halafu ndiyo mkawapangia Barnsley hichi kikosi???

Arsenal tumecheza hii game na Leicester huku Aubameyang, Gabriel, Ozil, Guendouz, Tierney hawapo hata kwenye sub.

Na tumeshinda
Sasa si ndo kikosi chetu unataka utupangie kikosi au tupeleke U23....hcho ndo km kikosi chetu cha pili acha wivu mtoto wa kiume
 
Sasa si ndo kikosi chetu unataka utupangie kikosi au tupeleke U23....hcho ndo km kikosi chetu cha pili acha wivu mtoto wa kiume
Hahaha huku unabana pua eti "acha wivu mtoto wa kiume" aliyesema Arsenal tumepanga first eleven ndiye kayataka haya.
 
Leicester hyo unayoisemea utafikiri ile ya golini yupo schmeichel wakina soyuncu na ndidi, kina james justin ...wakati mmecheza na Leicester iliyorotate kikosi chao chote kilichocheza jpili..... Arseanal mnateseka kweli aisee poleni sana
Mpaka jana Arsenal tulikua tumeshinda mechi ya sita mfululizo.

Tumepiga Chelsea, Liva, Man City, West Ham...

Kuna mbuzi ametoka kubakwa 2 kavu.

Halafu ana guts za kusema ninateseka.
 
| Mikel Arteta asisitiza ni vigumu kwa Mesut Ozil kupata namba katika kikosi cha kwanza cha Arsenal, kutokana na aina ya chaguzi zake kama kocha mkuu.

IMG_20200924_110839.jpg
 
Mpaka jana Arsenal tulikua tumeshinda mechi ya sita mfululizo.

Tumepiga Chelsea, Liva, Man City, West Ham...

Kuna mbuzi ametoka kubakwa 2 kavu.

Halafu ana guts za kusema ninateseka.
Haaahaaaa Hata msimu wa unai mlikuwa mnashinda game mfululizo & the rest is history...saahv tumepata kuwaona sasa mi na ngoja mwez wa 10 pmj n sajili zenu za JF
 
Haaahaaaa Hata msimu wa unai mlikuwa mnashinda game mfululizo & the rest is history...saahv tumepata kuwaona sasa mi na ngoja mwez wa 10 pmj n sajili zenu za JF
😂😂😂 Unaweza kulia ukitaka.

Tulivyoshinda mfululizo tulichukua makombe mangapi?

Sasa hivi tumeshinda mfululizo tumechukua makombe mangapi?
 
Hahaha hiki hapa kikosi cha Chelsea kilichocheza na Barnsley inayoshiriki Championship huku ikiwa na tatizo la financial instability.

1: Caballero
2: Azpilicueta
3: Tomori
4: Thiago Silva
5: Emerson
6: Kovacic
7: Barkley
8: Mount
9: Havertz
10: Hudson Odoi
11: Tammy

Subs;
Baxter, Zouma, Chillwell, James, Jorginho, Giroud.

Taja wachezaji wanne katika hiki kikosi ambao hawachezi kwenye ligi
Achana na hivyo vitoto
 
From || Atletico have told Arsenal they’d like Torreira on a dry loan but Arsenal want an obligation included into the deal & rate the Midfielder at €24m (£22m) [via - @DiarioAS].

Luis Suárez avala a Torreira
hawa jamaa sio wanunuzi ni wapuuzi, wao partey wanataka mtoe hela mfuate term zao, kwa Torreira wanataka wafanye wanavyotaka, simply kwa kuwa arsenal lazima wamuachie Torreira

arsenal waseme na wakala wake amtafutie timu ingine ATM ni wapuuzi
 
Yaani ni nyie mkicheza na liva ni mwendo wa kuzuia tu sasa tushapata dawa yenu
 
hawa jamaa sio wanunuzi ni wapuuzi, wao partey wanataka mtoe hela mfuate term zao, kwa Torreira wanataka wafanye wanavyotaka, simply kwa kuwa arsenal lazima wamuachie Torreira

arsenal waseme na wakala wake amtafutie timu ingine ATM ni wapuuzi
Wahuni hawa , ila Arsenal kawaweza ,

Wanatakiwa waji commit Loan with obligation to buy

So Next season uhakika lazima walipe hiyo €24m , hivo tutaspend huku una uhakika hiyo hela msimu ujao unairudishia

Ndicho naona kinachotaka kufanyika, ndio maana tumewakazia hapo ,

Wao kwa Partey hawataki negotiation
 
Back
Top Bottom