Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Fulham si kipimo sahihi cha ubora wa team yenu.
Mnaanzaga hivi hivi na kuona ubingwa huu hapa.😂😂
Mkuu huwa tunaanzaga vibaya kama season 3, pili Fulham ndio imepanda na mechi yao ya mwanzo , wako nyumbani na ni derby, angalia factors zote, na mwisho katika EPL hamna timu mbovu kiivo, huyu huyu Fulham utasikia amemfunga Liverpool, kumbuka Watford msimu umepita na wako wapi sasa? Toeni credit tu timu yetu msimu huu ni ya moto. COYG!
 
Kiukweli upo sahihi.

Ila kama unakumbuka msimu uliopita tuliuanza kwa ushindi wa 2 - 1 au 1 - 0 na str8 up nikawaambia wenzangu humu kwamba msimu huu timu yetu ni mbovu. Ushindi ulikua wa kinyonge na wa kubahatisha, hakuna aliyeonyesha quality katika ile game.

Mechi iliyofuata tukashinda pia lakini ilikua same performance. Possession hakuna pasi hakuna.

Leo tumeona mabadiliko. Hapa hatushangilii kushinda, sisi tunashangilia mabadiliko kwakua tangu mwanzo tulijua lazima tushinde ila swali likawa kwenye "HOW?"
 
Kama sio kipimo sahihi kwa nini hii league inaitwa EPL na ina timu 20?kama ingekuwa sio kipimo sahihi ingekuwa championship,that's nonsense mtu kuongea shit kama hii

Tumeifunga Chelsea Final Liverpool Final Charity shield Manchester City Semi Final FA why not Fulham ?
 
Mkuu huwa tunaanzaga vibaya kama season 3, pili Fulham ndio imepanda na mechi yao ya mwanzo , wako nyumbani na ni derby, angalia factors zote, na mwisho katika EPL hamna timu mbovu kiivo, huyu huyu Fulham utasikia amemfunga Liverpool, kumbuka Watford msimu umepita na wako wapi sasa? Toeni credit tu timu yetu msimu huu ni ya moto. COYG!

Misimu ya 2014/15, 2015/16, 2016/17, na 2018/19 tulipoteza mechi za kwanza kwa Aston Villa, West Ham, Liverpool na Manchester City.

2019/20 tulianza uzuri.

Ila msimu huu tegemea Arsenal kuambulia angalau 1 points kutoka kwa Man City, Liverpool, Chelsea na Man Utd.

Target yetu ndo hiyo na tukizifunga hizi timu au kuambulia point 1 basi tutakuwa sawa.

We apo jiandae kukaa na kushangaa.

;)
 
Kama sio kipimo sahihi kwa nini hii league inaitwa EPL na ina timu 20?kama ingekuwa sio kipimo sahihi ingekuwa championship,that's nonsense mtu kuongea shit kama hii

Tumeifunga Chelsea Final Liverpool Final Charity shield Manchester City Semi Final FA why not Fulham ?
Hahaha usikasirike chief.

Ametoa mawazo yake, katika game ya leo underdog alikua ni Fulham so hata ushindi siyo kitu cha kutushtua mashabiki.

Tungefungwa ingekua habari, ila kuifunga Fulham siyo habari kabisa.
 
Misimu ya 2014/15, 2015/16, 2016/17, na 2018/19 tulipoteza mechi za kwanza kwa Aston Villa, West Ham, Liverpool na Manchester City.

2019/20 tulianza uzuri.

Ila msimu huu tegemea Arsenal kuambulia angalau 1 points kutoka kwa Man City, Liverpool, Chelsea na Man Utd.

Target yetu ndo hiyo na tukizifunga hizi timu au kuambulia point 1 basi tutakuwa sawa.

We apo jiandae kukaa na kushangaa.

;)
Nilisema humu kama Arteta atazitolea macho hizi timu ndogo na kupaki basi kwa vigogo tutapata zaidi ya anachowaza.
 
Hahaha usikasirike chief.

Ametoa mawazo yake, katika game ya leo underdog alikua ni Fulham so hata ushindi siyo kitu cha kutushtua mashabiki.

Tungefungwa ingekua habari, ila kuifunga Fulham siyo habari kabisa.
Kwa sasa point 3 ndo kila kitu na clean sheet EPL haina adabu kabisa Fulham hawa hawa kuna mkubwa mwenzetu lazima atachezea kipigo tena hapo hapo kwao Trust me
 
Back
Top Bottom