Arsenal (The Gunners) | Special Thread

1599915559822.png

1599915578398.png

Ding .. ... .Dong!
 
Yaani hadi Granit Xhaka anaonekana anafurahia kuucheza mpira pale katikati.

Hector beki wa Fulham anamuumiza Xhaka kwa kumkanya'ga.

But Xhaka is ok, lakini anatoka game laendelea.

Dakika yaenda ni ya 75

Nikolas Pepe anaingia.
 
Naona Watford walioshuka daraja wameshinda mechi yao na Cathcart ... .... kama unakumbuka vizuri Watford ndio waliwafunga loser fools kwa mara ya kwanza msimu uliopita na kukwamisha matumaini yao ya kuwa Invincible .. .. ... khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Yaani hadi Granit Xhaka anaonekana anafurahia kuucheza mpira pale katikati.

Hector beki wa Fulham anamuumiza Xhaka kwa kumkanya'ga.

But Xhaka is ok, lakini anatoka game laendelea.

Dakika yaenda ni ya 75

Nikolas Pepe anaingia.
Huyu Hector refa amemuonea huruma ana yellow na amefanya rafu nyengine kwa Auba na Xhaka, red card ingemuhusu.
 
Back
Top Bottom