Arsenal (The Gunners) | Special Thread

So far so good, Gabriel dakika 45 za debut amemudu ila bado yupo slow kidogo, tumeruhusu krosi mbili tatu kidogo imesumbua kama Fulham strikers wangekua Sharp ingesababisha shida , Auba yuko frustrated kidogo hajapata nafasi kiivo, ilikuwa aanze Nketiah badala ya Laca ambapo Auba angepata uhuru zaidi ila dogo Nketiah kazingua katika warm up kabla ya mechi, amezinguana na Ceballious. Hope wote Nketiah, Ceballiou na pia Pepe wataingia dakika 25 za mwisho kipindi cha pili.
 
Timu zaingia tena kuanza kipindi cha pili.

Hakuna mabadiliko yoyote kila timu iko kama mwanzo.
 
Wakati huohuo kipa namba 2 wa Arsenal Emiliano Martinez aanajiandaa kusajiliwa na Aston Villa au Brighton.

Gabbyyyyyyyy!!!!!

Fulham 0 Arsenal 2
 
1599914796689.png


New boy in town, they all count .... .... .. Ding ... ... Dong!


1599914971493.png


Auba anatupia cha tatu .... ... ..

''... A gorgeous third goal for Arsenal, who launch a move from back to front that was finished off effortlessly by their captain Aubameyang.''
 
Namsikitikia sana Mesut Ozil kwa kukosa kuchezea timu yake pendwa ya Arsenal.

Tunahitaji hardworking players na si wale wachezaji ambao wanaogopa kuweka mguu kunyang'anya mpira.

Dakika yaenda ni 56

Aubameyaaaaaaang!!

Fulham 0 Arsenal 3

Aubameyang ana ile saini maalum ya goli ambazo hufunga kutokea upande wa kushoto.

Ni kama vile enzi ya Thiery Henry.
 
Bro nakusalimia. Long time.
Mkuu salama mimi nipo poa. Covid-19 imeleta songombino hata ungo wangu kutoka Alaska inakuwa shida kidogo .. ... za masiku?

Arteta naona kaanza vizuri tusubiri tuone msimu huu tuone mambo yatakuwaje? Kitu wanachowafanyia Fulham ndio sahihi ni mwendo wa kubamiza tu kama unataka kushinda EPL hivi vitimu vinavoota kama uyoga ni kuvibamiza tu .. .. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hizi ndo zile mechi twasema "you rack up points quickly and swiftly".

Fulham wanafanya mabadiliko Mitrovic na Nguisa ndo wanaingia.

Nafikiri "is not gonna make any difference".
 
Mkuu salama mimi nipo poa. Covid-19 imeleta songombino hata ungo wangu kutoka Alaska inakuwa shida kidogo .. ... za masiku?

Arteta naona kaanza vizuri tusubiri tuone msimu huu tuone mambo yatakuwaje? Kitu wanachowafanyia Fulham ndio sahihi ni mwendo wa kubamiza tu kama unataka kushinda EPL hivi vitimu vinavoota kama uyoga ni kuvibamiza tu .. .. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Karibu sana mmoja wa maofisa waandamizi wa hili jukwaa letu la wana Gunners..

:):)

Kashengo amtafute Bantalanda jamaa amepotea sana.
 
Back
Top Bottom