Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hili jambo kila siku nalisema, Pepe amefika Arsenal msimu WA kwanza amepitia kwa mako ha wa3 tofauti na kila kocha anampa mbinu zake,
Unai
Freddie
Arteta
Hapohapo mumbuka amekuja katik ligi ngeni anahitaji muda kuizoea ligi na mazingira, lakini pia presha kutoka kwa mashabiki wenye mategemeo makubwa kutoka kwake, kutokana na timu kusuasua, kingine thamani ya pesa aliyonunuliwa vinamharibu kisaikolojia, huyu tumpe muda wa kutosha jamani, kwa mimi Hata misimu miwili nampa
Pointless ..bure kabisa ... takataka
 
Nafikiri yupo on the right track. Ukilinganisha takwimu zake na za Ronaldo wakati kahamia Man u Pepe ana takwimu nzuri.

Afanye mpango awe na uwezo wa kucut in na kuscore
Mashabiki wa hii team ni viazi
 
Katika mechi na Liva Arteta aliongea na Bellerin kispanish, kisha akaongea na Ceballos kiingereza halafu Lacazette alivyoinasa ile pasi ya Virgil akasema kwa kifaransa 'Ale ale laca'

Nimekumbuka hii baada ya kumsikia akishout kwa kifaransa mechii hii pia.

Anajua kuconnect na wachezaji.
 
Katika mechi na Liva Arteta aliongea na Bellerin kispanish, kisha akaongea na Ceballos kiingereza halafu Lacazette alivyoinasa ile pasi ya Virgil akasema kwa kifaransa 'Ale ale laca'

Nimekumbuka hii baada ya kumsikia akishout kwa kifaransa mechii hii pia.

Anajua kuconnect na wachezaji.
Arteta anaongea lugha 7 kama Arsene Wenger


Yule muhindi fala English ilikuwa inamsumbua ndio maana Alitaka kuishusha timu Daraja
 
Martinez aliwahi kusema Akimtania Leno ,kuwa anamzidi sana uwezo tatizo yeye hana uzoefu

IMG_20200716_072939.jpg
 
Wazee mimi nashabikia mpira as a whole, sibinywi na kua shabiki wa Arsenal.

Kuna vitu vingi hua watu wanavibypass simply kwakua utimu umewashika. Kuna member mmoja alikua anaponda formation ya 3 4 1 2 na nikawa namuambia kwanini tumeresort kwenye hiyo.

Leo Arteta anatumia hiyo hiyo na anaipigia debe kwa nguvu zote. Mara zote mimi hujaribu kuona zaidi ya ushabiki.

Kama ni mbinu ile mechi na Liva bila Virgil kupiga back pass tuliku na plan nyingine? Uliweza kuhisi kama kuna plan pale?

Anyway kila mtu yuko entitled na mawazo yake

Wewe kama sio shabiki wa arsenal basi, mambo ya u commentator hatutaki. Sis tunajua arteta aliingia na game plan hiyo.
Ila we jamaa bwana.

City katushambulia.

Kapiga shots.

Mustafi katoa boko.

Bellerini katoa boko.

VAR imetuachia (nimeshangaa)

Martinez kaokoa shot pekee on target ya Mahrez ambayo ilionyesha ingekua goli.

Sterling, Silva, Laporte, Foden, Debruyne, Mendy, wote hawa mashuti yao ama yalipaa au yalimgonga mtu yakatoka nje.

Unataka bahati gani zaidi ya hii?

Wakati hayo yanatokea ulikua unafumba macho?
makosa yao hayo, usiite bahati yetu. Auba au Pepe angepaisha ungesema bahati yao City au uzembe wa wachezaji wetu?!?
 
Back
Top Bottom