Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Watching Arsenal beating Liverpool and City in the same week like...
IMG_20200719_005029.jpg
 
Apewe muda. Ndio kwanza msimu wa kwanza huu. Usisahau pepe ana price tag ya 72M. Tusichukulie poa hiyo ni burden kubwa sana in today's football
Hili jambo kila siku nalisema, Pepe amefika Arsenal msimu WA kwanza amepitia kwa mako ha wa3 tofauti na kila kocha anampa mbinu zake,
Unai
Freddie
Arteta
Hapohapo mumbuka amekuja katik ligi ngeni anahitaji muda kuizoea ligi na mazingira, lakini pia presha kutoka kwa mashabiki wenye mategemeo makubwa kutoka kwake, kutokana na timu kusuasua, kingine thamani ya pesa aliyonunuliwa vinamharibu kisaikolojia, huyu tumpe muda wa kutosha jamani, kwa mimi Hata misimu miwili nampa
 
#Arsenal vs Manchester City Player Ratings:

Martinez: 10
Mustafi: 9
Luiz: 10
Tierney󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿: 10
Bellerin: 9
Ceballos: 10
Xhaka: 10
Maitland-Niles󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿: 10
Pepe: 9
Lacazette: 8
Aubameyang: 10

Subs:
Willock󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿: 8
Torreira: 8
Holding󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿: N/A
Kolasinac: N/A
 
Klopp said during press against UCL final against madrid.

"We can not compete on the level of real Madrid BUT Tactics are there to bring a better opponent on their level, and when we are no their level level, we can beat them"

ndio kilichotokea leo
Ww na team yako bado ni viazi
 
Back
Top Bottom