Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mo Salah aliondoka kama kinda ilimbidi akatafute nafasi timu ndogo. Huyo kaondoka kikosi cha wakubwa akiwa na namba kabisa.
uongo utakupeleka motoni kijana ?kinda kwa maana ipi?umri au kiuwezo?kma ni kiumri mo salah na gnabry nani aliyeondoka akiwa na umri mdogo?kama ni kiuwezo mo salah ametoka basel akiwa na uwezo mkubwa tu na alikuja chelsea sio kwa lengo la kuwa kikosi cha pili ila aingie kikosi cha kwanza ...ILA kuna watu walimuona hana kitu sasa hivi kawasha moto huko hatari.
 
Matteo humtaki mkuu!!!!,afu mi naona papa angewekwa pending kidogo tujaribu combo ya Chambers na Luiz.
Naona kama chambers ana hamu ya kuonesha uwezo this season.
Namkubali sana tu

Ila emery ndio anazingua ,

Kwanini asipange Double pivot yaani aweke

Mateo-Lt11-ceballos au

Xhaka-lt11-ceballos

Ila Yeye anang'ang'ana na Xhaka acheze DM kisa hamtaki lt11 ,
 
Wenger won double and was voted world manager of the year during his first full season in charge at Arsenal.

He’s the only man to win the PL without losing, holds the record number of FA Cups, maintained CL for years with poor resources & revolutionized Arsenal FC.
 
Uzuri kwa maelezo yako , na uhakika huyu dogo umemjulia humu humu jf kwenye mijadala , kama kweli unafatilia soka usingekuwa unaaminisha watu Chelsea itamaliza ndan ya top 6 this season....hahahaha
Hahaa.. Uvivu wa kufikiri unakupeleka pabaya wewe. Niambie ni lini niliwaaminisha watu ivyo? Siyo wewe ndio unataka tuamini unacho amini wewe? Unataka mawazo yako yawe sawa kwa wengine. Unalegea katika kufikiri mkuu
 
Basi kama unakataa ,mm sijawahi kutaka mawazo yangu yawe sawa na wengine, mm napenda kujifunza na kukubaliana na fact ,

Mfano toka preseason nakuambia kuhusu team yako usitarajie makubwa msimu huu , lkn unanibishia ,subiri ndan ya mech 4 zijazo , nitarudi tena kukukumbusha.
 
uongo utakupeleka motoni kijana ?kinda kwa maana ipi?umri au kiuwezo?kma ni kiumri mo salah na gnabry nani aliyeondoka akiwa na umri mdogo?kama ni kiuwezo mo salah ametoka basel akiwa na uwezo mkubwa tu na alikuja chelsea sio kwa lengo la kuwa kikosi cha pili ila aingie kikosi cha kwanza ...ILA kuna watu walimuona hana kitu sasa hivi kawasha moto huko hatari.
Yule Mou matako kabisa ndio alimtoa Salah. Tena kipindi kile ndio alikua manager so ana husika na kila mchezaji.
 
ARSENAL INJURY UPDATE:

Rob Holding: Back in full training with the first team squad

Hector Bellerin: On-field rehabilitation. Progressing well. Aiming to participate in full training in September.

Kieran Tierney: Aiming to participate in full training in September.

#afc
 
Basi kama unakataa ,mm sijawahi kutaka mawazo yangu yawe sawa na wengine, mm napenda kujifunza na kukubaliana na fact ,

Mfano toka preseason nakuambia kuhusu team yako usitarajie makubwa msimu huu , lkn unanibishia ,subiri ndan ya mech 4 zijazo , nitarudi tena kukukumbusha.
Mimi mbina hata jukwaani kwangu nilishasema haya. Niliwataadharisha kitambo tu fan wenzangu kwa kuwaambia wasitegemee maajabu ikiwa hatujafanya usajili, tumebadilisha kocha, wachezaji baadhi ni majeruhi, pia tumepoteza mchezaji muhimu. Hayo niluyasema pengine labda hukufanikiwa kuiona post yangu. Mnapokuja kuchanganya nyie ni pale sisi tunaposifia progress ya timu ya yetu. Yan pamoja na hizo sababu nilizoainisha hapo bado kuna mwanga unauona yaan the way timu inacheza.

Najua kwa jinsi tunavyo cheza ndio kinachowaumiza kwa sababu hamkutegemea kuuona mpira ule tunaopiga. Sitaki kuongelea nafasi tutakayoishia kwa sababu hata msimu ulopita mlitabiri hatutakuwepo top 4 lakini mwisho wa siku mkaduwaa wenyewe.
 
Haya ngoja tuone ,kuhusu kucheza mpira mzuri sijakataa ,hata mm napenda Mbinu za Lampard ,ila msimu huu mtapata taabu sana
 
Bernd Leno:

‘You can’t compare Arsenal & Leverkusen. Arsenal is a world club, THE club here in London. Not Chelsea, not Tottenham. Arsenal is the club here with fans around the world. No matter where we are, also in the USA or in Asia, there are many fans of Arsenal everywhere’.
 
Ni wakati sasa wa Hale end acardemy(Arsenal acardemy) kuleta product

Wenger alitumia £40m kuweka facilities kwenye hii acardemy

Anapoondoka alisema

Ameacha misingi thabiti , ameacha resource ambazo kocha anayekuja hatapata tabu

FB_IMG_1568126057683.jpeg
 
Mikh timu ya taifa anavyo kiwasha utafkir sio yule wa arsenal. yote kwa yote huyu gnabry kila nikimuangalia roho inauma, tuliuzaje mashine hii
Huyo jamaa ni funzo kutosha on why we should handle Nelson, holding, willock, ESR, saka, with care
 
TEAM NEWS

Team news: Holding, Bellerin, Tierney

Arsenal Media 11 Sep 2019

We return to Premier League action on Sunday when we travel to Vicarage Road to face Watford.

Here's our latest team news update:

All players who were on international duty will have returned to us by Thursday morning. No international players have reported injuries during this period.

However, all international players will be assessed ahead of Sunday’s match.

Rob Holding
Now back in full training with the first team squad.

Hector Bellerin
Left knee. Continuing with on-field rehabilitation. Progressing well and aiming to participate in full training in September.

Kieran Tierney
Groin. Continues to receive treatment and further assessments. Progressing well and aiming to participate in full training in September.

Dinos Mavropanos
Groin. Continues to receive treatment and further assessments. Progressing well and aiming to participate in full training in September.

Copyright 2019 The Arsenal Football Club plc. Permission to use quotations from this article is granted subject to appropriate credit being given to www.arsenal.com as the source.
 
Namkubali sana tu
Ila emery ndio anazingua ,
Kwanini asipange Double pivot yaani aweke
Mateo-Lt11-ceballos au
Xhaka-lt11-ceballos
Ila Yeye anang'ang'ana na Xhaka acheze DM kisa hamtaki lt11 ,
Sidhina kama Unai Emery hamtaki Lucas Toreirra ilhali kamsajiri yeye.

Ninavyo tizama ni yeye kumshusha Granit Xhaka ilikusudi mwanae kipenzi Matteo Guendouzi acheze juu.
 
Tuacheni ushabiki hapa arsenal ilivurunda kumuuza gnabry
Nadhan hulijui saga la gnabri kuuzwa , Wenger sio mjinga , hata Song aliuzwa hivi.hivi , Gnabry kapewa airtime ya kucheza tena EPL akiwa na umri mdogo , na akafanya vzr , sasa kafatilie why Wenger alimuuza,
 
Back
Top Bottom