Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,661
- 6,579
Sasa nikuogope kwa lipi??Ongea na mimi usiniogope kijana. Kuwa free
Majadiliano na watu waliotanguliza unazi mbele waga siwezi.
Sasa nikuogope kwa lipi??Ongea na mimi usiniogope kijana. Kuwa free
Matteo humtaki mkuu!!!!,afu mi naona papa angewekwa pending kidogo tujaribu combo ya Chambers na Luiz.Team prediction for Watford:
Leno, AMN, Chambers, Luiz, Kolasinac, Torreira, Willock, Ceballos, Nelson, Pepe, Aubameyang/
uongo utakupeleka motoni kijana ?kinda kwa maana ipi?umri au kiuwezo?kma ni kiumri mo salah na gnabry nani aliyeondoka akiwa na umri mdogo?kama ni kiuwezo mo salah ametoka basel akiwa na uwezo mkubwa tu na alikuja chelsea sio kwa lengo la kuwa kikosi cha pili ila aingie kikosi cha kwanza ...ILA kuna watu walimuona hana kitu sasa hivi kawasha moto huko hatari.Mo Salah aliondoka kama kinda ilimbidi akatafute nafasi timu ndogo. Huyo kaondoka kikosi cha wakubwa akiwa na namba kabisa.
Namkubali sana tuMatteo humtaki mkuu!!!!,afu mi naona papa angewekwa pending kidogo tujaribu combo ya Chambers na Luiz.
Naona kama chambers ana hamu ya kuonesha uwezo this season.
Hahaa.. Uvivu wa kufikiri unakupeleka pabaya wewe. Niambie ni lini niliwaaminisha watu ivyo? Siyo wewe ndio unataka tuamini unacho amini wewe? Unataka mawazo yako yawe sawa kwa wengine. Unalegea katika kufikiri mkuuUzuri kwa maelezo yako , na uhakika huyu dogo umemjulia humu humu jf kwenye mijadala , kama kweli unafatilia soka usingekuwa unaaminisha watu Chelsea itamaliza ndan ya top 6 this season....hahahaha
Basi kama unakataa ,mm sijawahi kutaka mawazo yangu yawe sawa na wengine, mm napenda kujifunza na kukubaliana na fact ,Hahaa.. Uvivu wa kufikiri unakupeleka pabaya wewe. Niambie ni lini niliwaaminisha watu ivyo? Siyo wewe ndio unataka tuamini unacho amini wewe? Unataka mawazo yako yawe sawa kwa wengine. Unalegea katika kufikiri mkuu
Yule Mou matako kabisa ndio alimtoa Salah. Tena kipindi kile ndio alikua manager so ana husika na kila mchezaji.uongo utakupeleka motoni kijana ?kinda kwa maana ipi?umri au kiuwezo?kma ni kiumri mo salah na gnabry nani aliyeondoka akiwa na umri mdogo?kama ni kiuwezo mo salah ametoka basel akiwa na uwezo mkubwa tu na alikuja chelsea sio kwa lengo la kuwa kikosi cha pili ila aingie kikosi cha kwanza ...ILA kuna watu walimuona hana kitu sasa hivi kawasha moto huko hatari.
Acha kwanza wewe kutanguliza unazi ndio uwaambie wengine waache.Sasa nikuogope kwa lipi??
Majadiliano na watu waliotanguliza unazi mbele waga siwezi.
Mimi mbina hata jukwaani kwangu nilishasema haya. Niliwataadharisha kitambo tu fan wenzangu kwa kuwaambia wasitegemee maajabu ikiwa hatujafanya usajili, tumebadilisha kocha, wachezaji baadhi ni majeruhi, pia tumepoteza mchezaji muhimu. Hayo niluyasema pengine labda hukufanikiwa kuiona post yangu. Mnapokuja kuchanganya nyie ni pale sisi tunaposifia progress ya timu ya yetu. Yan pamoja na hizo sababu nilizoainisha hapo bado kuna mwanga unauona yaan the way timu inacheza.Basi kama unakataa ,mm sijawahi kutaka mawazo yangu yawe sawa na wengine, mm napenda kujifunza na kukubaliana na fact ,
Mfano toka preseason nakuambia kuhusu team yako usitarajie makubwa msimu huu , lkn unanibishia ,subiri ndan ya mech 4 zijazo , nitarudi tena kukukumbusha.
Haya ngoja tuone ,kuhusu kucheza mpira mzuri sijakataa ,hata mm napenda Mbinu za Lampard ,ila msimu huu mtapata taabu sanaMimi mbina hata jukwaani kwangu nilishasema haya. Niliwataadharisha kitambo tu fan wenzangu kwa kuwaambia wasitegemee maajabu ikiwa hatujafanya usajili, tumebadilisha kocha, wachezaji baadhi ni majeruhi, pia tumepoteza mchezaji muhimu. Hayo niluyasema pengine labda hukufanikiwa kuiona post yangu. Mnapokuja kuchanganya nyie ni pale sisi tunaposifia progress ya timu ya yetu. Yan pamoja na hizo sababu nilizoainisha hapo bado kuna mwanga unauona yaan the way timu inacheza.
Najua kwa jinsi tunavyo cheza ndio kinachowaumiza kwa sababu hamkutegemea kuuona mpira ule tunaopiga. Sitaki kuongelea nafasi tutakayoishia kwa sababu hata msimu ulopita mlitabiri hatutakuwepo top 4 lakini mwisho wa siku mkaduwaa wenyewe.
Huyo jamaa ni funzo kutosha on why we should handle Nelson, holding, willock, ESR, saka, with careMikh timu ya taifa anavyo kiwasha utafkir sio yule wa arsenal. yote kwa yote huyu gnabry kila nikimuangalia roho inauma, tuliuzaje mashine hii
Tuacheni ushabiki hapa arsenal ilivurunda kumuuza gnabryDogo alileta kibri
Wenger akamuuza ,
Ataonyesha Europa, hii kujaribu jaribu ndio haifai. Weka full mzikiMatteo humtaki mkuu!!!!,afu mi naona papa angewekwa pending kidogo tujaribu combo ya Chambers na Luiz.
Naona kama chambers ana hamu ya kuonesha uwezo this season.
Sidhina kama Unai Emery hamtaki Lucas Toreirra ilhali kamsajiri yeye.Namkubali sana tu
Ila emery ndio anazingua ,
Kwanini asipange Double pivot yaani aweke
Mateo-Lt11-ceballos au
Xhaka-lt11-ceballos
Ila Yeye anang'ang'ana na Xhaka acheze DM kisa hamtaki lt11 ,
Nadhan hulijui saga la gnabri kuuzwa , Wenger sio mjinga , hata Song aliuzwa hivi.hivi , Gnabry kapewa airtime ya kucheza tena EPL akiwa na umri mdogo , na akafanya vzr , sasa kafatilie why Wenger alimuuza,Tuacheni ushabiki hapa arsenal ilivurunda kumuuza gnabry