Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,504
- 28,691
Hata Unai akiletewa Huyu bado atamuweka bechi na kumchezesha Mustafi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukiachana na ushabiki Spurs hana rekodi Nzuri kwa Arsenal na Liverpool.
Last season Arsenal hakuwa vizuri, Lakini Spurs alikuwa vizuri ingawa hakusaini bali aliishia kupigwa 4 na Arsenal.
Spurs katika Top 6 huzisubiri Chelsea, Manure na Man City ndiyo anazikazia kinoma.
Lakini akicheza na Liverpool tu huwa anacheza mpira bovu balaa na Ndiyomana kila msimu tunachukua points 6 au 4.. Inaweza pita miaka 5 au zaidi ndiyo anabahatisha kutufunga kama alivyotuokota mwaka Juzi.
Kwahiyo na kwa Arsenal pia huwa analegeza vyuma.
Hii kali ya mwaka.
Bado naamini kwa 95% Spurs ndiyo bingwa msimu huu. Kama akianguka basi ni nafasi ya pili.
Mkuu punguza jazba hao kina torreira walilambishwa vumbi Na Firmino mech ya 5-0.acha kumlalamikia kocha huyo lagazeti mwenyew kwa Van dijk angetulia tu kama mwenzake auba.jengen kikos halafu mje tena anfield sio kupiga domo wakat hauna timu iliyojengwa vizurKiburi cha Unai kimetuponza,
Pepe ni talented player ,
Laca ana hold mipira , unamuweka bench,
Hivi unai hajui kuwa kumuweka laca kungefanya pepe na auba wapate space za kupenyeza mipira zaid ?
Kwenye midfield Unamuweka LT 11 nje kila siku,
Unamuanzisha Mateo & Willock Anfield kweli ? Wakati
Una uwezo wakuweka kiungo solid cha
Xhaka lt11 ceballos
UNAI hawez kutufikisha nchi ya ahadi .
Baada ya kuona lineup tu, sikuweza kuwa na matumain yoyote ,
Na Jana nimethibitisha Unai sio kocha ni msimamiz wa mazoez,
Pepe alimpeleka Van dijk??? Ww mech umesimuliwa au???Ila inshort niseme tu *Poor team selection* , *kiburi cha unai* , *Ujinga wa unai* *Mahaba Niue ya unai* ndo yameamua game ya Jana .
Liverpool asingeshinda mechi kama wangeanza wote akina Lucas, xhaka,pepe,auba,lacazete,mikh/ozil
Hapo alikuwa hapotezi mechi maana kama pepe Jana aliweza kumpeleka VVD vile unadhan angekuwepo lacazete akatoa back up kingetokea nn ??
*unai ni msimamiz wa mazoezi tu ...ile team.hata mkwasa kwa sasa anaweza akachukua na akafanya vzuri*
Wewe unajielewa kweli?lini walifunga 5 - 0 ?????acha bangeMkuu punguza jazba hao kina torreira walilambishwa vumbi Na Firmino mech ya 5-0.acha kumlalamikia kocha huyo lagazeti mwenyew kwa Van dijk angetulia tu kama mwenzake auba.jengen kikos halafu mje tena anfield sio kupiga domo wakat hauna timu iliyojengwa vizur
Hapo ndo shida ilipo yaan anani kera nyau yuleTatizo ni kocha, hadi hapa tulipofikia kocha analaumiwa kwa kiasi kikubwa. Hiyo first eleven ni nzuri ila ngoja uone huyo Unai akiwaanzisha akina Willock.
Anaonekana kabisa kuwa na mahaba na wachezaji fulani huku wengine pamoja na ubora wao wanachezeshwa kwa kubeep sana.
Yani apo kwa Luiz arsenal tumepigwaMsimu uliopita ambao Tottenham hakusajiri alijinyakulia point zake 4 kutoka kwa Arsenal wkat Arsenal alipta point moja tu kwa Tott. Sasa sijui unazungumzia Tottenham ya Vingunguti!? Na hapo Tottenham msimu huu kasajili watu wa maana huku kaArsenal kamemleta Luiz kama beki wa kati
Kumbe munajijua kabisa ..hata ivyo mtaa umepoa kichizi..Kikweli imenishangaza kumwacha Laca na kumuingiza yule dogo
Ila naona hata midfield pia mlipwaya,
Poleni, lakini mimi nimefurahi maana huku mtaani ni nyie na sisi ndio tupo wengi kwahiyo mngeshinda hii weekend maisha yangekuwa mgumu sana kwetu
Unajua kama fan ..halafu Luiz ameondoka gafla tu bila kutarajia na kujiunga na wapinzani wako ..halafu akaboronga sisi kwetu ni faraja kidogo mkuuMkuu kuondoka Luiz inaonekana kulikuuma sana
Maana kwenye kila sentensi unamtaja Luiz
Kwani nyie munataka kufika wapi kama arsenal.Kocha huyu hamna kitu kabisa , hawez kutufikisha tunapopataka
Inabid apangiwe kikosi sasa kama alivyokuwa anafanyiwa PSG ,
Acha ushabiki maandazi ,Unajua kama fan ..halafu Luiz ameondoka gafla tu bila kutarajia na kujiunga na wapinzani wako ..halafu akaboronga sisi kwetu ni faraja kidogo mkuu
Ni kama Sanchez alivyokuja Man united, angefanya vizuri ingekuwa ni maumivu kwa fan wa arsenal, ila sasa kaboronga kwa iyo ni kama faraja flani ivi kwa hawa arsenal fan ..kingine ni kwamba tunaangalia mchezaji ameondokaje kwenye club, kama aliondoka kwa Ku force halafu akazingua uko alipo ..sisi tunaona ni furesh tu kufurahi..
Hivyo uyu Luiz sisi Arsenal tumepigwa mkuu
Ollachuga acha bangi,Kwani nyie munataka kufika wapi kama arsenal.
Apo tatizo sio kocha, ni wachezaji alionao..
Kumewauma sana ,Mkuu kuondoka Luiz inaonekana kulikuuma sana
Maana kwenye kila sentensi unamtaja Luiz
Unai mdomo hawa Chelsea kuja kupiga kelele humu wakat wana litimu libovuUnai anapanga kikosi cha Sportpesa wakati anacheza EPL tena big match.
Nje anaacha watu wazima wenye uwezo, anaweka watoto ambao hata Cardif hawachezi... jana kocha kavuruga mwenyewe japo Liverpool sio wepesi kiivyo.
Acha kuongea ugolo, huyo tot alichukua point 4 wap kwa arsenal ?Msimu uliopita ambao Tottenham hakusajiri alijinyakulia point zake 4 kutoka kwa Arsenal wkat Arsenal alipta point moja tu kwa Tott. Sasa sijui unazungumzia Tottenham ya Vingunguti!? Na hapo Tottenham msimu huu kasajili watu wa maana huku kaArsenal kamemleta Luiz kama beki wa kati
Kampeleka sana tena sana ,Pepe alimpeleka Van dijk??? Ww mech umesimuliwa au???