Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nilisema pia kuhusu mapungufu ya luiz kama atapangwa game ya liver kuna jomba akan crash hapa, nafkr sasa kajionea kwa macho. Luiz n bek mzur ila hana utulivu, tulikua hatumuhitaj kwenye mechi hii hatuta muhtaj kwenye mechi yetu na mancity na ata spurs kama son atakuwepo, hawa washumbuliaj wenye kasi na kunyambulika wanampa tabu sana na mprefer chambers zaid kwa kipindi hichi mpaka holding atakapo rudi
 
Kuna mchambuzi mmoja alidai Luiz angechezeshwa CM angecheza vizuri sana kwa sababu ya passing ability aliyonayo na uwezo wa kuanzisha mashambulizi. Anadai CM haina pressure kama ilivyo kwenye CB

Sasa mimi nawashauri majirani zetu wa London mpeni Luiz central midfield roles atakuwa na manufaa zaidi kuliko kwenye CB kwa sababu ni mzito na anatakiwa acheze under pressure kitu ambacho hawezi na ndio kitu walikosana na Lampard. Sio Mancity tu wala Liverpool, karibu timu zote za EPL wana mastrikers wepesi ambao Luis haendani na kasi yao. Mfano mkikutana na Crystal palace ya Zaha ataendelea kukamata mashati tu
Ila akicheza katikati atawaunganisha wenzake vizuri na kuanzisha mashambulizi. Luiz pia ni mzuri kwa klutengeneza nafasi za kufunga. Huu ushauri kama mnauona mzuri mumfikishie Unai
 
Nimekuja kukazia. Timu zote zilizocheza ugenini wiki hii zimeondoka na matokeo kasoro Arsenal.

Hata Mimi Nakazia!

Bado unasimamia mtazamo wako kuwa Spurs anaweza kubeba ubingwa?

Nakuhakikishia next game anapigwa na Arsenal

Tunza hii post
 
Arsenal hawawezi kumfunga Spurs, huwa spurs anapigwa na timu ndogo tu, kwa top 6 wanajiandaaga sawasawa
 
According to @diariovasco, Arsenal and Real Sociedad will meet today regarding Monreal's transfer. Sociedad offered Nacho a 2 years contract with another 1 optional, and he wishes to go back to Spain. Arsenal are open to sell for the right offer
 
Hata Mimi Nakazia!

Bado unasimamia mtazamo wako kuwa Spurs anaweza kubeba ubingwa?

Nakuhakikishia next game anapigwa na Arsenal

Tunza hii post
Bado naamini kwa 95% Spurs ndiyo bingwa msimu huu. Kama akianguka basi ni nafasi ya pili.
 
Spurs atastrugle sana kubakia top 4
Mancity na Liverpool bado ni title contenders wa first degree hao wengine wane ni second degree
Spurs, Chelsea, Man u na Arsenal watabaki kupigania nafasi ya 3 na 4 period kama ilivyokuwa mwaka jana
Infact atakayefanya blunders nyingi atabakia no .6
Atakayefuatia kwa blunders atabakia no. 5
Hivi ndivyo ilivyokuwa mwaka jana timu zote nne Yaani Chelsea, Arsenal, Spurs na Man u walifanya a lot of blunders ambazo Liverpool na Man city hawakuzifanya na matokeo yake yule kinara wa blunders (Man u alibakia no. 6, jirani yake the same, Spurs ambao walikuwa wawe no. 3 wakapigwa pigwa na vitimu vidogo mpaka wakajikuta wapo no. 4
 
MASHABIKI WA ARSENAL SASA WANAAMINI TIMU YAO INAWEZA KUSHINDA MATAJI NA VIONGOZI WA TIMU WANAAMINI TIMU YAO IPO KWENYE KIPINDI CHA MPITO KUENDELEA KUJENGWA ILI BAADAE IWEZE KUSHINDA MATAJI
Uwezo uo tunao ndugu, ngoja majembe ya pone, bellerin, tierney, holding afu utaelewa. Achana na mawenge ya emery, potential eleven yetu ikija kuanza kucheza pamoja vilio vitakua vingi kwa wapinzan,
Leno
bellerin, sokratis, holding,tierney
Torreira,xhaka, cabellous
Pepe, lacca,auba
 
Arsenal hawawezi kumfunga Spurs, huwa spurs anapigwa na timu ndogo tu, kwa top 6 wanajiandaaga sawasawa

Tukiachana na ushabiki Spurs hana rekodi Nzuri kwa Arsenal na Liverpool.

Last season Arsenal hakuwa vizuri, Lakini Spurs alikuwa vizuri ingawa hakusaini bali aliishia kupigwa 4 na Arsenal.

Spurs katika Top 6 huzisubiri Chelsea, Manure na Man City ndiyo anazikazia kinoma.

Lakini akicheza na Liverpool tu huwa anacheza mpira bovu balaa na Ndiyomana kila msimu tunachukua points 6 au 4.. Inaweza pita miaka 5 au zaidi ndiyo anabahatisha kutufunga kama alivyotuokota mwaka Juzi.

Kwahiyo na kwa Arsenal pia huwa analegeza vyuma.
 
Kwani Spurs msimu uliopita alichukua points ngapi kwa United
 
Tukiachana na ushabiki Spurs hana rekodi Nzuri kwa Arsenal na Liverpool.

Last season Arsenal hakuwa vizuri, Lakini Spurs alikuwa vizuri ingawa hakusaini bali aliishia kupigwa 4 na Arsenal.

Spurs katika Top 6 huzisubiri Chelsea, Manure na Man City ndiyo anazikazia kinoma.

Lakini akicheza na Liverpool tu huwa anacheza mpira bovu balaa na Ndiyomana kila msimu tunachukua points 6 au 4.. Inaweza pita miaka 5 au zaidi ndiyo anabahatisha kutufunga kama alivyotuokota mwaka Juzi.

Kwahiyo na kwa Arsenal pia huwa analegeza vyuma.
You may be right kwa sababu Arsenal anacheza nyumbani lakini statically wanalipiziana, Arsenal akishinda kwao Spurs naye anashinda kwao
Kumb. kuna mtaalamu mmoja kaiona Arsenal mpya na kocha mpya lakini matokeo yale yale
 
KWAHERI NACHO MONREAL Umetuachia na Maisha yetu ya Afadhar ya Jana.
Unaelekea REAL SOCIEDAD nyumbani kwenu Spain ila Mwambie UNAI Akishindwa kutuweka TOP 4 akyanani Atakufuata huko huko!!!

Hatuna Sabab ya Kufungwa Kirahisi Rahisi ingali Majembe Tunayo...
Anataka Kuyatumia wapi na kama Kila mchezaji alikuwa FITI ktk game ile na Liverpool pale kwao Anfield,Akapanga km anacheza PS.

Machungu tunayo sisi Wana Gooners angejua Hatuna Raha kabisa kwenye Mabanda yetu huku Uswaz..
Ila poa Ilikuwa Wiki ya Misiba Ya wengi...
Mahasimu SPURS tumeshuhudia wakikabwa kooni uwanjani Kwao kwa kupigwa 0 - 1 na NEWCASTLE na Wale Jamaa Zetu wale MAN BUUuu Wakilala 1 - 2 na CRYSTAL PALACE pale Trafford..Afadhari afadhari bado tupo TOP 4

Weekend Hii Jumapili tunacheza na SPURS Nyumbani Emirates.Hawa jamaa sisi ni wapinzani wetu yaani Mahasimu wetu ndani ya jiji la London tupo karibu nao kabisa Unafanya kutembea kwa mguu unafika mtaani kwao hatupo nao mbali,katika Ligi wanaomba wamalize juu yetu ndo Kipengele chao kikubwa kila Msimu na mwaka jana wametupita kila idara Wamefika fainali CHAMPIONS LEAGUE na ktk ligi wamemaliza wakiwa juu yetu..

Tumetoka kufungwa wametoka kufungwa Hivyo Basi UNAI endelea kulazimisha kutia Chumvi ktk Chai matokeo yake tutakwambia Mwisho wa Msimu...
HATUTAKI KUFUNGWA MFULULIZO Please..
FB_IMG_1566831093786.jpeg
 
HATUTAKI KUFUNGWA MFULULIZO Please..View attachment 1190568
Nakubaliana na wewe UNAI asipoingia top 4 itakuwa baba jeni byebye.
 
Tulia kijana dawa iingie, dozi nzima lazima mpewe
 
Uwezo uo tunao ndugu, ngoja majembe ya pone, bellerin, tierney, holding afu utaelewa. Achana na mawenge ya emery, potential eleven yetu ikija kuanza kucheza pamoja vilio vitakua vingi kwa wapinzan,
Leno
bellerin, sokratis, holding,tierney
Torreira,xhaka, cabellous
Pepe, lacca,auba
Tatizo ni kocha, hadi hapa tulipofikia kocha analaumiwa kwa kiasi kikubwa. Hiyo first eleven ni nzuri ila ngoja uone huyo Unai akiwaanzisha akina Willock.

Anaonekana kabisa kuwa na mahaba na wachezaji fulani huku wengine pamoja na ubora wao wanachezeshwa kwa kubeep sana.
 
Huyu kicha kiazi sana. Msimu uliopita alikosa top 4 kwa ujunga huu huu. Nahisi hyyu jamaa an issue na torreira, laca na ozil
 
Back
Top Bottom