Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Here's how #AFCU23 line-up against @Rovers in their first #PL2 outing of the season...

XI: Hillson, Swanson, Holding, Clarke, Bola, Olayinka, Burton (c), Smith-Rowe, Tormey, Balogun, Coyle

BENCH: Smith, Olowu, Omole, McEneff, John-Jules

#ArsenalAcademy https://t.co/d6pWgPv4SL
IMG_20190812_204141.jpeg
 
Ft. Blackburn 1 Arsenal 3. Arsenal start the Steve Bould era with a win courtesy of Balogun's hat-trick, with Smith Rowe and Holding also receiving runouts.
 
Alex Iwobi....kipaji kutoka Nigeria...akilelewa toka miaka 6...na Arsenal...niseme wakati Alex anasajilwa Arsenal na kujiunga na Academ yao...nakumbuka kichwa cha habari "Arsenal yamsajili Okocha mpya " kwangu nilistuka sana kwani kipindi hicho JJ Okocha alikua kwenye moto wake..lakini nilikuja kata tamaa baada Ya kuona umri wa uyo Okocha mpya lakin baada ya malezi bora na jicho la mbali alilokua nalo Prof Wenger...Alex alipanda timu ya wakubwa na kuanza kupewa nafasi....Alex Iwobi fundi mmoja wa kuchezea Mpira,Shibobo master! hakika dhama zake zimeisha pale Arsenal akiwa bado na ndoto ya kuifanyia Makubwa Arsenal...na Imani yangu ameacha Alama..na atabaki kuwa mmoja wa watu wa kukumbukwa japo ameondoka akiwa na umri mdogo...
Kuna wakati aliekua Mwalimu wa Chelsea Mreno Jose Mourinho aliwai kumsifia mchezaji aliekua anamtaka kipindi kile Solomon kalou na kufanikiwa kumsajili..alimsifia kalou kuwa ni dhahabu inayosubili kung'alishwa ili iwe dhababu kamili..lakini Solomoni kalou alishindwa kumpa alichokitalajia Jose Mourinho ..mwisho aliondoka chelsea bila kifanya makubwa...niseme kwa upande wangu wa Ukiagalia uchezaji na kipaji cha Alex Iwobi na Solomoni kalou kama vilikua vinafanana sana kiuchezaji...mafundi sana wa kukaa na mpira na kuuchezea,chenga za maana...sana..ila maamuzi yao ya mwisho huwa tatizo..umalizia huwa sio mzuri...nasubili nione nini atakifanya Alex Iwobi na Timu yake mpya Everton..

Mimi muafrika..sitoacha kuwapenda wafrika wenzangu kila la heri Alex Iwobi..fundi mmoja wa mpira...
FB_IMG_1565330289456.jpeg
 
Ainsley Maitland-Niles was born 15 miles from the Emirates Stadium.

Joe Willock was born seven miles away from the Emirates Stadium.

Reiss Nelson was born five miles away from the Emirates Stadium.

All three started for Arsenal on the opening day of the season.

#afc #future #arsenal #afc


Arsenalwearefamily
FB_IMG_1565687645393.jpeg
 
Bielsa on Nketiah: "The most important thing with Nketiah is that he is a special player & he doesn’t need a lot of instructions to follow his style of game. He’s a striker & the team will accommodate him, rather than him accommodating to the team"
IMG_20190813_232216.jpeg
 
#OTD in 1996 Vieira signed - The greatest & most complete PL midfielder. 3 league titles & 4 FA Cups. Invincible captain. The rivalry with Keane, masterclass at OT for the double. Goal at WHL to win the league, we’ve never recovered from losing him. #AFC

 
Tunakumbushana Kidogo

Kuelekea Mechi Dhidi ya BURNLEY EMIRATES.
Tumecheza nao mechi 107 mashindano yote
Tukishinda 53
Wakitufunga 33 na Tumetoka nao sare 21

Katika mechi 10 za mwisho kukutana nao Hawakuambulia ata Sare moja Tukiwafunga zote zikiwemo mechi za nyumbani tulizompiga vipigo vya 5-0,3-0,3-1,3-1 n.k.

Tunawakaribisha nyumbani tukiwa na faida ya kuwafunga mechi ya mwisho kukutana nao ambayo tulicheza uwanjan kwao Turf Moor na kuwafunga 3 - 1 mabao yakiwekwa na Aubameyang ️ na Nketiah ️ dakika za majeruhi

Kikosi kilichoanza Siku hiyo;Mfumo 4 2 3 1
Kipa:Leno Mabeki:Monreal,Mavropanos,Mustafi,Lichsteiner Viungo:Guendoez,Elneny,Willock,Iwobi,Mkhitaryan Fowadi: Aubameyang.

Nategemea Kuona mabadiliko makubwa ya kikosi kwa Chaguzi na maingizo ya wachezaji wapya tuliowasajiliwa msimu huu

Tukumbuke pia nao wanaingia uwanjani EMIRATES wakitoka katika Ushindi wa mechi yao ya kwanza na Southampton wakimfunga 3 - 0 uwanjani kwao Turf Moor.

Mara ya Mwisho kutufunga ilikuwa 02 Disemba 2008 walitufunga 2 - 0 kwao wakatutoa katka kombe la Ligi EFL Cup hatua ya robo fainali.

Ila wajiandae kubeba mzigo wa magoli wasichezeee kabisa huu moto unaopamba bila moshi. Bunduki mpya, Risasi mpya, Arsenal Go Go Unai Go Go..

FB_IMG_1565779008132.jpeg
 
Ozil and Kolasinac have both returned to training. Security staff and dogs have been spotted outside both players’ houses in recent days, but Kolasinac arrived at training as a passenger of team-mate Shkodran Mustafi. [@MailSport]
 
Mesut Ozil and Sead Kolasinac have returned to training after being stood down from duty on Sunday, with Arsenal optimistic the pair will be cleared to play again soon.
 
Adidas Product Designer for Licensed Apparel James Webb has confirmed that Adidas will be releasing an Arsenal fourth kit for the 2019/20 season. [@Footy_Headlines] #afc
IMG_20190815_055031.jpeg
 
Back
Top Bottom