Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wachezaji first 11 , kama 13 hawakuwepo. ,na tu imecheza vzr hasa beki

COYG
Mzee beki imecheza poa sana chambers yuko poa amenipa matumaini, lakini Matteo hapana naanza kumkataa sasa, hana ukomavu wa kuelewa EPL inataka nini,
Nelson ikiwezekana acheze kila mechi, anaelewa ligi inataka nini, sio kama youngsters wengine
 
Mzee beki imecheza poa sana chambers yuko poa amenipa matumaini, lakini Matteo hapana naanza kumkataa sasa, hana ukomavu wa kuelewa EPL inataka nini,
Nelson ikiwezekana acheze kila mechi, anaelewa ligi inataka nini, sio kama youngsters wengine
Mateo mie naona leo kacheza vizuri sana. Dogo anahitaji msosi asianguke anguke hovyo...
 
Mateo mie naona leo kacheza vizuri sana. Dogo anahitaji msosi asianguke anguke hovyo...
Ni kweli mzee, mimi mwenyewe nahitaji kumuona matteo mkakamavu akipush timu kwa nguvu iende mbele, yaani ndo hicho tu kitamfanya kuwa complete mid.
 
Tumecheza wastani.

Namna yetu ya kuanza gemu kila mpira ukitoka ni ngumu kwakua hatuna watu wa kati na pembeni wenye nguvu na uwezo wa kumiliki mpira.

Hivyo tunaanza mpira ndani ya 18. Kisha shambulizi linakosa mwelekeo tunarudisha tena mpira nyuma.

Willock na Nelson walikua poa.

Niles nilisema anaimprove kila mechi. Kathibitisha hilo.

Tumefokas kumiliki mpira kuliko kufunga. Mechi imeboa.

Kwakua ni mwanzo tujipe moyo.
Niles ni majanga mkuu sijui hua unamuangaliaje ana makosa mengi sana

Hata hao watoto sio wakuwategemea hawana ubora wakutuvusha tulipo
 
Kwakweli hii timu, kwa kutazama mechi ya leo, haiko aggressive kabisa. Ni kama kwamba they have no strong ambition driving them.
 
*Kuna vitu vinne vya msingi ambavyo nilikuwa navitazama kuona vitakuwaje?*

1.Point 3 yaan ushindi
2.cleanshit
3.defence
4 mikhitaryan

1.Point 3 yaan ushindi
hapa kwanza kulikuwa na shida ya kushinda mechi ya kwanza ya ligi lkn pia kushinda game za away! kwa matokeo haya finyu lkn tume step up kwa kupata clershit

2.cleanshit
hapa ndio penye ugonjwa wa taifa tukiwa ugenini na team ambayo haijapanda daraja kwetu no kupimo tosha kbsa kma kusingekuwa na mabadiliko ya kiuchezaji na wachezaj kule nyuma naamini bado uwezo wa kifungwa kwa makosa yetu wenyewe ulikuwepo! lkn beki imepunguza sana kufanya makosa! team nasema kwa kiasi cha 80%.

3.defence
hapa kwanza kurudi ktk back 4 ndio point ya mcngi. msimu uliopita haikuwezekana beki kitulia kma leo pale tu tunapocheza back 4.ila leo uwepo wa chembers na sokratis niles na nacho umenifurahisha sana kiasi kwamba unaweza sema kma kule nyuma kulikuwa na VVD! labda niseme tu kuwa chembers tunahitaji kuwa nae kma version ya mustafi.

4 Mikhitaryan
huyu bwana nilikuwa nakuja kumtazama yeye pmaoja na ozil lkn leo mmoja hakuwepo! nilikuja kumtazama uyu jamaa maalum kbsa sababu moja kwa sasa anakuwa anatimiza misimu 3 akiwa Epl lkn effort yake imekuwa ikipotea siku hadi siku kadri anavyozidi kuwa mzoefu na ligi ndio anapotea! kwa kweli hapa kuna kazi kubwa ya kufanya nimemuona mchezaj wa matukio cyo mtu ambae mda wote anatupa kitu! hii game ya leo kma angekuwepo ozil na jinsi mikhitaryan alivyocheza nadhan kuna mzigo wa lawama ozil angeupata kutokana na uchezaj wa mikhitaryan ulikuwa! kivip? yaan ozil tumemzoe akiwa lege lege lkn kma ikitokea kwenye game watu wote wakwa strong basi ozil hata akipoteza mpira tunavunga tunajua eneo lingine limetulia lkn wanapokuwa wote inatufanya ujinga wa mikhitaryan tusivumilie mapungufu ya ozil! ndio maana hawa hawaitajik wacheze pamoja au kuwepo team moja hatuwez kubalance vzr!

Ni hayo tu niliokuja kuyachek leo hapa St James Park! kuhusu team performance na wachezaj m1 m1 sikujipanga na hilo nilijua siwezi kupata kwa game za mwezi wa 8 hasa team ambayo ina usajir mpya mwingi kutoka accademy na nje!
ahsanteni
IMG-20190811-WA0028.jpeg
IMG-20190811-WA0026.jpeg
IMG-20190811-WA0027.jpeg
 
man u yamekamata wanyonge wanaweka kweli ila sisi sasa

unai rudia kikosi hata kama ni walewale
mbona liver hata ukilala ukiamka unajua kikosi chao na wanapiga msimu mzma
 
Nafikiri ujumbe umefika London kwamba wenye ligi wamerudi. Jiandaeni kwa kuchakazwa msije kusema sikuwaambia.
Mkuu tulia tulijua leo mnashinda ,lkn hao wachovu wamekushambulia sana sema hawana forward na CB za uwakika,

Hicho sio kipimo chako kizuri, nilisema Leo kipimo chako kizur ni next week dhidi ya kina Wolves ,maana kwa msimu huu ,Chelsea anazidiwa forward na wolves,Leicester ,Watford ,Everton
 
2 - Arsenal have named two English teenagers (Joe Willock and Reiss Nelson) in their starting XI for a Premier League game for the first time since February 1998 (Paolo Vernazza and Matthew Upson vs Crystal Palace), before either Willock or Nelson were born. Future.
 
Back
Top Bottom