Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 13,139
- 21,430
Mpira bado haujaanzaNaomba matokeo
Mpira bado haujaanzaNaomba matokeo
Nadhan timu ya arsenal huijuiMna safari ndefu. Sijaona kama mpo serious.
Mzee beki imecheza poa sana chambers yuko poa amenipa matumaini, lakini Matteo hapana naanza kumkataa sasa, hana ukomavu wa kuelewa EPL inataka nini,Wachezaji first 11 , kama 13 hawakuwepo. ,na tu imecheza vzr hasa beki
COYG
Msimu uliopita away tulikuwa a clean sheet moja tu kw watford.st Clean sheet (Leno)
Points
Away Points
Aubameyang
Niles
Ulituombea tufungwe ,ramli imegoma, sasa na mm naomba sareMpira bado haujaanza
Mateo mie naona leo kacheza vizuri sana. Dogo anahitaji msosi asianguke anguke hovyo...Mzee beki imecheza poa sana chambers yuko poa amenipa matumaini, lakini Matteo hapana naanza kumkataa sasa, hana ukomavu wa kuelewa EPL inataka nini,
Nelson ikiwezekana acheze kila mechi, anaelewa ligi inataka nini, sio kama youngsters wengine
Ni kweli mzee, mimi mwenyewe nahitaji kumuona matteo mkakamavu akipush timu kwa nguvu iende mbele, yaani ndo hicho tu kitamfanya kuwa complete mid.Mateo mie naona leo kacheza vizuri sana. Dogo anahitaji msosi asianguke anguke hovyo...
Niles ni majanga mkuu sijui hua unamuangaliaje ana makosa mengi sanaTumecheza wastani.
Namna yetu ya kuanza gemu kila mpira ukitoka ni ngumu kwakua hatuna watu wa kati na pembeni wenye nguvu na uwezo wa kumiliki mpira.
Hivyo tunaanza mpira ndani ya 18. Kisha shambulizi linakosa mwelekeo tunarudisha tena mpira nyuma.
Willock na Nelson walikua poa.
Niles nilisema anaimprove kila mechi. Kathibitisha hilo.
Tumefokas kumiliki mpira kuliko kufunga. Mechi imeboa.
Kwakua ni mwanzo tujipe moyo.
Hawa watoto mechi hii kwao ndio ilikuwa pekee ya ligi hawatarudi tenaNiles ni majanga mkuu sijui hua unamuangaliaje ana makosa mengi sana
Hata hao watoto sio wakuwategemea hawana ubora wakutuvusha tulipo
Mkuu tulia tulijua leo mnashinda ,lkn hao wachovu wamekushambulia sana sema hawana forward na CB za uwakika,Nafikiri ujumbe umefika London kwamba wenye ligi wamerudi. Jiandaeni kwa kuchakazwa msije kusema sikuwaambia.
Mzee baba usijifu, leo umekutana na walaini wale.Nafikiri ujumbe umefika London kwamba wenye ligi wamerudi. Jiandaeni kwa kuchakazwa msije kusema sikuwaambia.