Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,504
- 28,691
Haitajiki arsenal halafu ,tulimnunua kwa hela mdogo,, dogo Martinez amepandishwa kuwa namba kipa namba 2Daah, mbona Ospina anaenea kwa fedha jiduchu hivi?..
Haitajiki arsenal halafu ,tulimnunua kwa hela mdogo,, dogo Martinez amepandishwa kuwa namba kipa namba 2Daah, mbona Ospina anaenea kwa fedha jiduchu hivi?..
Mech za ufunguz ,tunaanza na NewcastleView attachment 1126215
EPL inarejea sasaAsante we
Game Kali ya kwanza kati ya waliofungiwa na vilaza wa top 6
Wewe unayo mangapi?Team adimu kwa makombe
Unajua kuna watu wanalaumu tu, angalia pale Liverpool wale FSG kipind cha rogder ,daglish si walikuwepo na sasa si wapo hao hao? Utaona uongoz wa sasa wa Liverpool upo vzr kusaka vipaji na kuvikuza , na hela inayopatikana inatumika vzr, angalia hela ya coutinho ndio imetumika kuwapata Becker na vvd, wakat hela ya Suarez pia waliitumia vzr,Umesema kweli mkuu, watu wanamlaum tu bure mzee wa watu! Kimsingi timu ijipange kwa kufanya usajili wa akili kwa hicho kodogo kilichopo. Pia wakiuza baadhi ya wachezaji inaweza ikapatikana fedha kwa ajili ya kununua wachezaji wengine..
Hahahahahahahahah WAHUNIUnajua kuna watu wanalaumu tu, angalia pale Liverpool wale FSG kipind cha rogder ,daglish si walikuwepo na sasa si wapo hao hao? Utaona uongoz wa sasa wa Liverpool upo vzr kusaka vipaji na kuvikuza , na hela inayopatikana inatumika vzr, angalia hela ya coutinho ndio imetumika kuwapata Becker na vvd, wakat hela ya Suarez pia waliitumia vzr,
Kwahiyo wahuni waliopo pale arsenal ndio wakulaumiwa sio bwana Stan , kama mapato timu inaingiza makubwa tu,
Nashukuru Jana Kuna mtu kafukuzwa kazi ,yule mkuu wa high of performance kama sijakosea ,
NEXT SEASON is OUR season. COYG
Kwa kweli management ya Arsenal inasikitisha sana. Tungekuwa na management nzuri kama Liveepool au Tottenham tungefika mbali sana!.Unajua kuna watu wanalaumu tu, angalia pale Liverpool wale FSG kipind cha rogder ,daglish si walikuwepo na sasa si wapo hao hao? Utaona uongoz wa sasa wa Liverpool upo vzr kusaka vipaji na kuvikuza , na hela inayopatikana inatumika vzr, angalia hela ya coutinho ndio imetumika kuwapata Becker na vvd, wakat hela ya Suarez pia waliitumia vzr,
Kwahiyo wahuni waliopo pale arsenal ndio wakulaumiwa sio bwana Stan , kama mapato timu inaingiza makubwa tu,
Nashukuru Jana Kuna mtu kafukuzwa kazi ,yule mkuu wa high of performance kama sijakosea ,
mimi napendekeza chama cha soka england waondoe huu mfumo wa kupanga timu alphabetically in ascending order na badala yake waweke descending order huweza ikasaidia kwa klabu yetu kufanya vizuri maana watakuwa na hasira wakijiona katika zone ya kushuka daraja kuliko hivi tunavyoanza juu pale tunabweteka tunajiona kama ligi ikiisha leo sisi tutakuwa mabingwa....maana ligi ikianza miaka yote ARSENAL tunakuwa kileleni......hahahahahhahahahaNEXT SEASON is OUR season. COYG
mimi napendekeza chama cha soka england waondoe huu mfumo wa kupanga timu alphabetically in ascending order na badala yake waweke descending order huweza ikasaidia kwa klabu yetu kufanya vizuri maana watakuwa na hasira wakijiona katika zone ya kushuka daraja kuliko hivi tunavyoanza juu pale tunabweteka tunajiona kama ligi ikiisha leo sisi tutakuwa mabingwa....maana ligi ikianza miaka yote ARSENAL tunakuwa kileleni......hahahahahhahahaha
Hamna kitu, wale wana mpira lain sana, bora frankfurt
Tumetofautiana sana, Mimi bora nicheze na Chelsea ,kwanza rahis kuwa attack na ukapata magoli, Chelsea hii ya sarri haitishi kabisa,