Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Official: #AFC are delighted to welcome VBET to the club as our official betting and gaming partner in a contract that runs till 2022.
Screenshot_2019-06-13-10-33-58.jpeg
 
Umesema kweli mkuu, watu wanamlaum tu bure mzee wa watu! Kimsingi timu ijipange kwa kufanya usajili wa akili kwa hicho kodogo kilichopo. Pia wakiuza baadhi ya wachezaji inaweza ikapatikana fedha kwa ajili ya kununua wachezaji wengine..
Unajua kuna watu wanalaumu tu, angalia pale Liverpool wale FSG kipind cha rogder ,daglish si walikuwepo na sasa si wapo hao hao? Utaona uongoz wa sasa wa Liverpool upo vzr kusaka vipaji na kuvikuza , na hela inayopatikana inatumika vzr, angalia hela ya coutinho ndio imetumika kuwapata Becker na vvd, wakat hela ya Suarez pia waliitumia vzr,

Kwahiyo wahuni waliopo pale arsenal ndio wakulaumiwa sio bwana Stan , kama mapato timu inaingiza makubwa tu,

Nashukuru Jana Kuna mtu kafukuzwa kazi ,yule mkuu wa high of performance kama sijakosea ,
 
Hahahahahahahahah WAHUNI
 
Kwa kweli management ya Arsenal inasikitisha sana. Tungekuwa na management nzuri kama Liveepool au Tottenham tungefika mbali sana!.
 
Mrithi wa Ramsey huyu hapa

By Bingwa -- June 11, 2019

LONDON, England

KLABU ya Arsenal imetuma ofa kwa Napoli ya kitita cha pauni milioni 17 ili kumnasa kiungo wa timu hiyo, Jordan Veretout.

Kwa mujibu wa ripoti iliyoripotiwa na gazeti la L’Equipe, Veretout anatajwa kuwa mrithi wa Aaron Ramsey.

Arsenal wanasaka kiungo ambaye ataendana na Ramsey aliyekwenda Juventus, ambaye walidumu naye tangu mwaka 2008.
 
TETESI

Arsenal wawasubiri adidas tu dili ya CARASCO
Club ya Arsenal imeshamalizana na carasco ila hatatangazwa mpaka dili ya adidas itakapoanza hapo July mosi
Ikumbukwe Arsenal walikatisha mkataba wake na Puma uliokua unawapatia paund milion 30 kwa mwaka na kujiunga na wapinzani wao Adidas.
Kampuni hiyo ya adidas wao walikubali kutoa mara mbili ya kile cha puma yaani paund milioni 60 kwa mwaka ambayo itamsaidia Unai Emiry katika usajili
 
NEXT SEASON is OUR season. COYG
mimi napendekeza chama cha soka england waondoe huu mfumo wa kupanga timu alphabetically in ascending order na badala yake waweke descending order huweza ikasaidia kwa klabu yetu kufanya vizuri maana watakuwa na hasira wakijiona katika zone ya kushuka daraja kuliko hivi tunavyoanza juu pale tunabweteka tunajiona kama ligi ikiisha leo sisi tutakuwa mabingwa....maana ligi ikianza miaka yote ARSENAL tunakuwa kileleni......hahahahahhahahaha
 
Hahahahaha miaka yote ratiba ikitoka tu Arsenal bingwa

🤣
 
Back
Top Bottom