Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Umewahi kusikia ushindan kwenye sajili zote za ronaldo tokea anaenda man u???
Sasa nyie arsenal mbona mnababisha sana kwenye sajili zenu. Ukiona mchezaji katakiwa na arsenal ujue ni arsenal tu, hakuna timu ingine itamtaka. Hamjiulizi mnakwamia wapi mkuu? Angalia DSuarez anarudi Barca, Gundogazzi kafanya nin? Papa nin yule wa kulia kulia timu ikifungwa kfanya nini? Unai mwenyewe kafanya nini? Leno kfanya nini?
 
Unaongea mambo mengi, unasahau utofauti wa point ni mbili tu kati ya Arsenal na wachezaji wako unaowaona wa maana sana.
 
Sasa nyie arsenal mbona mnababisha sana kwenye sajili zenu. Ukiona mchezaji katakiwa na arsenal ujue ni arsenal tu, hakuna timu ingine itamtaka. Hamjiulizi mnakwamia wapi mkuu? Angalia DSuarez anarudi Barca, Gundogazzi kafanya nin? Papa nin yule wa kulia kulia timu ikifungwa kfanya nini? Unai mwenyewe kafanya nini? Leno kfanya nini?
Mbali na Madrid kuna timu yoyote uliskia inamtaka hazard
 
New Kita for 2019/2020 Season
20190609_185303.jpeg
 
Usajili News na Arsenal reshuffle (mabadiliko ya ndani)

Arsenal yaongeza dau kwa wachezaji wawili wa Samprodia kufikia pauni milioni 44

Mkuu umenipa kitengo kabisa.

:):)

Carrasco anataka kuondoka China kurudi Ulaya na Arsenal wameweka offer mezani na wanasubiri kama ataikubali.

741e1e85-feab-4502-a731-be5953f99156.jpg

Halafu, wana Gunners mwamkumbuka huyu?

Atakuwa na Unai Emery kuanzia msimu ujao akichukua nafasi ya Steve Bould ambae amepelekwa kufundisha vijana wa umri wa chini ya miaka 23 akimsaidia mkuu wa Academy Per Mertesacker.

Steve Bould amekuwa "demoted" kutokana na Arsenal kucheza vibaya sana msimu ulopita.

Smaue Umtiti haji tena Arsenal kutokana na kushindwa kufuzu kucheza CL.

Ryan Fraser anaweza kuja Arsenal ingawa Bournemouth wamepania kuwasumbua Arsenal.

Tutaendelea kupeana Updates.
yaaah unaitendea haki department yako mkuu........hahahhhaha mambo kama haya ndio tunayahitaji hapa.....COYG
 
Hiv sisi fan wa Arsenal ni mchezaji gani ambaye tulimtaka aliyekuwa na ushindani kwenye soko.? Yani ukute Labda man city au Chelsea au Liverpool wanamtaka uyo mchezaji ..halafu yeye mwenyewe akachagua kuja arsenal. Me naona wachezaji wengi tunaosajili ni Sisi wenyewe tu uwa tunawataka.
higuain kitambi alikuwa anamtaka nani mkuu?hahahaha nyani haoni kundule
 
Sasa nyie arsenal mbona mnababisha sana kwenye sajili zenu. Ukiona mchezaji katakiwa na arsenal ujue ni arsenal tu, hakuna timu ingine itamtaka. Hamjiulizi mnakwamia wapi mkuu? Angalia DSuarez anarudi Barca, Gundogazzi kafanya nin? Papa nin yule wa kulia kulia timu ikifungwa kfanya nini? Unai mwenyewe kafanya nini? Leno kfanya nini?
duh kwa hii comment yako kama unaitoa kutoka katika ubongo wako basi NIMEKUDHARAU sana ila kama ni utani tu haina noma............unahoji uwezo wa LENO????????????????hivi unataka kumfananisha leno na yule shati ambaye hata akitaka kupigwa sub anakomaa kama nkurunziza?
 
BOOM! As per the reliable @SampNews24, Arsenal have submitted an improved €50m combined bid for Sampdoria duo:

1.Denis Praet - 25 year old midfielder
2.Joachim Andersen - 23 year old ball playing centre back

This offer has met expectations of their president Massimo Ferrero. https://t.co/ORbxlRZfHc
 
Hatari sana mkuu

Nikicheki pale top 6 labda tumewazidi Man City kwa Uzi mzuri Ila wote wanatuzidi
Uzi wenu ule wa mwaka 2017/2018 damu ya mzee mmeutumia msimu mmoja tu, ulikuwa mkali sana, ilibidi niununue , nikashangaa msimu unaofata mkauacha ,

Ule Uzi ni kiboko ,ukiupata Original
 
If Arsenal really are close to signing Carrasco, Andersen and Praet, we may be starting to get serious. Praet is a tireless worker and gifted ball player, while Carrasco would add genuine pace and class in the wide areas. Add in Xhaka, Mustafi and Kolasinac departing......
 
Uzi wenu ule wa mwaka 2017/2018 damu ya mzee mmeutumia msimu mmoja tu, ulikuwa mkali sana, ilibidi niununue , nikashangaa msimu unaofata mkauacha ,

Ule Uzi ni kiboko ,ukiupata Original

2017/2018? Ule wenye nyekundu fulani hivi?
 
Wataalam wanasema Mbwa ukimjua jina, hakusumbui. Ni kama vile mie, siumizwi na Arsenal yangu kwa sabbu nimeweza kuijua.

Lakini kuna kitu wengi hawajakijua au wanakijua hawajakipuuza. Wengi sana wanaamini Arsenal tatzo ni Stan Kroenkee, . Nimewahi kuandika makala kuhusu huyu mtu, sitaki kurudia sana.

Ukichimba sana, Kroenkee si kua ni tatzo pekee au tatizo kubwa. Tatizo kubwa ni wanaoendesha masuala ya kimichezo. Sabbu klabu ni kama kampuni. Kampuni hua inauza product, product pale Arsenal ni mpira. Sasa walio ktk uzalishaji ndiyo wana matatzo zaidi.

Stan ni bingwa wa uwekezaji ktk michezo,na yeye hutumia self sustainability model ( kwamba klabu ijiendeshe yenyewe), sabbu yeye ni enterprenuer (mjasiria mali), siyo mwekezaji. Sasa wengi hudhani Stan hua anachukua pesa zinazozalishwa na Arsenal. Yeye alinunua hisa za pound milion 700+, mwaka 2011, akawa na 67% , na 2018 ametoa ofa ya milion 600, kwa hzo 30%. Total bilion 1.3. Thamani ya Arsenal kwa sasa ni 2 bilion. Kwahyo Stan yeye faida, ataipata kama akija kuamua kuuza hisa zake zote. Lets say Akiuza bilion 3 mwaka 2022, faida itakua ni hiyo , siyo pesa za makombe au viingilio.

Sasa yeye haweki hela Arsenal sabbu aliwaachia wao wazalishe, walipe matumizi yote, zinazobaki wasajili, yeye hagusi chochote ktk hizo pesa. Ndiyo maana klabu inajiendesha yenyewe. Liverpool wanafanya hivi, United wanafanya hivi, na model za kimarekani zipo hivi. Sabbu wao hawangaalii zaidi makombe, halafu klabu ina madeni au pesa zitoke mfukoni, klabu haizalishi.

Tatizo kubwa Arsenal ile Era iliyoisha ya Wenger na wenzie, ni zile wakiachiwa wanawekeza vipi? tuchanganue. Arsenal ilikua inanunua wachezaji wengi wanaocheza nafasi 1, Wilshere, Carzola, Ramsey, Oezil wote no 10, Rosicky, Arshavin, Nasri. Na mara nyingi walikua hawatatui matatizo, shida no 6, analetwa no 10, shida striker analetwa no 7, shida beki wa kati, analetwa no 10. Mfano kulikua na haja gani ya kununua Auba na Laca ndani ya mwaka mmoja wakati wote no 1?, na Giroud alikuwepo?

Pia walishindwa kukubali kua ile british core, ilishindwa na kuwaondoa mapema. AOC, JERKINSON, WILSHERE, RAMSEY, WALLCOT, hii project ilifeli, na walikua wakilipwa mishahara mikubwa kuliko uwezo wao. Sasa hata ile pesa iliyokua inaachwa na Kroenkee haitumiki vzuri. Arsenal ina Wage bill nzuri ni ya 9 kw Ulaya Nzima, pound milion 245, wanatumia, ndiyo maana unaposema Kroenkee hatoi hela anakushangaeni. Kila klabu ina budget yake, hawawez kufanya vile ka Psg. Hizo hizo watumie vzuri.
 
Umesema kweli mkuu, watu wanamlaum tu bure mzee wa watu! Kimsingi timu ijipange kwa kufanya usajili wa akili kwa hicho kodogo kilichopo. Pia wakiuza baadhi ya wachezaji inaweza ikapatikana fedha kwa ajili ya kununua wachezaji wengine..
 
Back
Top Bottom